September 06, 2014

ULISHAWAHI KUONA HARUSI ZINAZOFANYIKA CHINI YA MAJI PICHA ZOTE ZIKO HAPA. tazama mapicha hapa

Licha ya kwamba wazungu ndio wanaongoza kwa kuwa wabunifu zaidi Dunia lakini hii imetia fora kutoka Shanghai China,wamefanikiwa kuanzisha... thumbnail 1 summary
Licha ya kwamba wazungu ndio wanaongoza kwa kuwa wabunifu zaidi Dunia lakini hii imetia fora kutoka Shanghai China,wamefanikiwa kuanzisha teknolojia mpya ambayo inawawezasha maharusi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA YAKE NEY WA MITEGO AJA JUU KUHUSU VIDEO YA MWANAYE, AMWITA NYUMBANI. SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Nay wa Mitego msanii wa bongofleva ambae yupo kwenye list ya watakaotumbuiza katika stage ya Serengeti Fiesta 2014 Ijumaa hii hapa thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-03 at 3.55.01 AM
Nay wa Mitego msanii wa bongofleva ambae yupo kwenye list ya watakaotumbuiza katika stage ya Serengeti Fiesta 2014 Ijumaa hii hapa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO BAAADHI YA PICHA ZA ANJELINA JOLIE NA MUMEWE AMBAZO WAMEZIUZA MIL 1 KILA MOJA

Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa n... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-03 at 4.35.29 AM
Ilikua ni ndoa ambayo walifunga kwa siri, yani bila kuitangaza kwenye vyombo vya habari ambapo ishu nzima ilifanyika nchini Ufaransa na kuhudhuriwa na watu 22 peke yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU NDIO MWONEKANO WA MJENGO MPYA WA MADEE NDANI NA NJE YA MJENGO HUO, NI SHIDAAAH

Hit Maker wa ‘pombe yangu’ na ‘tema mate tuwachape’ leo ametoa Exclusive picha kupitia millardayo.com  kuhusu mjengo wake ambao upo Mbez... thumbnail 1 summary
Image00006
Hit Maker wa ‘pombe yangu’ na ‘tema mate tuwachape’ leo ametoa Exclusive picha kupitiamillardayo.com kuhusu mjengo wake ambao upo Mbezi ya Kimara Dar es salaam na umechukua miaka 5 mpaka kumalizika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KOLETA AJAZA MATAMBARA TUMBONI KISA AWADANGANYE MASHOGA ZAKE ANA UJAUZITO SASA AMEUMBUKA

KITUKO! Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’  ametoa kali ya aina yake kwa kusema anapenda ujauzito kiasi cha kufikia ha... thumbnail 1 summary
KITUKO! Msanii wa sinema za Kibongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema anapenda ujauzito kiasi cha kufikia hatua ya kujaza matambara tumboni ili awe na muonekano wa mjamzito.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA TAZAMA HAPA AGNESS MASOGANGE AKIWA GYME AKIKAZA MISULI YAKE YA BUNYERO, NOMA SANAA

Picha  hizi  zinatosha kuthibitisha  kwamba Agness thumbnail 1 summary
Picha  hizi  zinatosha kuthibitisha  kwamba Agness

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIWANI AMSHUSHIA KIPIGO DENT WA CHUO MPAKA KUPOTEZA FAHAMU

DIWANI  wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar, Renatus Pamba ‘Mr. Simple’ anadaiwa kumshu... thumbnail 1 summary
DIWANI wa Kata ya Sinza kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar, Renatus Pamba ‘Mr. Simple’ anadaiwa kumshushia kipigo denti wa Chuo cha Ubaharia cha EMI jijini Dar, Alpha Mohamed (18) mpaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HASHIM LUNDENGA ATWANGANA LIVE NA MISS TANGA

KW/RB/8441/2014  imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona F... thumbnail 1 summary

KW/RB/8441/2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msichana Alazimishwa Kufunga Ndoa na Mbwa

Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufa... thumbnail 1 summary

Msichana wa miaka 18, raia wa India aliyetajwa kwa jina la Mangli Munda amefunga ndoa na mbwa baada ya kulazimishwa na wazazi wake kufanya hivyo kwa imani kuwa atafukuza roho za kishetani na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISH​O YA MIAKA 50

  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la... thumbnail 1 summary
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE STAAA WA BONGO ANAYETESWA NA PENZI LA DOGO ASLAY

HISIA!  Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake k... thumbnail 1 summary
HISIA! Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: