April 23, 2016

BARAKA DA PRINCE KUMSHIRIKISHA BABY WAKE WIMBO MPYA.

Nyota wa muziki wa kizazi kipya Baraka Da Prince amesema kibao chake kipya kiitwacho ‘Twende’ amekiimba kwa kumshirikisha mchumba wake Na... thumbnail 1 summary
Nyota wa muziki wa kizazi kipya Baraka Da Prince amesema kibao chake kipya kiitwacho ‘Twende’ amekiimba kwa kumshirikisha mchumba wake Najma Dattan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IJUE MELI KONGWE NCHINI.

“Limbo lya Mfipa ” ni jina la kabila la Warungu. Kwa tafsiri ya moja kwa moja kwa lugha ya Kiswahili ni Ziwa Tanganyika . Warungu Ziwa ... thumbnail 1 summary

“Limbo lya Mfipa ” ni jina la kabila la Warungu. Kwa tafsiri ya moja kwa moja kwa lugha ya Kiswahili ni Ziwa Tanganyika . Warungu Ziwa Tanganyika wanaliita “Liemba lya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dairekta Aliniomba Penzi, Nikampa… -Mtoto Mzuri Pinkieto wa Bongo Muvi Afunguka!

Gisela Joseph ‘Pinkieto’ Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya filamu, jina la Gisela Joseph ‘Pinkieto’ litakuwa si geni kwako. Huyu aliku... thumbnail 1 summary
Gisela Joseph ‘Pinkieto’
Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo ya filamu, jina la Gisela Joseph ‘Pinkieto’ litakuwa si geni kwako. Huyu alikuwa ni sekretari wa marehemu Steven Kanumba lakini pia msanii aliyeigiza kwenye filamu mbalimbali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wakati Tanzania Mirungi ni Haramu... KENYATTA Atoa Dola 10m za Kilimo Cha Mirungi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kwamba serikali yake itatenga dola za Kimarekani 10 milioni za kusaidia wakulima wa mirungi kweny... thumbnail 1 summary
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kwamba serikali yake itatenga dola za Kimarekani 10 milioni za kusaidia wakulima wa mirungi kwenye bajeti ya mwaka ujao wa kifedha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nikikosa Kufanya Mapenzi na Mpenzi Wangu Siku Tatu tu Naugua.... - Baby Madaha

STAA wa muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kias... thumbnail 1 summary
STAA wa muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, starehe yake kubwa ni kuwa faragha na laazizi wake kiasi kwamba akipitisha siku tatu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bilionea MENGI na Jacqueline Maisha ni Motomoto... Wakubwa Wanafaidi Sana!

Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka ka... thumbnail 1 summary
Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ukimya Wa Msanii Alikiba Wawatesa Mashabiki Wake Kwenye Mitandao Ya Kijamii

Tupo kwenye ulimwengu ambao mitandao ya kijamii imegeuka kuwa kama chakula ambacho ni lazima ule kila siku. Kwa watu maarufu, mitandao imeg... thumbnail 1 summary
Tupo kwenye ulimwengu ambao mitandao ya kijamii imegeuka kuwa kama chakula ambacho ni lazima ule kila siku. Kwa watu maarufu, mitandao imegeuka kuwa sehemu muhimu kwa wao kuwa karibu na mashabiki wao. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dogo Janja: "Najuta Kutomaliza Shule"

Rapa wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema ana mpango wa kurudi shule kutokana na muziki wake pamoja na maisha kuhitaji elimu yakutosha. thumbnail 1 summary
Rapa wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema ana mpango wa kurudi shule kutokana na muziki wake pamoja na maisha kuhitaji elimu yakutosha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yajue Majeshi ya Nchi 20 Yenye Nguvu Zaidi duniani...

No. 20. Canada Budget: $15.7 billion Active frontline personnel: 92,000 Tanks: 181 thumbnail 1 summary
No. 20. Canada
Budget: $15.7 billion
Active frontline personnel: 92,000
Tanks: 181

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIRECTOR WA MUIGIZAJI JAMES BOND AFARIKI DUNIA.

Director maaerufu wa filamu za James Bond, Guy Hamilton, amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 93. thumbnail 1 summary
Director maaerufu wa filamu za James Bond, Guy Hamilton, amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 93.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanawake: Hizi ni dalili 9 kuwa wewe si ‘main chick’ bali ni mchepuko wake tu !

Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 ... thumbnail 1 summary
Wanaume wengi ni wataalam wa kuwa na uhusiano na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Sasa kwa msichana unayesoma makala hii, hizi ni dalili 9 kuwa huenda wewe si ‘baby number one’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nuh Mziwanda Soon Anaachia Ngoma Mpya ‘Jike Shupa’ Akiwa na Alikiba

Msanii Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole kabla ya kuachana amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hataki kuongea ... thumbnail 1 summary
Msanii Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole kabla ya kuachana amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hataki kuongea jambo lolote ila mambo yote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Je kwa Haya Anayofanya Lulu Ni Kutafuta Laana ? Jionee Hapa

Madai ya Kumuita Mama Kanumba Kubwa Jinga… KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kudaiwa kutoa maneno yenye ... thumbnail 1 summary
Madai ya Kumuita Mama Kanumba Kubwa Jinga…

KITENDO cha muigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kudaiwa kutoa maneno yenye kuonesha sawa na kumtusi mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Siwema Wa Nay Wa Mitego Jela Miaka Miwili Kwa Kesi Ya Kutukana

Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu... thumbnail 1 summary

Mahakama kuu ya mkoani Mwanza imemuhukumu Siwema ambaye ni mzazi mwenzake na Nay Wamitego miaka miwili jela kwa kesi ya kumtukana mtu kwa njia ya mtandao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto Mtanzania wa miaka 16 alivyoongea kwa kujiamini mbele ya viongozi wa dunia umoja wa mataifa

Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mk... thumbnail 1 summary




Mtoto Mtanzania mwenye umri wa miaka 16 Getrude Clement kutokea Mwanza amehutubia mbele ya viongozi mbalimbali wa dunia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa akiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: