January 07, 2014

BABY MADAHA SASA ALAMBA dili ya MILION 200 za kufanya muvi na kampuni kubwa zaidi Afrika Mashariki

Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu n... thumbnail 1 summary

Ile record label maarufu ya muziki afrika mashariki - candy n candy imechapa fimbo nyingine baada ya kufanya deal ya mtonyo mrefuu na kampuni maarufu ya  kusambaza filamu afrika mashariki na kati, (Jina kapuni ) kwa ajili ya kusambaza filamu ya “The gal bladder”  ambayo imechezwa na mwigizaji baby

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REKODI ZA USHINDI ZILIZOVUNJWA NA TIMU PINZANI OLD TRAFFORD TOKEA MOYES AWE MENEJA UNITED

1. West Brom walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1978 2. Everton walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1992 thumbnail 1 summary

1. West Brom walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1978

2. Everton walikua hawajawahi kushinda Old Trafford tokea 1992

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JINAMIZI LA FERGUSON LAENDELEA KUMTAFUNA DAVID MOYES.....

Imeandikwa na Jöel Chuku Verminatör Suala hapo lipo wazi sana ... Wenye upeo na wasiotekwa na mapenzi na... thumbnail 1 summary

Imeandikwa na Jöel Chuku Verminatör
Suala hapo lipo wazi sana ... Wenye upeo na wasiotekwa na mapenzi na timu iyo waliona tangu msimu uliopita ila wale walio wenzangu wenye mahaba niue wakaona timu yao inanguvu...
Msimu uliopita Manchester ilichukua taji, kwakua Rooney

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.

Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhi... thumbnail 1 summary

kaaka1 47872

Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Yanga hiyoo yapaa zake Uturuki

WACHEZAJI wa Yanga, keshokutwa Alhamisi wanatarajia kwenda, Antalya, Uturuki kwa ajili ya kujiandaa na Li... thumbnail 1 summary

WACHEZAJI wa Yanga, keshokutwa Alhamisi wanatarajia kwenda, Antalya, Uturuki kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu Bara na michuano ya Klabu Bingwa Afrika.
Habari za ndani kutoka kwa baadhi ya wachezaji wa Yanga, ni kwamba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUFURU: Klabu kumng’oa Lionel Messi kwa Euro 400 milioni

JEURI ya pesa. Ndicho unachoweza kusema baada ya klabu tajiri Ulaya, Paris Sain... thumbnail 1 summary

JEURI ya pesa. Ndicho unachoweza kusema baada ya klabu tajiri Ulaya, Paris Saint-Germain na Manchester City kudaiwa kuwa zipo tayari kumng'oa, Lionel Messi, kutoka Barcelona kwa gharama yoyote ile.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NOMAAA!!!!, DANGURO LA UCHI LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DAR LAFUMULIWA

Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Globa... thumbnail 1 summary


Vijana wa Kamishina wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publisherswamefanikiwa kulifumua danguro linalodaiwa kufuga madenti wa vyuo mbalimbali jijini Dar.  

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HOLLY SIN (DHAMBI TAKATIFU) - 01

Simulizi ya aina yake inayosisimua na kukufurahisha ... fuatilia simulizi hii kujifunza mengi na k... thumbnail 1 summary

Simulizi ya aina yake inayosisimua na kukufurahisha ... fuatilia simulizi hii kujifunza mengi na kuburudika.

MLIO wa kengele ulisikika kutoka kwenye mnara wa kanisa kuashiria muda wa sala ya Jumapili, waumini mbalimbali wakawa wanaingia ndani ya kanisa kwa ajili ya kumuomba Mungu wao.
Aidan, mtoto mdogo mwenye umri wa miaka sita, aliteremka kwenye gari lao lililokuwa limepaki nje ya kanisa kabla hata wazazi wake hawajateremka, akaanza kukimbia kuingia ndani.
“Caro! Caro!” aliita Aidan huku akimkimbilia mtoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: