Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo Achia Body. Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz baada ya kushine na video yake yaWanjera. Enjoy hapa mtu wangu video yenyewe.
December 22, 2015
HII NDIYO SABABU YA DIAMOND KUOTOKEA KWNEYE PARTY YA ZARI>>>>INATIA HURUMA SANA>>
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
USHAURI,KILA NIKIKUTANA NAYE NASHIDWA KUFANYA NAE MAPENZI
USHAURI,KILA NIKIKUTANA NAYE NASHIDWA KUFANYA NAE MAPENZI
Wadau za usiku huu, Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za ki... 06:17
Wadau za usiku huu,
Kuna kitu huwa kinaniumiza sana kichwani mwangu kwani kuna mdada mmoja mzuri ameumbika na ana sifa zote nzuri za kike. Tatizo linakuja kila nikikutana nae jogoo
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NISHER AELEZA KWANINI AMEAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI MTANDAONI (PICHA)
NISHER AELEZA KWANINI AMEAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE YA KIMAPENZI MTANDAONI (PICHA)
Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii. 06:17
Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TANESCO WATAJA KIASI WANACHOMDAI WEMA SEPETU KUFUATIA KUIBA UMEME...NIMEKUWEKEA HAPA KIASI ANACHODAIWA
TANESCO WATAJA KIASI WANACHOMDAI WEMA SEPETU KUFUATIA KUIBA UMEME...NIMEKUWEKEA HAPA KIASI ANACHODAIWA
Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu! Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huy... 06:16
Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu!
Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MIMBA YA JOKETI ALIYOPEWA NA ALI KIBA YAYEYUKA KATIKA MAZINGIA YA UTATA...!!!
MIMBA YA JOKETI ALIYOPEWA NA ALI KIBA YAYEYUKA KATIKA MAZINGIA YA UTATA...!!!
IMEFICHUKA! Ile mimba ya mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ iliyokuwa ikisemekana ni ya Mbongo-Fleva, Ali Saleh Kiba inada... 06:15SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 20, 2015
Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’
Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’
Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo Achia Body . Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz... 07:13SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)
Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza , michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchez... 07:13
Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi yaSunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelseakucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Wanaofanana na wanasoka, anachukua warembo kwa kufanana na Ronaldo, mwingine alimuweka Messi kwenye headlines
Wanaofanana na wanasoka, anachukua warembo kwa kufanana na Ronaldo, mwingine alimuweka Messi kwenye headlines
Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya mwisho wa mwaka kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya ku... 07:11
Kwa upande wa Tanzania tumezoea kuona team ya XXL ya Clouds FM kuandaa show ya mwisho wa mwaka kwa ajili ya wanafunzi kuenjoy baada ya kupata muda wa kupumzika kutoka shule au chuo, show hii huwa inaitwa After School Bash, huwa ina vitu vingi, tukiachana na Perfomance za wasanii
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MBUNGE PETER MSIGWA AMRUSHIA DONGO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA
MBUNGE PETER MSIGWA AMRUSHIA DONGO MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA
Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa 07:03
Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TCRA IMETOA MIEZI SITA HADI JUNE 16.2016 KUZIFUNGIA SIMU ZOTE FEKI KWA TANZANIA,HAKIKISHA SIMU YAKO HAPA KUWA NI ORIGINAL AU FEKI
TCRA IMETOA MIEZI SITA HADI JUNE 16.2016 KUZIFUNGIA SIMU ZOTE FEKI KWA TANZANIA,HAKIKISHA SIMU YAKO HAPA KUWA NI ORIGINAL AU FEKI
TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania. 07:02
TCRA imetoa miezi Sita hadi June 16, 2016 kuzifunga simu zote feki Tanzania.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 19, 2015
Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big... 05:52
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…
Weekend ya December 19 na 20 itatekwa na michezo 26 yakuvutia kwa Tanzania, Uingereza na Hispania…
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida d... 05:36
Tukiwa bado katika shamrashamra za maandalizi ya sikukuu ya Chrismas na mwaka mpya, burudani ya soka bado inaendelea kama kawaida duniani kote. Najua weekend inaweza ikaboa kama utakosa mahala pazuri pakwenda kuenjoy
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Utani wa mashabiki baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Chelsea…(Video)
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Anayeitaka nafasi ya Jose Mourinho ni huyu hapa…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno. Headlines... 05:35
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Chelsea kwa sasa haina kocha baada ya kumfukuza kazi kocha wao mkuu Jose Mourihno.
Headlines za sasa zimemgeukia kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Ulolanzi Guus Hiddink ambaye ametajwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam... 05:31SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA
DIAMOND AWAKERA BAADHI YA MASHABIKI KWA VIDEO HII YENYE UJUMBE WA UTATA
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Ug... 05:31
Diamond na Zari ni mtu na mpenzi wake na tayari wana mtoto mmoja so wakikutana kwenye chumba kwenye hoteli ya kifahari huko Kampala, Uganda unajua nini kitatokea sio?
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
ZIARA YA LOWASSA NCHI NZIMA YAOTA MBAWA GHAFLA..CHADEMA WATOA UFAFANUZI
ZIARA YA LOWASSA NCHI NZIMA YAOTA MBAWA GHAFLA..CHADEMA WATOA UFAFANUZI
Siku moja baada ya kuahirishwa ziara ya aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, chama ... 05:30SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI,WATU WANAUWANA KAMA WANYAMA VILE
TAZAMA PICHA ZIKIONYESHA UNYAMA UNAOFANYIKA NCHINI BURUNDI,WATU WANAUWANA KAMA WANYAMA VILE
Umoja wa Afrika(AU) umeahidi kuhakikisha mauaji ya kimbari hayatokei Burundi. Wasema kuna uwezekano wa vita ya wenyewe kwa wenyewe. 05:29SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAGUFULI AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.3 NDANI YA MWEZI MMOJA
MAGUFULI AIPONGEZA TRA KWA KUKUSANYA TRILIONI 1.3 NDANI YA MWEZI MMOJA
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato i... 05:29
Rais Magufuli amempongeza Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Dkt. Philip Mpango kwa kazi nzuri ya ukusanyaji wa mapato inayofanywa na mamlaka hiyo ambayo imeongeza ukusanyaji wa Mapato na kwa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
DIAMOND NA KAJALA NDANI YA SKENDO NZITO, YADAIWA WANATOKA KIMAPENZI,PICHA HIZI HAPA
DIAMOND NA KAJALA NDANI YA SKENDO NZITO, YADAIWA WANATOKA KIMAPENZI,PICHA HIZI HAPA
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigiz... 05:28
HUKU kukiwa na madai kwamba mwigizaji Kajala Masanja ana uhusiano wa ‘kikubwa’ na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mwigizaji huyo amezidi kuyachochea moto madai hayo kwa kutokana na kujiachia mara kwa mara
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
NILIBAKWA NA MAJAMBAZI WALIOTUVAMIA NYUMBANI USIKU ....NIMEPATA UJAUZITO MSAADA TAFADHALI
NILIBAKWA NA MAJAMBAZI WALIOTUVAMIA NYUMBANI USIKU ....NIMEPATA UJAUZITO MSAADA TAFADHALI
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ni... 05:27
Jamani naomba mnisaidie, nitumie dawa gani ili niweze kutoa ujauzito wa mwezi mmoja na wiki. Nimefikia uamuzi huo baada ya kukugundua. Ninaujauzito na siko tayari kuzaa na mtu nisiye mjua.iko hivi, ni mwezi sasa umepita
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 16, 2015
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao ... 06:26
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)
Kutana na Dj Mdogo mwenye umri wa miaka mitatu Afrika Kusini…(+Video)
Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapo Afrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu w... 06:25
Dj Arch Jnr ndiye Dj mdogo mwenye umri wa miaka mitatu ambaye makazi yake yapoAfrika Kusini kipaji chake kinawashangasha watu wengi kwa kucheza muziki wa aina tofauti akiwa kama DJ.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …
Licha ya kuhusishwa kuwa hawapatani, Rafael Benitez kamuomba Cristiano Ronaldo afanye hivi …
Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mouri... 06:12
Barani Ulaya kwa sasa kwa upande wa vilabu ambavyo makocha wake wanatajwa kwa katika wakati mgumu na wanahusishwa kufukuzwa ni Jose Mourinho wa klabu yaChelsea, ambaye timu yake imekuwa ikifanya vibaya msimu huu,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
v
v
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor yaUturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na a... 06:11
Mshambuliaji wa kimataifa wa Cameroon anayekipiga katika klabu ya Antalyaspor yaUturuki Samuel Eto’o bado yupo katika kikosi hicho na anapewa nafasi kubwa. Stori zilizotoka December 15 zinaeleza kuwa uongozi wa klabu ya
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …
List ya wachezaji soka wanne wenye majina yenye maana za kustaajabisha …
Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine ... 06:09
Nimekutana na hii mtu wangu list ya wachezaji soka ambao majina yao yana maana tofauti na yanachekesha sana ukiyasoma. Wakati mwingine kama unaweza kumuita mchezaji mbele za watu wasio mfahamu wanaweza kujua una maana tofauti,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
UWII NINI KIMEMKUMBA TENA TUNDA DEMU WAKE NA YOUNG D AU NDIYO MAMBO YAO YALEE
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
TAMKO LA CHADEMA KULAANI MBUNGE WAO SAID KUBENEA KUKAMATWA KWA AMRI YA MKUU WA WILAYA
TAMKO LA CHADEMA KULAANI MBUNGE WAO SAID KUBENEA KUKAMATWA KWA AMRI YA MKUU WA WILAYA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana ... 06:04
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Ndugu Saed Kubenea aliwekwa chini ya ulinzi na kuamriwa kwenda kituo
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
WANNE WAKATAA UWAZIRI WA MAGUFULI WAKIHOFIA KUSHINDWA KUENDANA NA KASI YAKE
WANNE WAKATAA UWAZIRI WA MAGUFULI WAKIHOFIA KUSHINDWA KUENDANA NA KASI YAKE
WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa... 06:03
WABUNGE wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wametajwa kukataa uteuzi wa nafasi ya uwaziri ili kujaza nafasi za wizara nne zilizokuwa wazi.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 13, 2015
KWA WAKUBWA TUU 18+:USIACHE KUSOMA HII:VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME/MKE /MCHUMBA MWENYE MAPENZI YA KWELI.....
KWA WAKUBWA TUU 18+:USIACHE KUSOMA HII:VIGEZO 10 VYA KUMPATA MUME/MKE /MCHUMBA MWENYE MAPENZI YA KWELI.....
Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida... 09:26
Ni madhumuni ya somo hili kufundisha vigezo vya kumpata mwanaume/mwanamke halisi wa maisha, bila kufanya naye mapenzi. Njia hii ina faida kwa pande zote mbili yaani kwa mwanamke na mwanaume kwani kuacha au kuachwa bila kufanya mapenzi ni bora kuliko kuwa muonjaji,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CORAZON MMMMH NI BALAAA HIVI HILI UNO LOTE HILI NA HILO CHUGUU SHUNGI MATATA MMMH KWELI AFRIKA TUPO SAWA JIONEE HUMU KATUPIA PICHA KIBAO
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Ujumbe wa Mario Balotelli kuhusu Euro 2016 unaoshangaza wengi !!!
Ujumbe wa Mario Balotelli kuhusu Euro 2016 unaoshangaza wengi !!!
Kuelekea michuano ya Euro 2016 mshambuliaji wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balote... 08:11
Kuelekea michuano ya Euro 2016 mshambuliaji wa Liverpool aliyepo kwa mkopo katika klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balotelli, ameingia katika headlines baada ya kuandika ujumbe ambao hadi sasa unashindwa kueleweka kuwa staa
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Nimekutana na hii, Lionel Messi ametwaa mataji mengi kuliko klabu ya Chelsea ambayo ina miaka 110 …
Nimekutana na hii, Lionel Messi ametwaa mataji mengi kuliko klabu ya Chelsea ambayo ina miaka 110 …
Hii inaweza ikawa sababu nyingine ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentinaanayekipiga katika klabu ya FC Barcelona Lionel Messi kutajwa ... 08:10
Hii inaweza ikawa sababu nyingine ya mshambuliaji wa kimataifa wa Argentinaanayekipiga katika klabu ya FC Barcelona Lionel Messi kutajwa katika list ya mchezaji bora wa muda wote kama ambavyo Diego Maradona na Pele wanatajwa, nimekutana na hii mtandaoni mtu wangu nikaona ni bora nikusogezee.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Hali mbaya Man United yakubali kipigo kwa Bournemouth, Cheki matokeo ya EPL Dec 12 (+Pichaz&Video)
Hali mbaya Man United yakubali kipigo kwa Bournemouth, Cheki matokeo ya EPL Dec 12 (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 12 kwa mechi takribani sita kupigwa katika ardhi ya Malkia Elizabeth , miongoni ... 08:09
Ligi Kuu Uingereza imeendelea tena leo December 12 kwa mechi takribani sita kupigwa katika ardhi ya Malkia Elizabeth, miongoni mwa michezo iliyochezwa Jumamosi ya December 12 ni AFC Bournemouth dhidi ya klabu ya Manchester
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
FC Barcelona yalazimishwa sare katika uwanja wake wa nyumbani Nou Camp (+Pichaz&Video)
FC Barcelona yalazimishwa sare katika uwanja wake wa nyumbani Nou Camp (+Pichaz&Video)
Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini... 08:08
Mechi za Ligi Kuu Hispania ziliendelea kama kawaida jumamosi ya December 12 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali nchini humo, klabu ya FC Barcelonaambao ndio timu inayoongoza msimamo wa Ligi, ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Deportivo La Coruna katika uwanja
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Huku Ajib kule Bocco dakika 90 ya kuzitafuta point tatu kwa Azam FC na Simba, Cheki matokeo ya VPL Dec 12 (+Pichaz)
Huku Ajib kule Bocco dakika 90 ya kuzitafuta point tatu kwa Azam FC na Simba, Cheki matokeo ya VPL Dec 12 (+Pichaz)
Baada ya mashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kukosa burudani hiyo kwa wiki kadhaa kutokana na kusimama kwa Ligi ili kupisha maanda... 08:07
Baada ya mashabiki wa Ligi Kuu soka Tanzania bara kukosa burudani hiyo kwa wiki kadhaa kutokana na kusimama kwa Ligi ili kupisha maandalizi ya timu ya taifa yaTanzania Taifa Stars, kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 12, 2015
PICHA 9 ZA WAZIRI KITWANGA ALIVYOKARIBISHWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI BAADA YA KUAPISHWA LEO DEC 12
PICHA 9 ZA WAZIRI KITWANGA ALIVYOKARIBISHWA WIZARA YA MAMBO YA NDANI BAADA YA KUAPISHWA LEO DEC 12
December 10 2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilik... 22:04
December 10 2015 Rais John Pombe Magufuli alitangaza baraza lake la Mawaziri katika awamu yake ya uongozi Ikulu Dar ingawa halikukamilika, Leo Dec 12 shughuli ya uapishwaji ilifanyika.
Hapa ninazo picha kutokea Wizara ya Wambo
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
MAGUFULI AMWAGA MABILIONI YA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU,SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU
MAGUFULI AMWAGA MABILIONI YA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU,SHIRIKISHO LA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi b... 22:00
Shilingi billion 473 zimetengwa kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka huu ikilinganishwa na Shilingi bilioni 341 zilizotolewa mwaka jana ikiwa ni ongezeko la Tsh. bilioni 132 katika bajeti ya mwaka huu.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HEBU JIONEE UHONDO HUU WA KIVAZI ALICHOVAA VANESSA MDEE KWENYE SHOW HUKO MBEYA NA KUACHA WATU WAKIBAKI NA VIGAGAZIKO>
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
PROFESA LIPUMBA,LISSU WAPINGA UTEUZI WA MUHONGO NA MWAKYEMBE
PROFESA LIPUMBA,LISSU WAPINGA UTEUZI WA MUHONGO NA MWAKYEMBE
Saa chache baada ya rais Magufuli kutangaza baraza lake la Mawaziri ambalo limekuwa baraza dogo kama alivyoahidi, aliyekuwa mwenyekiti wa C... 21:57SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 11, 2015
Achana na headlines za Ronaldo kuvunja rekodi yake ya UEFA, hizi ndio rekodi zake 10 za soka zinazo sisimua …
Achana na headlines za Ronaldo kuvunja rekodi yake ya UEFA, hizi ndio rekodi zake 10 za soka zinazo sisimua …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mch... 06:46
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo, usiku wa December 8 katika mchezo dhidi ya Malmoe FFwa kuhitimisha mechi za Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya alivunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka msimu uliyopita,
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Cheki TBT Pichaz za utoto za mastaa wa soka Maradona, Pele, Pato na Peter Cech …
Cheki TBT Pichaz za utoto za mastaa wa soka Maradona, Pele, Pato na Peter Cech …
Kama ilivyo ada mtu wangu imekuwa ni kawaida kwa watu mbalimbali kupost picha zao kwenye mitandao ya kijamii kama kumbukumbu ya kule wa... 06:44
Kama ilivyo ada mtu wangu imekuwa ni kawaida kwa watu mbalimbali kupost picha zao kwenye mitandao ya kijamii kama kumbukumbu ya kule walipotokea. Alhamisi imekuwa kama siku maalum ya kuweka hizo picha mitandaoni
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
CUF WAZUNGUMZA TAARIFA ZA KUFARIKI MAALIM SEIF,WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR
CUF WAZUNGUMZA TAARIFA ZA KUFARIKI MAALIM SEIF,WATOA MSIMAMO WAO KUHUSU UCHAGUZI ZANZIBAR
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mk... 06:42
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali taarifa zilizosambazwa na watu ambao hawajajulikana kwenye mitandao ya kijamii kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki.
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
JOKETI AZUA GUMZO MTANDAONI BAADA YA KUWEKA PICHA HIZI 5 AKIWA NA KIVAZI CHA NYAVU TU CHEPESIIII KAMA PAZIA JIONEE>
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
HABARI YA MJINI:RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI 18
HABARI YA MJINI:RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI 18
Ndugu waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla, ninawasalimu sana. Nawakaribisha katika kikao hiki cha kutangaza baraza la mawaziri. 06:40SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
December 10, 2015
DUU!! MWANAMITINDO KATIMIZA AHADI YAKE YA KUVUA NGUO BAADA YA PALMEIRAS KUTWAA UBINGWA …(+PICHAZ)
DUU!! MWANAMITINDO KATIMIZA AHADI YAKE YA KUVUA NGUO BAADA YA PALMEIRAS KUTWAA UBINGWA …(+PICHAZ)
Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashang... 05:20
Headlines za Brazil kufanya vizuri katika soka zimekuwa kawaida sana ila siku hizi hii ni mpya kutoka kwa mashabiki wao, inashangaza kidogo, tumewahi kusikia Mrisho Ngassaakiahidi kama
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:
Subscribe to:
Posts (Atom)