August 04, 2014

Unaambiwa haya Ndio Mambo 10 wanayofikiria mabinti wapishanapo na Mwanaume njiani.

Soma hapa uelewe mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume thumbnail 1 summary
Soma hapa uelewe mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Jakaya Kikwete:Sina muda kujadili upuuzi kuhusu Ridhiwani.

Taarifa kutoka ofisi ya Rais kuhusu maneno yanayosemekana kwamba Rais Jakaya Kikwete kushiriki kusaidia kumwokoa mwanae ambaye ni mbunge ... thumbnail 1 summary

Taarifa kutoka ofisi ya Rais kuhusu maneno yanayosemekana kwamba Rais Jakaya Kikwete kushiriki kusaidia kumwokoa mwanae ambaye ni mbunge wa jimbo la Chalinze Mheshimiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tajiri wa Saudi atikisa Mitaa ya London na Range Rover ya Dhahabu.

 ‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Theriou’ lakini kwa t... thumbnail 1 summary
 ‘666’ inatambulika kwenye biblia kama namba ya shetani aka ‘The Number of the Beast’ au kwa Kigiriki ‘Arithmos tou Theriou’ lakini kwa tajiri mmoja wa Saudi Arabia, herufi hizo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PIERRE VAN HOOIJDONK ATEULIWA KUWA KOCHA MSAIDIZI UHOLANZI

Kocha mpya wa Uholanzi Guus Hiddink amemteua Pierre van Hooijdonk kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya nchi hiyo.  thumbnail 1 summary
Kocha mpya wa Uholanzi Guus Hiddink amemteua Pierre van Hooijdonk kuwa kocha msaidizi wa timu ya taifa ya nchi hiyo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NINI MAONI YAKO JUU YA USAJILI HUU WA LIVERPOOL?

Klabu ya Liverpool mpaka sasa imeshatumia kiasi cha zaidi ya £100m kufanya usajili - Rickie Lambert, Adam Lallana, Dejan Lovren, Lazar M... thumbnail 1 summary

Klabu ya Liverpool mpaka sasa imeshatumia kiasi cha zaidi ya £100m kufanya usajili - Rickie Lambert, Adam Lallana, Dejan Lovren, Lazar Markovic,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KU-POZI KWA WIKI MOJA WEMA SEPETU AMECHAFUA INSTAGRAM KWA KU-POST PICHA HIZI

Kabla yakuziweka aliandika hivi: "  Naanza hivi... Maana i havent posted pics tokea juzi if i aint mistaken... thumbnail 1 summary

Kabla yakuziweka aliandika hivi:
Naanza hivi... Maana i havent posted pics tokea juzi if i aint mistaken...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NORA ADAIWA KUCHOROPOA MIMBA YA MSANII MWENZAKE. SOMA ZAIDI HAPA

Msanii  aliyewahi  kutamba  miaka  ya  nyuma  na  kundi  la  Kaole  Nuro  Nassoro  'Nora'  ameamua  kufunguka  baada  ya  tuhuma... thumbnail 1 summary


Msanii  aliyewahi  kutamba  miaka  ya  nyuma  na  kundi  la  Kaole  Nuro  Nassoro  'Nora'  ameamua  kufunguka  baada  ya  tuhuma  nzito  iliyokuwa  inamkabili  ya  kudaiwa  kuchoropoa  mimba  ya  msanii  mwenzake.....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOSE MOURINHO AMPA REFA 'VIDONGE VYAKE' CHELSEA IKITUNDIKWA 3-0 NA WERDER BREMEN

+8 Hasira: Jose Mourinho  alimlaumu mwamuzi kwa kuwaharibia maandalizi ya msimu. MBWATUKAJI Jose Mourinho  amemlaumu mwamuzi ... thumbnail 1 summary
Anger: Jose Mourinho blamed the referee for turning Chelsea¿s pre-season preparations into a ¿circus'
Hasira: Jose Mourinho  alimlaumu mwamuzi kwa kuwaharibia maandalizi ya msimu.MBWATUKAJI Jose Mourinho  amemlaumu mwamuzi kwa kusababisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TETESI ZA USAJILI ULAYA: BRENDAN RODGERS AKANUSHA KUMSAJILI MTUKUTU MARIO BALOTELLI

+6 Tabasamu bab kubwa: Mario Balotelli (kushoto, akiwa na Mamadou Sakho) hawataungana Liverpool mwezi huu. KOCHA wa Liverpool... thumbnail 1 summary
All smiles: Mario Balotelli (left, with Mamadou Sakho) won't be moving to Liverpool this month
Tabasamu bab kubwa: Mario Balotelli (kushoto, akiwa na Mamadou Sakho) hawataungana Liverpool mwezi huu.KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers amekanusha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUPIGWA CHINI FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA 2014, SAMIR NASRI KUTANGAZA KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA

+5 Mtu katikati: Samir Nasri anatazamiwa kutangaza kustaafu soka la kimataifa. SAMIR Nasri hajaweza kuweka wazi kabisa dal... thumbnail 1 summary

Man in the middle: Samir Nasri is set to announce his retirement from international football
Mtu katikati: Samir Nasri anatazamiwa kutangaza kustaafu soka la kimataifa.
SAMIR Nasri hajaweza kuweka wazi kabisa dalili za kustaafu soka la kimataifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOUIS VAN GAAL KUWACHAMA 'LAIVU' BILA CHENGA WACHEZAJI WASIO NA CHAO MANCHESTER UNITED

+7 Tabasamu 'bab kubwa': Ashley Young akiungana na wachezaji wenzake Wayne Rooney na Danny Welbeck kwenye mazoezi ya ... thumbnail 1 summary

All smiles: Ashley Young joins team-mates Wayne Rooney and Danny Welbeck for Manchester United training

Tabasamu 'bab kubwa': Ashley Young akiungana na wachezaji wenzake Wayne Rooney na Danny Welbeck kwenye mazoezi ya Manchester United.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REAL MADRID YAINASA SAINI YA KIPA SHUJAA WA COSTA RICA KEYLOR NAVAS

MABINGWA wa Ulaya, Real Madrid wamemsajili mlinda mlango na shujaa wa Costa Rica katika fainali za kombe la dunia majira ya kiangazi mwa... thumbnail 1 summary
MABINGWA wa Ulaya, Real Madrid wamemsajili mlinda mlango na shujaa wa Costa Rica katika fainali za kombe la dunia majira ya kiangazi mwaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIDA AFANYA JEURI NYINGINE YA PESA ... TAZAMA HAPA ALICHOKIFANYA SAFARI HII

Zimemtembelea!   Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine... thumbnail 1 summary

Zimemtembelea! Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno ya Ay baada ya hizi picha 12 akiwa Ikulu Marekani na alichokutana nacho

A.Y tayari ameshafika Marekani na wameanza kwa kukutana na Wafanyakazi wa ofisi ya Rais Barack Obama ambapo msafara huo wa wasanii wa Afr... thumbnail 1 summary
6A.Y tayari ameshafika Marekani na wameanza kwa kukutana na Wafanyakazi wa ofisi ya Rais Barack Obama ambapo msafara huo wa wasanii wa Afrika umepata nafasi ya kuzunguka sehemu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PASTOR MYAMBA KUFUNGUA KAMPUNI YAFANYA KUFURU YA PESA UKUMBINI... KILA MTU ASHANGAA

MSANII na muongozaji wa filamu nchini Pastor Myamba afunda ndoa jana katika visiwa vya Zanzibar, huku akiwa amepewa zawadi nono zinazowez... thumbnail 1 summary

MSANII na muongozaji wa filamu nchini Pastor Myamba afunda ndoa jana katika visiwa vya Zanzibar, huku akiwa amepewa zawadi nono zinazoweza kumsababisha akafungua kampuni yake mpya au kuendesha biashara yoyote. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KITALE AKA MKUDE SIMBA AMRISISHA VITUKO MWANAE ALIYEMPA JINA LA SIMBA WAKE

Kila mtu anapokuwa kazini huwa mwingine na akirudi katika familia yake huwa mtu mwingine na hii imedhihirishwa na Kitale au Mkude Simba j... thumbnail 1 summary

Kila mtu anapokuwa kazini huwa mwingine na akirudi katika familia yake huwa mtu mwingine na hii imedhihirishwa na Kitale au Mkude Simba jina ambalo limekuwa kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU BIFU LA WEMA NA MBOTO, SOMA HAPA KUJUA KINACHOENDELEA

BIFU?  Komediani Haji Salum ‘Mboto’ amekanusha vikali kuwa na bifu na Wema Sepetu baada ya tetesi za chinichini kuvuma kwamba wapo kwe... thumbnail 1 summary

BIFU? Komediani Haji Salum ‘Mboto’ amekanusha vikali kuwa na bifu na Wema Sepetu baada ya tetesi za chinichini kuvuma kwamba wapo kwenye bifu zito.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA ANASWA AKIWA ANAJIVINJARI NA KIDUME CHINA

Tap!  Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Iju... thumbnail 1 summary


Tap! Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIKIBA AFUNGUKA KUHUSU LULU. AONGELEA PIA TUHUMA ZA KUMTOA BIKRA JACKLINE WOLPER

HII ni exclusive!  Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango... thumbnail 1 summary

HII ni exclusive! Kwa mara ya kwanza, staa anayeitikisa nchi kwa sasa na wimbo wake wa Mwana, Ali Kiba amefunguka kuwa mwigizaji kiwango Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ anafaa kuwa mke (wife material)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUDE AZUNGUMZIA TAARIFA ZA GARI LAKE KUHUSISHWA NA TUKIO LA UJAMBAZI....

Baada ya gari la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tuki... thumbnail 1 summary

Baada ya gari la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama, amezungumzia nini kinaendelea kwenye madai hayo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: