July 17, 2014

CHEKA KISHAROBARO: SHEHHE AGAWA MBUZI AKIZANI NI MBWA....... SHARE

Mzee mmoja wa kiislam maeneo ya Kibaha alikuwa anaenda katika mnada kununua mbuzi kwa ajili ya kitoeo cha siku kuu ya Idi. Vijana wa ki... thumbnail 1 summary

Mzee mmoja wa kiislam maeneo ya Kibaha alikuwa anaenda katika mnada kununua mbuzi kwa ajili ya kitoeo cha siku kuu ya Idi. Vijana wa kihuni wa mtaani walipojua kuwa anaenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RECHO WA THT AKANA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA TID.. SOMA ZAIDI

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo ... thumbnail 1 summary


MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOL!! SAKATA LA USHOGA LAMGEUKIA STEVE NYERERE KWA MADAI KUWA YEYE NI SHOGA

Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga.   Steve Ny... thumbnail 1 summary

Mwenyekiti wa bongo movie Unity, Steve Nyerere amechukizwa na watu wanaotumia mitandao vibaya na kwa kumzushia kuwa ni shoga. 
Steve Nyerere kupitia akaunti yake ya facebook ameandika:
 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPYA YAIBUKA!! RICH MAVOKO AUKANA WIMBO WAKE MPYA ULIOTOKA HIVI KARIBUNI,

 Rich Mavoko amekana kuachia wimbo mpya unaoitwa ‘Tururu’ wimbo ambao ulisambaa sana jana kwenye mitandao ya kijamii na websites na kup... thumbnail 1 summary



 Rich Mavoko amekana kuachia wimbo mpya unaoitwa ‘Tururu’ wimbo ambao ulisambaa sana jana kwenye mitandao ya kijamii na websites na kupata namba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Je, wivu katika mapenzi unaleta maana?

Assalam Alaikum! Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nanyi wapendwa wasomaji wa safu yetu hii ya uwanja wa mapenzi. Tumshu... thumbnail 1 summary

Assalam Alaikum! Ni furaha yangu kwa
mara nyingine tena kukutana nanyi
wapendwa wasomaji wa safu yetu hii ya
uwanja wa mapenzi. Tumshukuru Muumba
wetu kwa kutujaalia uhai na afya njema,
lakini zaidi ya hapo tumshukuru pia kwa
kutuumbia kitu mapenzi au sio?
Siku zote hatutaacha kuzungumza juu ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ramadhani Yamaliza BIFU la Wema Sepetu na Penny

Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungi... thumbnail 1 summary

Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu
amesema baada ya kutokuwa na
maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji
maarufu Bongo, Peniel Mungilwa 'Penny',
sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa
heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

POST YA HASHEEM THABEET KUHUSU WANAODHANI AMESAHAU LUGHA YA KISWAHILI SOMA ZAIDI HAPA

Hasheem Thabeet ame-post kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu baadhi ya watu wanaodhani kwamba amesahau lugha ya kiswahili. Sasa hiki... thumbnail 1 summary

thannn

Hasheem Thabeet ame-post kwenye ukurasa wake wa facebook kuhusu baadhi ya watu wanaodhani kwamba amesahau lugha ya kiswahili. Sasa hiki ndicho alichoandika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VAN GAAL ATUA CARRINGTON, KESHO KUTANGAZWA RASMI KABLA YA KUKWEA PIPA KWENDA MAREKANI

+12 Salamu: Van Gaal (katikati) amekutana na msaidizi wake  Ryan Giggs (kushoto) na makamu mwenyekiti Ed Woodward. thumbnail 1 summary
Greet: Van Gaal (centre) meets assistant manager Ryan Giggs (left) and executive vice-chairman Ed Woodward
Salamu: Van Gaal (katikati) amekutana na msaidizi wake  Ryan Giggs (kushoto) na makamu mwenyekiti Ed Woodward.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TETESI ZA USAJILI: JUVENTUS YASEMA ARTURO VIDAL HATARUHUSIWA KUJIUNGA MANCHESTER UNITED

+4 Hang`oki: Juventus wamesema hawatamuuza Arturo Vidal (kushoto). KIUNGO wa Juventus, Arturo Vidal hauzwi majira haya ya ki... thumbnail 1 summary

Hands off: Juventus are keen on keeping hold of star midfielder Arturo Vidal (left)

Hang`oki: Juventus wamesema hawatamuuza Arturo Vidal (kushoto).
KIUNGO wa Juventus, Arturo Vidal hauzwi majira haya ya kiangazi, mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo, Giuseppe Marotta amesisistiza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PACHA WA MSANII MAREHEMU KANUMBA, KWELI DUNUANI WAWILIWAWILI

Philimon Rutwaza akisubiri mahojiano na Global TV Online. thumbnail 1 summary


Philimon Rutwaza akisubiri mahojiano na Global TV Online.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTAFITI: HARUFU MBAYA YA KUJAMBA ( KUTOA USHUZI ) INAZUIA MAGONJWA ......MAGONJWA YAPI?, BOFYA HAPA

Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni. Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiy... thumbnail 1 summary

Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.
Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE MR NICE AFUNGUKA KUHUSU UTAJIRI WAKE WA BILIONI 1.5 NA JINSI ULIVYOTOWEKA GHAFLA

Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!.  Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly... thumbnail 1 summary

Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. 

Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: