February 11, 2015

CHUCHU HANSI AJITOA FAHAMU...ADAI JOHARI HAKUWAHI KUWA MPENZI WA RAY

Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamarad... thumbnail 1 summary


Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichoamuliwa na familia kuhusu hatma ya mtoto wa marehemu Whitney Houston

Zikiwa ni siku 10 tangu Bobbi Kristina apoteze fahamu na kuendelea kutumia mashine zinazomsaidia kupumua hadi sasa imeelezwa hali ya... thumbnail 1 summary


Zikiwa ni siku 10 tangu Bobbi Kristina apoteze fahamu na kuendelea kutumia mashine zinazomsaidia kupumua hadi sasa imeelezwa hali yake bado haijabadilika tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa ni Flavour kwenye video yake mpya ‘Ololufe’ Ft. Chidnma

Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama. thumbnail 1 summary
Messi iii


Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai am... thumbnail 1 summary

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO USIPOJIPANGA TUTAKUPANGA!

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Mambo vipi? Mishe zinasemaje? Binafsi mimi ni mzima wa afya, maisha... thumbnail 1 summary



KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Mambo vipi? Mishe zinasemaje? Binafsi mimi ni mzima wa afya, maisha yanasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Tunapambana!


Nimekukumbuka leo kwa barua maana kitambo kidogo hatujaonana. Nakupongeza kwa nyimbo zako maana hata wale waliosema ulibebwa na Diamond katika wimbo wa Muziki Gani, sasa hivi wanajutia kauli zao.


Wanaona walikosea maana umefyatua nyimbo zako mwenyewe na unaendelea kukimbiza mitaani.

Madhumuni ya barua hii ni kutaka kukueleza kwamba wewe ni staa hivyo unapaswa kuwa mfano wa kuigwa na kila mtu katika jamii. Hutakiwi kuteleza hata kidogo. Ukiwa wewe ndiyo kinara wa majanga, utatolewa mfano kwamba hufai kuigwa kutokana na matendo yako maovu.


Kila mmoja anatambua uwezo wako, anatambua hatua ambayo umefikia kimuziki. Watu wanatambua kwamba una mchumba ambaye una mikakati ya kufika naye mbali kwa maana ya ndoa Mungu akipenda.


Kinachoshangaza ni kwamba, inakuwaje unaonekana katika pozi za kimahaba na mwanamke mwingine? Picha zenyewe zinatia kinyaa?


Mwishoni mwa wiki iliyopita gumzo katika mitandao ya kijamii ilikuwa ni wewe na picha zako za utupu na mwanamke huyo ambaye hakuwa mchumba wako.Ndugu yangu, picha zile hazikuwa nzuri kwako. Zimekudhalilisha na hata kukuletea ugomvi kwa mchumba wako.


Kwa nini ulikubali kupiga picha za namna ile? Zilikuwa za nini? Ulikuwa na malengo gani? Hata kama mlikuwa katika ‘shooting’ ya wimbo kwa nini ulikubali kupigwa picha katika hatua ile?

Tena bora zingevujishwa na mtu mwingine, wewe mwenyewe unatajwa kuwa ndiye chanzo cha kusambaa kwa picha hizo kupitia mitandao yako ya kijamii, hivi kwenye kichwa chako uliwaza kabla ya kufanya?


Unapaswa kujiheshimu hata kama ni video ya wimbo, naamini kwa desturi zetu, kamwe huwezi kuruhusiwa kurusha video ya namna hiyo hewani. Tamaduni zetu haziruhusu, unasubiri nani akuzuie kufanya hivyo wakati wewe kama kioo cha jamii unapaswa kuwa mfano?


Una watoto sasa, ulimwengu wa sasa si ule wa zamani. Picha zako za utupu zinachapishwa magazetini, zitasambaa kwenye mitandao mbalimbali na wanao pia watajionea bila wasiwasi. Watajifunza nini kutoka kwa baba? Jibu najua unalo na haliwezi kuwa zuri kwa mtu muungwana.


Ulimwengu wa sasa, ukifanya vituko vya namna hiyo, rekodi zake zinabaki kwenye mitandao. Vizazi na vizazi vitakuja kuona hayo uliyoyafanya juzi. Badilika kaka!Ni matumaini yangu utakuwa umenielewa, kwa leo naishia hapa, naamini utafanyia kazi mawazo yangu na kubadilika.

Wasalaam,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE AWATUKANA WANAUME WANAOMPELEKEA HABARI ZAKE KWA JAMAA YAKE WA SAUZI

Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE a... thumbnail 1 summary


Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea kuhatarisha penzi la MASOGANGE na huyo jamaa…MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo na kuandika kama unavyoona hapa!!!



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MC AMKERA WAZIRI SHEREHE YA LUIZA

MSHEHERESHAJI  wa onyesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza mwimbaji kiongozi Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 ya kuifan... thumbnail 1 summary

MSHEHERESHAJI wa onyesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza mwimbaji kiongozi Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 ya kuifanyia kazi mfululizo bila kuhama, Sakina Lyoka, Jumamosi iliyopita alimkera

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA

BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati... thumbnail 1 summary

BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati walikutwa katika mkao wa kimahaba kiasi cha kuwafanya mashabiki kujiuliza kama mkali huyo wa kibao cha Uzuri wako anaweza kuendelea kubisha.
Wabongo Fleva Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ wakila ujana.
Wawili hao walikutwa wamepakatana wakati wa onyesho la kutambulisha video za wakali wa Bongo Fleva, lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Escape One, Mikocheni jijini Dar.
Vee Money alithibitisha kuwa wao ni wapenzi mbele ya umati alipokuwa stejini akiimba naye pamoja na Barnaba wimbo walioshirikiana unaojulikana kwa jina la Siri, akisema anampenda sana Jux na kuwafanya mashabiki kumshangilia kwa nguvu.
Juma Mussa ‘Jux’ akipozi.
Baada ya Vanessa kumaliza shoo yake, ukafuata wakati wa Jux ambaye alipomaliza na kurudi nyuma ya jukwaa, Vee alimpisha mvulana huyo akae kitini kisha yeye akamkalia, jambo lililotosha kuwaaminisha watu mapenzi yao.
“Njooni muone jamani Vanessa kapakatwa na Jux tena hawana hata wasiwasi wenyewe wamejiachia kama hawapo vile, watakuwa ni wapenzi tu kwa maana huwa wanaficha sana,” alisikika akisema shabiki.
Hawakuishia hapo, kwani waliendelea kuoneshana mahaba mpaka walipoondoka katika viwanja hivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MM HII NOMA SASA...DAKTARI ANASWA NA MAITI DUKANI,ADAIWA KUMPA DAWA ZIKAWA SUMU

UKANJANJA!  Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai... thumbnail 1 summary

UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PESA MBWEMBWE TU, MAPENZI YA KWELI YAPO

UZOEFU   katika maisha ni jambo zuri sana kwa sababu unakusaidia kwa mambo mengi, hasa unapojikuta katika nyakati ngumu. Mara nyingi unap... thumbnail 1 summary

UZOEFU katika maisha ni jambo zuri sana kwa sababu unakusaidia kwa mambo mengi, hasa unapojikuta katika nyakati ngumu. Mara nyingi unapojikuta ndani ya nyumba yako hakuna chakula, unafahamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAPATOSHI BONGO MOVIE...!!!! BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni ... thumbnail 1 summary

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: