June 06, 2016

Meek Mill avunja sheria ya mahakama na kuhudhuria kwenye tamasha la Queen Bey

Baada ya siku chache kuongezewa kifungo cha siku nane ndani ya nyumba yake, rapper Meek Mill amevunja sheria hiyo kwa kutoka nje. thumbnail 1 summary
Baada ya siku chache kuongezewa kifungo cha siku nane ndani ya nyumba yake, rapper Meek Mill amevunja sheria hiyo kwa kutoka nje.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Menejimenti za muziki za kimataifa hazifahamu soko la kiafrika; Wasanii wawe makini

Hakuna shaka kuwa menejimenti nzuri ina mchango mkubwa katika mafanikio ya msanii. Dhana hii inaweza kudhihirika kwani kuna wasanii wengi... thumbnail 1 summary
Hakuna shaka kuwa menejimenti nzuri ina mchango mkubwa katika mafanikio ya msanii. Dhana hii inaweza kudhihirika kwani kuna wasanii wengi na wakubwa ambao mafanikio yao makubwa yanatokana na kuwa chini ya utawala ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE Kidoti Atoa ya Moyoni Kuhusu Ma-Ex Wake ALI KIBA na DIAMOND na Mafanikio Yao!

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Jokate Mwegelo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu issue kibao zikiwemo brand yake ya Kidoti na nin... thumbnail 1 summary
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Jokate Mwegelo amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu issue kibao zikiwemo brand yake ya Kidoti na nini kipya kinakuja, muziki wake, mitandao ya kijamii, Alikiba na dili lake la Sony pamoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KASHFA YA NGONO KULIANDAMA KANISA KATOLIKI DUNIANI,PAPA FRANSIS AFANYA MAAMUZI HAYA..!!

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Fransis ametangaza kuwa maaskofu wa kanisa hilo watakaoshindwa kushughulikia maka... thumbnail 1 summary


Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Baba Mtakatifu Fransis ametangaza kuwa maaskofu wa kanisa hilo watakaoshindwa kushughulikia makasisi waliokumbwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto wadogo wanaweza kuondolewa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu Ndio Ujio Mpya wa Wakongwe Mr BLUE na King ALIKIBA

Mr Blue ameinspire wasanii wengi sana wanaofanya vizuri sasa hivi. Ni rapper aliyefanikiwa akiwa na umri mdogo kupitia hits zake kama ‘Blue... thumbnail 1 summary
Mr Blue ameinspire wasanii wengi sana wanaofanya vizuri sasa hivi. Ni rapper aliyefanikiwa akiwa na umri mdogo kupitia hits zake kama ‘Blue Blue’ na ‘Mapozi.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND Aongeza Nyumba Nyingine [+Pichaz]

Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya Kunduchi kupitia Dalali mwanamkee. Naona Diamon... thumbnail 1 summary
Yeye anapenda kuviita vibanda,leo tena amekamilisha manunuzi ya nyumba nyingine maeneo ya Kunduchi kupitia Dalali mwanamkee. Naona Diamond kila akimsainisha msanii katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond adai ngoma aliyomshirikisha Raymond ni moto wa kuotea mbali

Diamond Platnumz ameendelea kuwapa kipaumbele wasanii walio chini ya label yake ya WCB ambao ni pamoja na Harmonize, Raymond, Rich Mavoko n... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz ameendelea kuwapa kipaumbele wasanii walio chini ya label yake ya WCB ambao ni pamoja na Harmonize, Raymond, Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA WEMA KUANZA KUPOST KAZI ZA WCB INSTAGRAM,DIAMOND AIBUKA NA HAYA JUU YA KITENDO HIKO...!!

Msanii Diamond Platnumz ambaye kipindi cha nyuma alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa anafurahi kuona Wema ... thumbnail 1 summary
Msanii Diamond Platnumz ambaye kipindi cha nyuma alikuwa akitoka kimapenzi na Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa anafurahi kuona Wema Sepetu anampa support kwenye kazi zake baada ya kuona amepost promo zake mbalimbali

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaume Walio na Viuno Vikubwa Hatarini Kupatikana na Saratani ya Tezi Dume

Wanaume walio na viuno vikubwa wako hatarini kupatikana na saratani ya tezi dume ,utafiti umebaini. Utafiti uliofanyiwa watu 140,000 kutoka... thumbnail 1 summary
Wanaume walio na viuno vikubwa wako hatarini kupatikana na saratani ya tezi dume ,utafiti umebaini. Utafiti uliofanyiwa watu 140,000 kutoka mataifa manane ya Ulaya ulibaini kwamba viuno vikubwa huongeza mtu kupatikana na saratani hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huu Ndio UTATA wa Wanawake Katika Mapenzi! Karibuni Tujuzane na Tuchangie Hapa...

Nimeleta mada hii tujadili tuone ni wapi mtu anapokuwa sahihi na wapi mtu anakosea. Mkataba wa ndoa unawataka wanandoa kuvumiliana katika... thumbnail 1 summary
Nimeleta mada hii tujadili tuone ni wapi mtu anapokuwa sahihi na wapi mtu anakosea.
Mkataba wa ndoa unawataka wanandoa kuvumiliana katika SHIDA na RAHA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwanamuziki SHETTA Apangua Tuhuma za Kubebeshwa Madawa ya Kulevya

Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ”Namjua” ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi ny... thumbnail 1 summary
Star wa Bongo Fleva Shetta anayefanya vizuri na wimbo wake mpya wa ”Namjua” ameweka wazi juu ya mafanikio yake baada ya kuwa na tetesi nyingi kuwa siku hizi na yeye anabeba mabegi ya unga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Atoa Msada wa Madawati 600

Msanii Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote w... thumbnail 1 summary
Msanii Diamond Platnumz akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Msanii Diamond Platnumz akiwa na uongozi na wasanii wote wa WCB, leo wamemkabidhi Mkuu wa Mkoa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA MAANA SAHIHI YA NDOTO ZA KUJISAIDIA HAJA KUBWA ..!!!

Mara nyingi ndoto huja kama fumbo au mfano ili kuelewa maana ya ndoto uliyoota yakulazimu ufahamu nini maana ya fumbo au mfano ulio u... thumbnail 1 summary


Mara nyingi ndoto huja kama fumbo au mfano ili kuelewa maana ya ndoto uliyoota yakulazimu ufahamu nini maana ya fumbo au mfano ulio uona katika ndoto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Kweli Jasiri Haachi Asili... Jionee DIAMOND Platnumz Akicheza Kigodoro Nyumbani Kwake, Noma Sana!

Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya Pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza mitaa... thumbnail 1 summary
Kwa wakazi wa Dar na mikoa ya Pwani mtakubaliana na mimi kua mziki aina ya kisingeli kwa sasa unakubalika sana. Kwa mfano ukikatiza mitaa mingi ya Dar lazma utakuta sehemu au ndani ya bodaboda au bajaji wakipiga singeli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video : Ommy Dimpoz Amuiga DIAMOND... Naye Kaamua Kutoboa Pua na Kusema Haya....

Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae ... thumbnail 1 summary
Kuna uwezekano mkubwa hii style mpya ya wasanii wa kiume kutoboa pua ikaenea kwa wasanii wengi zaidi. Ilianza kwa msanii Chid Benz ambae mara baada tu ya kuonekana katoboa pua ilikua gumzo sana sio tu magazetini hata mitandaoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MUFTI MKUU TANZANIA AWATAKA WAISLAMU NCHINI KUUNGA MKONO KAULI HII YA DK MAGUFULI..!!

WAKATI Waislamu duniani kote wakitarajia kuanza kutekeleza moja ya nguzo tano za dini yao kwa kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, Baraza ... thumbnail 1 summary
WAKATI Waislamu duniani kote wakitarajia kuanza kutekeleza moja ya nguzo tano za dini yao kwa kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hawa Ndio WCB! Shuhudia Raymond na LINAH Wakijiachia Kimahaba [+Pichaz]

Msanii anayetamba na vibao vya Kwetu na Natafuta Kiki Raymond toka katika label ya Wasafi Classic Baby (WCB) akifanya yake na msanii Li... thumbnail 1 summary

Msanii anayetamba na vibao vya Kwetu na Natafuta Kiki Raymond toka katika label ya Wasafi Classic Baby (WCB) akifanya yake na msanii Linah Sanga "Ndege Mnana" ndani ya swimming pool! Picha hii imekua gumzo mtandaoni, wengi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Aamua Kuwakomesha Wambea Kwa Hii Picha.

Zari ameamua kuwapa live mwonekano wake wa .....kwa picha hii aliyopost mtandaoni ikiwa ni kuwanyamazisha wale wanaodai kuwa eti hana mak... thumbnail 1 summary
Zari ameamua kuwapa live mwonekano wake wa .....kwa picha hii aliyopost mtandaoni ikiwa ni kuwanyamazisha wale wanaodai kuwa eti hana makalio makubwa na huwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA OBAMA KUIJIBU BARUA YA BINTI WA KITANZANIA,MAMBO YAWA HIVI..!!!

MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Mlowa wilayani Iringa, Eva Tolage (16) ambaye mwaka jana alimwandika barua Rai... thumbnail 1 summary
MWANAFUNZI wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Mlowa wilayani Iringa, Eva Tolage (16) ambaye mwaka jana alimwandika barua Rais Barack Obama wa Marekani akielezea kero zinazowakabili watoto wa kike katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE BUNGE WAKUBALIANA NA UKAWA JUU YA HAYA KUHUSU NAIBU SPIKA ..!!!

KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa mad... thumbnail 1 summary
KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk Tulia Ackson (pichani).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maskini Jacqueline WOLPER... Picha na Video Zake za UTUPU Zamnyima Raha!

Jacqueline Wolper.  DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe yuko katika wakati mgumu kufuatia kua... thumbnail 1 summary
Jacqueline Wolper. 
DAR ES SALAAM: Yamemkuta! Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Massawe yuko katika wakati mgumu kufuatia kuahidiwa na mtu aliyetajwa kuwa ni mpenzi wake wa zamani akimtishia kuvujisha picha zake za utupu. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatimaye Mwana FA Amefunga Ndoa, Mke Wake Huyu Hapa

Mwana FA unaona lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii. thumbnail 1 summary
Mwana FA unaona lini? Hatimaye jibu lake limepatikana. Rapper huyo amefunga ndoa Jumapili hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Harmonize Amnunulia Wolper Gauni La Tsh Milioni 1

IMEVUJA ! ‘Kinda’ wa Bongo Fleva Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ambaye anatamba na kibao chake cha Bado, anadaiwa kumnunulia mpenzi wake, sta... thumbnail 1 summary
IMEVUJA ! ‘Kinda’ wa Bongo Fleva Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ ambaye anatamba na kibao chake cha Bado, anadaiwa kumnunulia mpenzi wake, staa wa filamu, Jacqueline Walper ‘Wolper’ gauni lenye thamani ya shilingi milioni moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Usain Bolt huenda akapokonywa medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ya Olimpiki

Bingwa wa dunia katika mbio za mita 100 na 200 Usain Bolt huenda akapokonywa mojawapo ya medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ... thumbnail 1 summary
Bingwa wa dunia katika mbio za mita 100 na 200 Usain Bolt huenda akapokonywa mojawapo ya medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ya Olimpiki mjini Beijing 2008.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: