October 28, 2015

WASSIRA, SIKUBALIANI NA MATOKEO YA ESTER BULAY ...NIMEHUJUMIWA

Stephen Wassira  Saa chache baada ya Msimamizi wa Uchaguzi kumtangaza Ester Bulaya wa Chadema kuwa mshindi katika jimbo la Bunda Mjini,... thumbnail 1 summary
Stephen Wassira 
Saa chache baada ya Msimamizi wa Uchaguzi kumtangaza Ester Bulaya wa Chadema kuwa mshindi katika jimbo la Bunda Mjini, aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo na mpinzani wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM KUIPOTEZA DAR ES SALAAM NI KUIPOTEZA TANZANIA NZIMA

Dar es Saaam ndiyo Tanzania. Dar es Salaam ndiyo kila kitu. Kioo cha Tanzania ni Dar es Salaam. Pamoja na uwepo wa majiji matano nchi... thumbnail 1 summary


Dar es Saaam ndiyo Tanzania. Dar es Salaam ndiyo kila kitu. Kioo cha Tanzania ni Dar es Salaam. Pamoja na uwepo wa majiji matano nchini: Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga, lakini Dar ndiyo mwanzo na mwisho. Katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOJA KWA MOJA KUTOKA TUME YA UCHAGUZI (NEC) MATOKEO YA URAIS ASUBUHI HII HAPA YA TAR 28 OCT

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa. Tembelea ukurasa huu mara ... thumbnail 1 summary


Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.
Tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates zaidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKAWA WASEMA HAWATAMBUI MATOKEO YA URAIS YANAYOTANGAZWA NA NEC

Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza matokeo, wakiitu... thumbnail 1 summary
Chadema kwa kushirikiana na vyama vinavyounda Ukawa, leo wanakutana kujadili mwenendo waliouita usio halali wa kutangaza matokeo, wakiituhumu Tume ya Uchaguzi (NEC), CCM na Jeshi la Polisi kushirikiana kuhujumu matokeo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHADEMA MTAKUMKUMBUKA ZITTO KABWE NA DR SLAA,CUF HAWATAISAHAU CHADEMA

Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha waz... thumbnail 1 summary
Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha wazi umahiri wa Zitto kabwe na Dr. Slaa walivyofanya kazi kubwa kwa kutumia upeo wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DAVIDO AWAGOMBANISHA AGNESS MASOGANGE NA DIVA!!!! MASOGANGE AMSHANGAA DIVA KUGOMBANA NA KILA MTU

KITUKO! Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejik... thumbnail 1 summary
KITUKO! Mtangazaji wa kituo cha redio cha Clouds, Loveness Malinzi ‘Diva’ na Video Queen maarufu Bongo Agness Jerald ‘Masongange’ wamejikuta wakiingia katika ugomvi, kisa kikiwa ni msanii wa muziki wa Nigeria, Davido.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full Time ya Sheffield Wednesday Vs Arsenal October 27 na matokeo ya mechi nyingine za Capital One (+Pichaz&Video)

Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu  Uingereza  ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la  Ca... thumbnail 1 summary
Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu Uingereza ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la Capital One iliendelea nchini Uingerezakwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sentensi za Mbowe mbele ya waandishi wa habari October 27, 2015

Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo leo October 27, 2015 mwenyekiti wa Chadema... thumbnail 1 summary
Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo leo October 27, 2015 mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Prince William katoa medali ya heshima kwa Frank Lampard (+Pichaz)

Kiungo wa kimataifa wa zamani wa Uingereza na klabu ya Chelsea ya Uingereza Frank Lampard ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya New York C... thumbnail 1 summary
Kiungo wa kimataifa wa zamani wa Uingereza na klabu ya Chelsea ya Uingereza Frank Lampard ambaye kwa sasa yupo katika klabu ya New York City inayoshiriki Ligi KuuMarekani (MLS), ameingia katika headlines October 27 baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Blac Chyna na Future ni wapenzi..? Picha hii inaweza kuwa uthibitisho wa uhusiano wao!

Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa... thumbnail 1 summary
Baada ya tetesi nyingi sana kusambaa kuhusu mpenzi wa zamani wa Ciara, Future na aliyewahi kuwa mpenzi wa zamani wa Tyga, Blac Chyna kuwa ni wapenzi, sasa hivi inaonekana wazi kuwa mmoja wao hana chochote cha kuficha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIVE, MATOKEO RASMI YA URAIS KWA MUJIBU WA NEC JIONI HII - UCHAGUZI MKUU 2015

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa. thumbnail 1 summary
Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INSTAGRAMU WAIFUNGIA AKAUNTI YA IDRIS SULTANI, SOMA HAPA KUJUA SABABU YA KUFUNGIWA

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan. thumbnail 1 summary

Instagram imeifungia akaunti ya mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUGUSTINO MREMA NDIO BASI TENA ..MBATIA ATWAA VUNJO NA KUTANGAZWA KUWA MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI

By auli Giliard/Louis Kolumbia, Mwananchi Digital Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa... thumbnail 1 summary
By auli Giliard/Louis Kolumbia, Mwananchi Digital
Tume ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza James Mbatia wa NCCR Mageuzi kuwa mbunge mteule wa jimbo la Vunjo huku kada wa Chadema, Anthony Komu naye akiibuka mshindi katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Walalamikia Kitendo Cha Maali Seif Sharif Hamad Kujitangaza Mshindi......Wadai Walikamata Kura Feki za CUF Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema, Maalim Seif amevunja katiba na sheria kwa kujitangaza mshindi kabla ya matokeo halali ya Tum... thumbnail 1 summary
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimesema, Maalim Seif amevunja katiba na sheria kwa kujitangaza mshindi kabla ya matokeo halali ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PAMOJA NA MAJIMBO YALIYOTANGAZWA SAA 2 USIKU TAR; 27/10 NA NEC..MAGUFULI AMEKUA HASHIKIKI..

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,980,899 Huku Lowassa Akiwa na 1,388,693 thumbnail 1 summary

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,980,899 Huku Lowassa Akiwa na 1,388,693

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA SASA KUTABASAMU BAADA YA NGOME ZAKE KUMPA MATUMAINI MAKUBWA CHEKI TOFAUTI YA KURA MPAKA SASA...

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,689,003 Huku Lowassa Akiwa na 1,239,105 thumbnail 1 summary
Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,689,003 Huku Lowassa Akiwa na 1,239,105

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WABUNGE NA MADIWANI WOTE, CCM NA UKAWA WALIOKWISHA KUTANGAZWA RASMI ..KUANZIA TAR;25-27 MDA HUU..JE KUNA UWEZEKANO WA SERIKALI MSETO?

Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa na Wakurugenzi wenye dha... thumbnail 1 summary
Tunawaletea matokeo rasmi kwa nafasi ya Ubunge kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yanavyotangazwa na Wakurugenzi wenye dhamana hiyo 

Tembelea ukurasa huu mara kwa mara kwa updates zaidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IDADI YA KURA ZOTE ZA URAIS KULINGANA NA NEC KUTOKEA JANA MPAKA MUDA HUU...AMBAPO MPAKA SASA.......

HAYA NI MATOKEO RASMI YALIYOTOLEWA NA NEC HIVYO BASI TUNACHUKUA NA KUREKODI KWA AJILI YAKO MSOMAJI NA MFUATILIAJI WETU. thumbnail 1 summary
HAYA NI MATOKEO RASMI YALIYOTOLEWA NA NEC HIVYO BASI TUNACHUKUA NA KUREKODI KWA AJILI YAKO MSOMAJI NA MFUATILIAJI WETU.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NGOME ZA CCM ZILIZOKWISHA POKONYWA NA WAPINZANI MPAKA SASA

Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi thumbnail 1 summary
Tembelea link hii ili kupata updates za chama cha mapinduzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

October 14, 2015

January Makamba Adai Magazeti Yanampendelea LOWASSA Kwa Kumpigia Kampeni

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba ameonesha kutokubaliana kwake na ripoti za kinachojili kwenye mikutano ya mgombea ura... thumbnail 1 summary
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba ameonesha kutokubaliana kwake na ripoti za kinachojili kwenye mikutano ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa na kueleza kuwa Magazeti hutumiwa kupiga kampeni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Opens Up About How Fathering Princess Tiffah Has Changed Him

Diamond and Zari Hassan’s daughter, Latiffah Nasibu Abdul aka Princess Tiffah has not only made the Dangote’s a tight-knit family but als... thumbnail 1 summary
Diamond and Zari Hassan’s daughter, Latiffah Nasibu Abdul aka Princess Tiffah has not only made the Dangote’s a tight-knit family but also changed her father’s life in a big way.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rayuu Afunguka Kuhusu Wanaume Wanne Waliomfanyia Mbaya Kisha Kumtosa Bila Kumuoa

NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesh... thumbnail 1 summary
NYOTA wa filamu Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amesema anajihisi kama mwanamke mwenye mkosi baada ya wanaume wanne alioshiriki nao mapenzi kuonesha nia ya kumuoa,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE MAJUTO AREJEA TOKA MAKKA,AWA SHARO BARO, SHAVU DODO KWA SASA

Staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ alipowasili toka kuhiji Makka.MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya mkanyag... thumbnail 1 summary
Staa wa filamu za Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ alipowasili toka kuhiji Makka.MABADILIKO! Baada ya kunusurika kwenye vifo vya mkanyagano vilivyoua mahujaji zaidi ya 4000 waliokwenda kuhiji katika mji wa Mina,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE, ALI KIBA PICHA SASA MAMBO YAMESHANOGA, DENDA NJE NJE!!

MAYASA MARIWATA NA BONIPHACE NGUMIJE MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba, wamethibitisha kuwa wana m... thumbnail 1 summary
MAYASA MARIWATA NA BONIPHACE NGUMIJE
MWANAMITINDO Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ na mwandani wake Ally Salehe Kiba, wamethibitisha kuwa wana maelewano mazuri (picha zinaiva) baada ya mwishoni mwa wiki kuonekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MEMBE AZUNGUMZIA UWEZEKANO WA LOWASSA KUMLETA BALALI, SOMA HAPA ALICHOSEMA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Cha... thumbnail 1 summary

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia anaungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, hana uwezo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU HAPA KIGOGO MWINGINE WA CCM AJIVUA RASMI UANACHAMA WA CCM,ARUDISHA KADI

TAMKO RASMI LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU. NAJIVUA UANACHAMA WA CCM  Ndugu zangu,  Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu.... thumbnail 1 summary
TAMKO RASMI LA BALOZI JUMA V. MWAPACHU.
NAJIVUA UANACHAMA WA CCM 
Ndugu zangu, 
Kesho ni siku muhimu katika kalenda ya Taifa letu. Tunamkumbuka marehemu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyetutoka miaka 16 iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

King LAWRENCE Flaunts His New Lover After Eating And Dumping ZARI & HUDDAH (PHOTO)

After having s3x with aging Ugandan socialite, Zari Hassan, and later dumping her like garbage and doing the same to Kenya’s Huddah Monro... thumbnail 1 summary
After having s3x with aging Ugandan socialite, Zari Hassan, and later dumping her like garbage and doing the same to Kenya’s Huddah Monroe, flashy Kampala businessman,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

I'm Looking For A Husband To Settle Down With: Sabby Angel

Actress and singer Sabby Angel is tired being lonely and she is looking for a husband to settle with as she turns 25 on her birthday this... thumbnail 1 summary
Actress and singer Sabby Angel is tired being lonely and she is looking for a husband to settle with as she turns 25 on her birthday this October 21st. Sabby has been in unsuccessful

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ben Pol Aeleza Kwanini Hataki Kuonekana na Mpenzi Wake kila Wakati

Ben Pol amesema ataamua kutembea kila sehemu na mpenzi wake baada ya kuona anakaribia kufunga naye ndoa. thumbnail 1 summary
Ben Pol amesema ataamua kutembea kila sehemu na mpenzi wake baada ya kuona anakaribia kufunga naye ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

October 08, 2015

Dr. Slaa: Magufuli Haogopi Kupoteza Kura Kwa Kukemea Ufisadi na Kusema Atawafunga Wala Rushwa....Awalinganisha Lowassa na Magufuli

Mtangazaji anatambulisha mada. Ni yule yule Kamonte aliyemhoji mara mbili zilizopita. Dr. Slaa:  Nitaendelea kupigia kelele ma... thumbnail 1 summary

Mtangazaji anatambulisha mada. Ni yule yule Kamonte aliyemhoji mara mbili zilizopita.

Dr. Slaa: Nitaendelea kupigia kelele mambo yanayohusu taifa langu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EDWARD LOWASSA KUMZIKA MCHUNGAJI MTIKILA LICHA YA MANENO YOTE KABLA YA KIFO CHAKE

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Cha... thumbnail 1 summary
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa, anatarajia kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrati (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, imefahamika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JE UNATATIZO LA KUKOJOA HARAKA NA KUMALIZA MCHEZO HARAKA NJOO NIKUPE MBINU ZA KUEPUKA.

Sababu ya tatizo hili huweza kuwaya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii.Jenga tabi... thumbnail 1 summary
Sababu ya tatizo hili huweza kuwaya Kibaiolojia na Kiakili. Kama wewe pia ni moja yao na unapenda kujua jinsi ya zuia hali hii.Jenga tabia ya kufanya mazoezi yamwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyokitu rahisi cha kufanyani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

October 07, 2015

Jay Z na Beyonce hawajachoshwa nyumba za kupanga? Ya kwanza imeuzwa, wanahamia humu… (+Pichaz)

Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto waoBlue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza ... thumbnail 1 summary
Nyumba ya kwanza ambayo waliamua kuishi Jay Z na Beyonce pamoja na mtoto waoBlue Ivy, ilikuwa maeneo ya Los Angeles Marekani na walianza rasmi maisha ndani ya huo mjengo February 2015, baadae mambo yakabadilika.. nyumba iliuzwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za mama Regina Lowassa Zanzibar alivyoongea na Wanawake kuusubiria uchaguzi.

Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa ... thumbnail 1 summary
Jana ilikua October 6 2015 ambapo bado sera zimeendelea kunadiwa kuisubiria siku kubwa ya kura ambayo ni October 25 2015 ambapo mmoja wa waliochukua headlines jana ni mke wa mgombea Urais wa UKAWA Mama Regina Lowassa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dk. Kigoda hajafariki… Mwamunyange hajapewa sumu, haya ndio majibu ya Serikali… (Audio)

Kama utakuwa mfuatilia hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoenea na kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ile ya Waziri wa ... thumbnail 1 summary
Kama utakuwa mfuatilia hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazoenea na kuchukua nafasi kubwa katika mitandao mbalimbali ile ya Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda kufariki na ile ya mkuu wa Majeshi ya ulinzi nchini Jenerali Davis Mwamunyange kuwekewa sumu ambapo taarifa hizo si za kweli.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rick Ross anaisambaza rasmi single yake mpya ‘Sorry’ feat. Chris Brown – (Audio)!

Baada ya kufanya interview na  The Breakfast Club   leo, rapper  Rick Ross   ameachia single yake mpya  ‘Sorry’  ambayo ndani msani... thumbnail 1 summary
Baada ya kufanya interview na The Breakfast Club leo, rapper Rick Ross ameachia single yake mpya ‘Sorry’ ambayo ndani msanii wa R&B Chris Brown ameshirikishwa, wimbo utakaopatikana kwenye album mpya ya Rick Ross ‘Black Market’ 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wako Wapi Wabunge Washangiliaji wa Lowassa na Wenyeviti Watiifu Kwake?

Siku Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kulitaja jina la Edward Lowassa wabunge walilipuka kw... thumbnail 1 summary
Siku Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kulitaja jina la Edward Lowassa wabunge walilipuka kwa kushangilia na Bunge kuzizima. Rais Kikwete alikuwa akihitimisha miaka ya Bunge kuelekea kufanyika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Jina la Edward

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wastara Aonesha Mahaba Niue Live Hakuna Siri Tena

Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Telev... thumbnail 1 summary
Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Bond Bin Sinan baada ya kuonesha mahaba niue kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idris Sultan akanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu

Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa karibu zaidi katika miezi kadha... thumbnail 1 summary
Mshindi wa BBA 2014, Idris Sultan amekanusha kuwahi kutoka kimapenzi na Wema Sepetu baada ya kuonekana kuwa karibu zaidi katika miezi kadhaa iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Hawezi Kuhamia Tanzania Moja kwa Moja – Diamond Platnumz

Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady tayari wameziunganisha familia zao kwa kumpata mtoto wao wa kwanza Tiffah, lakini hakuna mpango wa mrembo huyo Mganda kuhamia moja kwa moja Tanzania ili kutengezeza familia moja.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mafuriko ya John Pombe Magufuli Huko Arusha Haijawahi Tokea...Picha za Monduli na Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Hizi Hapa

Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tayari kuhutubia wakazi w... thumbnail 1 summary
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha tayari kuhutubia wakazi wa mji huo kwenye mkutano wa kampeni za CCM ikiwa Arusha ni mkoa wake wa 21 tangia kuanza kwa kampeni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndio mtoto aliyezaliwa na kuvunja rekodi ya kuwa na uzito mkubwa zaidi India..

Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi i... thumbnail 1 summary
Kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa za Dunia, Guinness World Records kumbukumbu kubwa kuwekwa na mtoto aliyezaliwa na uzito mkubwa zaidi iliwekwa mwaka 1955 na mtoto ambaye alizaliwa akiwa na uzito wa Kilo 10 Italy.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIMENUKA..Mchungaji Gwajima Atakiwa na Familia Kumfufua Kaka Yake...Apewa Siku 14 la Sivyo Atashtakiwa

Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima. ********* ASKOFU Mkuu ... thumbnail 1 summary
Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima.
********* ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ametumiwa waraka mzito na wanaodai

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

October 06, 2015

Kumbe Marekani tatizo la watu kudownload muziki kinyume na Sheria bado ni kubwa sana tu!

Licha ya Marekani kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuwa na Sheria kali zinazodhibiti kudownload nyimbo kinyume na utaratibu uliowe... thumbnail 1 summary
Licha ya Marekani kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuwa na Sheria kali zinazodhibiti kudownload nyimbo kinyume na utaratibu uliowekwa, sources nyingi zinazotoa huduma ya kustream na kudownload muziki kama Tidal, Apple Music

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Will Smith amerudi kwenye muziki, mipango yake ikoje? Changamoto anazozipata je? – (Video).

Will Smith aliwasuprise mashabiki wake wengi duniani wiki iliyopita alipoachia single yake ya kwanza ‘Fiesta‘ baada ya kupotea kweye kura... thumbnail 1 summary
Will Smith aliwasuprise mashabiki wake wengi duniani wiki iliyopita alipoachia single yake ya kwanza ‘Fiesta‘ baada ya kupotea kweye kurasa za burudani kwa zaidi ya miaka 10… na kwa muonekano wa mambo Will Smith hana mpango

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: