November 03, 2014

Makonda Akana Kumpiga Jaji Warioba, Asema Anamheshimu Kama Babake Mzazi

raismu ya Katiba inayopendekezwa, kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza  jana, ambapo Makonda aliyedaiwa kump[iga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume y... thumbnail 1 summary
raismu ya Katiba inayopendekezwa, kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza  jana, ambapo Makonda aliyedaiwa kump[iga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu wa zamani Jaji mstaafu Joseph Warioba, amekanusha kumpiga leo katika mkutano wa waandishi wa habari,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Manchester United kumkosa beki huyu kwa miezi mitatu.

Beki wa kimataifa wa Argentina Marcos Rojo ambaye anaitumikia klabu ya Manchester United atakaa nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki ... thumbnail 1 summary

Manchester City v Manchester United - Premier League

Beki wa kimataifa wa Argentina Marcos Rojo ambaye anaitumikia klabu ya Manchester United atakaa nje ya uwanja kwa muda usiopungua wiki 12 ambazo ni sawa na miezi mitatu .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mfahamu nyota wa EPL anayetunza mzigo huu.

Nahodha wa Chelsea John Terry amekuwa na kawaida ya kukusanya vitambaa ambavyo amekuwa akivivaa kama nahodha wa Chelsea na timu ya taif... thumbnail 1 summary

terry's arm bands

Nahodha wa Chelsea John Terry amekuwa na kawaida ya kukusanya vitambaa ambavyo amekuwa akivivaa kama nahodha wa Chelsea na timu ya taifa ya England kwa miaka yote ambayo amekuwa kiongozi wa timu hizo mbili ambazo amezichezea .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UTAFITI, KUFANYA NGONO NA WANAWAKE WENGI KUNAMWEPUSHA MWANAUME KUPATA UGONJWA WA SALATANI YA KIBOFU.

Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na thumbnail 1 summary

Kulala na wanawake wengi kunapunguza hatari ya kupatikana na ugonjwa wa saratani ya kibofu cha mkojo,kulingana na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAKUBWA TU! HIZI NDIO SABABU ZA WANAWAKE KUPUNGUZA NGUVU Z KIUME...

Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye ... thumbnail 1 summary



Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hiki ndicho kilichomrudisha Rihanna Instagram baada ya kupotea kwa miezi 6

Kimya cha miezi sita huenda kikarudi na mengi kumhusu mkali Robyn Rihanna Fenty a.k.a Rihanna, ambaye imeripotiwa kuwa amerudi tena katik... thumbnail 1 summary
RihannaKimya cha miezi sita huenda kikarudi na mengi kumhusu mkali Robyn Rihanna Fenty a.k.a Rihanna, ambaye imeripotiwa kuwa amerudi tena katika mtandao wa Instagram kuungana na fans wake zaidi ya milioni 12 baada ya kuwatelekeza kwa kipindi cha miezi 6

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAAJABU YA KARNE: SHEKH SHARIF KHAMIS WA TANZANIA AONYESHA MIUJIZA NDANI YA MELI ..MARUBANI PAMOJA NA ABIRIA WADUWAA

Shekh Sharif Khamis hapa ndipo alipowaacha watu midomo wazi na mshangao baada ya kuendesha Meli wakati hajawahi kusomea urubani. thumbnail 1 summary

Shekh Sharif Khamis hapa ndipo alipowaacha watu midomo wazi na mshangao baada ya kuendesha Meli wakati hajawahi kusomea urubani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JITIBU CHUNUSI KWA KUTUMIA TUNDA LA PARACHICHI.

Vinavyohitajika : 1.Avocado moja lililoiva vyema. 2.Mtindi kijiko kimoja cha chakula. thumbnail 1 summary
Vinavyohitajika:
1.Avocado moja lililoiva vyema.
2.Mtindi kijiko kimoja cha chakula.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADHARA YA KUJIKUNA UNAPOWASHWA.

Kujikuna husababisha mfumo wa fahamu kutoa hormone iitwayo serotonin ambayo huongeza muwasho na maumivu    zaidi katika ngozi. thumbnail 1 summary
Kujikuna husababisha mfumo wa fahamu kutoa hormone iitwayo serotonin ambayo huongeza muwasho na maumivu  zaidi katika ngozi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJI YANAYOFAA KWA MTU ANAYEHARISHA

Mtu anapoharisha hupoteza maji mengi mwilini na kuufanya mwili kuwa dhaifu. Yafuatayo ni maji unayoweza kuyatumia nyumbani wakati unapop... thumbnail 1 summary
Mtu anapoharisha hupoteza maji mengi mwilini na kuufanya mwili kuwa dhaifu. Yafuatayo ni maji unayoweza kuyatumia nyumbani wakati unapopatwa na tatizo ili:

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DALILI ZA UPUNGUFU WA SUKARI MWILINI:

Mwili wa binadamu unaitaji sana sukari kwa ajili ya matumizi ya kila siku na unapokosa au kupungukiwa na sukari sehemu ya kwanza kuhadhi... thumbnail 1 summary

Mwili wa binadamu unaitaji sana sukari kwa ajili ya matumizi ya kila siku na unapokosa au kupungukiwa na sukari sehemu ya kwanza kuhadhirika huwa ni ubongo. Zifuatazo ni dalili zitakazokuwezesha kutambua kama una

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMEIPATAUJUMBE HUU


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MANCHESTER CITY WAICHAPA MAN UTD

Ligi kuu ya soka England imeendelea hii leo kwa michezo miwili iliyopigwa kwenye jiji la Manchester na jijini Birmingham ambapo kwenye m... thumbnail 1 summary

Ligi kuu ya soka England imeendelea hii leo kwa michezo miwili iliyopigwa kwenye jiji la Manchester na jijini Birmingham ambapo kwenye mchezo wa kwanza Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Manchester City waliwafunga mahasimu wao wa jadi Manchester United moja bila

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KINYWAJI CHA SHUDA COCKTAILS CHAZINDULIWA JIJINI DAR

Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 ka... thumbnail 1 summary
Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho kimetengenezwa kwa ufanisi na kuchanganywa katika vipimo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jan... thumbnail 1 summary

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TASWIRA ZA VURUGU ZILIZOHARIBU MDAHALO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE NA NUH MZIWANDA HAKUNA TENA NDOA LABDA ITOKEE MIUJIZA YA MUNGU:

IMEGUNDULIKA  kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufu... thumbnail 1 summary

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASTAA WANA MAMBO! LULU ATOA KALI.... ADAI ETI YEYE KAMWE HATUMII NGUVU NYINGI KWENYE... SOMA HAPA

Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi. MASTAA  wana mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lu... thumbnail 1 summary


Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi.
MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa sababu yanapoteza 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA WEMA SEPETU KUMMWAGA DIAMOND...MAMA WEMA AFANYA BONGE LA SHAREHE

Supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ akipozi. CHEREKO chereko!  Siku chache baada ya supastaa ‘grade one’... thumbnail 1 summary

Supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ akipozi.

CHEREKO chereko! Siku chache baada ya supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ kummwaga King of Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama mzazi wa mwigizaji huyo, Mariam Sepetu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KURUSHIWA MANENO KUWA MISS UGANDA ANA SURA MBAYA SASA ATOA YA MOYONI

Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia ku... thumbnail 1 summary

Leah amesema kuwa, Urembo si namna ya muonekano wa nje bali ni kilicho ndani ya mtu na kile anachoweza kuonesha dunia, huku akikazia kuwa yupo tayari kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Miss World mwezi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

USHER RAYMOND AWEKA UKWELI HADHARANI JUU YA UHUSIANO WAKE

Mapenzi Ni Kitu Ambacho Kina Nguvu Sana Katika Dunia Mwanamuziki Usher Raymond Ameamua Kuweka Siri Zote Hadharani Licha Ya Kuwa MpenziW... thumbnail 1 summary

Mapenzi Ni Kitu Ambacho Kina Nguvu Sana Katika Dunia Mwanamuziki Usher Raymond Ameamua Kuweka Siri Zote Hadharani Licha Ya Kuwa MpenziWake Huyo Amemzidi Umri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Umeipata hii ya Mchungaji kukamatwa na dawa za kulevya za bil.2 Tanzania ?

Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi b... thumbnail 1 summary
dawaaa
Jeshi la Polisi kitengo cha Kupambana na Dawa za kulevya limekamata kilo40 za dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya shilingi bilioni2.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya zaidi ya siku 360, Janet Jackson ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza

Baada ya kipindi chote hicho cha zaidi ya mwaka mmoja kutoonekana hadharani, Janet Jackson alionekana kwenye  Vogue Fashion Dubai Experie... thumbnail 1 summary
JANET JACKSON 1Baada ya kipindi chote hicho cha zaidi ya mwaka mmoja kutoonekana hadharani, Janet Jackson alionekana kwenye Vogue Fashion Dubai Experience Gala Ijumaa iliyopita huko Dubai akiwa na mume wake bilionea Wissam Al Mana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: