May 05, 2016

Woman, 101 Yrs Old Gives Birth After Ovary Transplant

In Napoli, Italy, Anatolia Vertadella, a 101-year-old woman, has given birth to a nine-pound baby, named Francesco, after a controversial... thumbnail 1 summary
In Napoli, Italy, Anatolia Vertadella, a 101-year-old woman, has given birth to a nine-pound baby, named Francesco, after a controversial ovary transplant widely criticized.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Agnes Masogange Shared The Photos Shows Off Her Amazing "Big Bu*Tt"

Agness Masogange is now making good to maintain her big boot and she is dating bongo movies star Rammy and on below photo shows her boyfr... thumbnail 1 summary
Agness Masogange is now making good to maintain her big boot and she is dating bongo movies star Rammy and on below photo shows her boyfriend is grabbing her buttocks

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMBO MATATU YA MUHIMU UNAYOWEZA KUFANYA ILI KUMDATISHA MPENZI WAKO BILA KUTUMIA PESA

Na Martha Magawa Nikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi... thumbnail 1 summary
Na Martha Magawa
Nikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi, anamvuto napenda anavyotabasamu na vitu vingine kama hivyo, LAKINI leo kupitia Udaku Special Mapenzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAREMBO KUMI WANAOFATILIWA NA KUANDIKWA ZAIDI NA VYOMBO VYA HABARI AFRIKA MASHARIKI

Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite per... thumbnail 1 summary
Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza linalomwelezea mtu mwenye sifa nyingi ila baadhi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAFUNGWA WANAOSUBIRI KUNYONGWA MAGEREZANI WAFIKIA 465

IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mw... thumbnail 1 summary
IDADI ya Watanzania wanaosubiri kunyongwa imekuwa ikiongezeka na hadi sasa imefikia 465 kutokana na hukumu ya kifo kutotekelezwa tangu mwaka 1994.
Ripoti iliyotolewa na Tume ya Haki za Binadamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALINIPENDA SANA KABLA HAJAPATA KAZI, SASA KAPATA KAZI ANANIONA BWEGE

Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali. Naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika ma... thumbnail 1 summary
Najuta ni kiherehere cha moyo wangu kukupenda,kukuthamini na jukujali.
Naombeni msaada,ni mpenzi wangu yapata 1&half year katika mahusiano ni binti ambaye tulifahamiana nae

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 10: Mbunge Mwita Waitara katolewa nje ya bunge baada ya kutaka kuanzisha vurugu

Bunge la 11 limeendelea tena leo Dodoma ambapo Wizara ya Katiba na Sheria ilikuwa ikiwasilisha mpango wa makadilio ya bajeti kwa mwaka ... thumbnail 1 summary

Bunge la 11 limeendelea tena leo Dodoma ambapo Wizara ya Katiba na Sheria ilikuwa ikiwasilisha mpango wa makadilio ya bajeti kwa mwaka 2016/2017 kupitia kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TFF YAIPOKONYA AZAM FC POINT TATU ZA MBEYA CITY

Siku moja baada ya kutoka sare ya 2-2 na JKT Ruvu, Azam FC imekumbana na balaa lingine la kupokwa pointi tatu na mabao matatu kwa kosa la... thumbnail 1 summary
Siku moja baada ya kutoka sare ya 2-2 na JKT Ruvu, Azam FC imekumbana na balaa lingine la kupokwa pointi tatu na mabao matatu kwa kosa la kumtumia beki wao, Erasto Nyoni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUU UJUMBE WA SNOOP DOGG KWA BARACK OBAMA.

Rapper mtukutu Snoop Dogg ametoa machache kwenye ujumbe wa shukrani kuhusu uongozi mzuri wa rais wa Marekani Barack Obama huku akiweka w... thumbnail 1 summary
Rapper mtukutu Snoop Dogg ametoa machache kwenye ujumbe wa shukrani kuhusu uongozi mzuri wa rais wa Marekani Barack Obama huku akiweka wazi kuwa hajali anayechukua nafasi yake kwa sasa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SPURS, CHELSEA, DEMBELE WANA KESI YA KUJIBU MBELE YA FA

Klabu za Chelsea na Tottenham zimepigwa faini kwa pamoja na chama cha soka nchini England FA, baada ya kukubali makosa matatu ya kushindw... thumbnail 1 summary
Klabu za Chelsea na Tottenham zimepigwa faini kwa pamoja na chama cha soka nchini England FA, baada ya kukubali makosa matatu ya kushindwa kuwazuia wachezaji pamoja na maofisa wake wakati na baada ya mchezo ligi kuu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MGOMBEA MWINGINE AJITOA URAIS MAREKANI, NJIA NI NYEUPE KWA DONALD TRUMP.

Mpinzani mkuu wa Donald Trump katika mchakato wa Urais Marekani kupitia chama cha Republican, John Kasich, naye amejiondoa katika mchakat... thumbnail 1 summary
Mpinzani mkuu wa Donald Trump katika mchakato wa Urais Marekani kupitia chama cha Republican, John Kasich, naye amejiondoa katika mchakato huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOISE KATUMBI KUGOMBEA URAIS CONGO MWEZI NOVEMBA.

Mwanasiasa Chakaramu nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Moise Katumbi, amethibitisha kugombea Urais nchini humo ifikapo mwezi Nove... thumbnail 1 summary
Mwanasiasa Chakaramu nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, Moise Katumbi, amethibitisha kugombea Urais nchini humo ifikapo mwezi November mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE AKUTWA NA ‘MIJIBISU’ NA BUNDUKI 3 MKOANI TANGA, ILIKUWAJE?

Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemkamata mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Kimamba, Kata ya Negero wilayani Kilindi, Tabu Chabai (23) k... thumbnail 1 summary
Jeshi la Polisi mkoani Tanga limemkamata mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Kimamba, Kata ya Negero wilayani Kilindi, Tabu Chabai (23) kwa tuhuma za kushirikiana na mtandao wa majambazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KHAN AAHIDI KUTUMIA MBINU ZAIDI DHIDI YA SAUL CANELO ALVAREZ

Bondia Amir Khan amekiri kwamba hana nguvu za kumjeruhi Saul Canelo Alvarez katika mpambano wao wa kuwani ubingwa wa WBC uzani wa kati, u... thumbnail 1 summary
Bondia Amir Khan amekiri kwamba hana nguvu za kumjeruhi Saul Canelo Alvarez katika mpambano wao wa kuwani ubingwa wa WBC uzani wa kati, utakaofanyika mjini Las Vegas nchini Marekani siku ya Jumamosi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MILLEN MAGESE ASEMA ANAWEZA KUWEKEA BIMA SURA YAKE NA MIGUU, SABABU?.

Miss Tanzania mwaka 2001 na mwanamitindo ‘grade one’, Millen Magese, amesema kama ikitokea kuweka Bima ya viungo vya mwili basi yeye ataw... thumbnail 1 summary
Miss Tanzania mwaka 2001 na mwanamitindo ‘grade one’, Millen Magese, amesema kama ikitokea kuweka Bima ya viungo vya mwili basi yeye atawekea Sura yake pamoja na miguu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

P Diddy Aongoza Orodha ya Forbes ya Wana Hip Hop Watano Wenye Mkwanja zaidi

Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five. Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na ... thumbnail 1 summary
Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five.
Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA 6: Benz za umeme watakazopewa Leicester na bilionea baada ya kushinda Kombe la EPL

Wachezaji wa klabu ya Leicester City ambao wameisaidia klabu hiyo kuingia katika historia isiyofutika ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingerez... thumbnail 1 summary
Wachezaji wa klabu ya Leicester City ambao wameisaidia klabu hiyo kuingia katika historia isiyofutika ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingereza kwa mara kwanza toka ianzishwe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI NDIZO SERA ZA DONALD TRUMP KUHUSU MAMBO YA KIGENI.

Mgombea urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, ametoa hotuba muhimu kuhusu sera zake za kigeni huku kukiwa na wasiw... thumbnail 1 summary
Mgombea urais wa Chama cha Republican nchini Marekani, Donald Trump, ametoa hotuba muhimu kuhusu sera zake za kigeni huku kukiwa na wasiwasi kwamba hana uzoefu wala

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

15 HOT PICHAZ: WAFAHAMU MASTAA 15 WA KIKE WENYE MAKALIO YANAYOVUTIA ZAIDI DUNIANI!

Ana utajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipataje huu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji... thumbnail 1 summary
Ana utajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipataje huu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Majibu ya SNURA Baada ya CHURA Kufungiwa Yanafurahisha

Mchuma janga hula na nduguze lakini kwa Snura halitafuni janga lake na nduguze tu, bali mashabiki wake pia.  Baada ya wizara ya habari, u... thumbnail 1 summary
Mchuma janga hula na nduguze lakini kwa Snura halitafuni janga lake na nduguze tu, bali mashabiki wake pia. 
Baada ya wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo kuufungia wimbo wa Snura, Chura jana, muimbaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News: Asha-Rose Migiro Ateuliwa Kuwa Balozi wa Uingereza

Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani. thumbnail 1 summary
Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fahamu Kuhusiana Na Tendo La Ndoa Na Umuhimu Wake Katika Ndoa.

Kuwepo na mapenzi ya dhati kati ya wanandoa hufanya mambo mengi kuwa rahisi na mepesi bila kujalisha ni kipindi cha furaha au majonzi; saba... thumbnail 1 summary
Kuwepo na mapenzi ya dhati kati ya wanandoa hufanya mambo mengi kuwa rahisi na mepesi bila kujalisha ni kipindi cha furaha au majonzi; sababu inakuwa upo na mtu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Tamko la Serikali kuhusu kufungia video ya ‘chura’ lilivyotolewa

May 04 2016 Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo wamekutana na waandishi wa habari na kutoa tamko la kuufungia wimbo wa Snura ‘c... thumbnail 1 summary
May 04 2016 Wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo wamekutana na waandishi wa habari na kutoa tamko la kuufungia wimbo wa Snura ‘chura’ kuchezwa kwenye MEDIA kuanzia leo mpaka hapo Snura atakapoifanyia marekebisho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Mambo matatu aliyoyaongea Ronaldo baada ya mchezo kumalizika na kutinga fainali ya UEFA

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 15 bila kucheza mechi yoyote ya ushindani kwaCristiano Ronaldo, Usiku wa May 4 2016 aliingia kwenye... thumbnail 1 summary
Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa siku 15 bila kucheza mechi yoyote ya ushindani kwaCristiano Ronaldo, Usiku wa May 4 2016 aliingia kwenye headlines baada ya kucheza mchezo wa nusu fainali ya pili dhidi ya Man City akitokea majeruhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: TOP 10 ya meli kubwa duniani kwa mwaka 2016

Moja kati ya usafiri unaotumika kubeba abiria au mizigo mingi kwa mara moja ni meli, meli ina uwezo wa kubeba watu hata zaidi ya 1000 kwa... thumbnail 1 summary
Moja kati ya usafiri unaotumika kubeba abiria au mizigo mingi kwa mara moja ni meli, meli ina uwezo wa kubeba watu hata zaidi ya 1000 kwa mara moja, mara nyingi meli

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: