June 05, 2016

Video : Ali Kiba Akubali Kua ni Kweli Hajui Kingereza

Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kuwa lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama... thumbnail 1 summary
Ni mara chache sana unakutana na msanii na anakubali kuwa lugha ya kiingereza inampiga chenga. Nakumbuka msanii AY alikubali kua miaka kama 13 nyuma hakua akiiongea lugha hiyo kwa ufasaha lakini baada ya mazoezi mengi kwa sasa yupo vizuri.
Siku chache zilizopita msanii Ali Kiba alikubali kua pamoja na kukaa katika gemu mda mrefu na kukutana na wasanii wengi wa nje lugha hiyo bado ni tatizo kwake. Japo anaweza kuongea kidogo sana kwa Kingereza ila si mtaalamu sana. Msikie hapa akifunguka kuhusiana na swala hilo.... 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Afunguka Kuhusu Wema Sepetu

Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani imefika wa... thumbnail 1 summary
Akiwa kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV, Diamond Platnuzm amesema kitendo alichofanya Wema kupost kazi zake anadhani imefika wakati labda Wema Sepetu ameona hakuna sababu yeye kuendelea kumchukua Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video : Nay Wa Mitego Kujizawadia Gari Hili la zaidi ya Milioni 170 Katika Siku yake ya Kuzaliwa

Katika kusherehekea birthday yake mwaka jana, msanii Nay Wa Mitego alihamia katika nyumba yake mpya ya Kimara huku akijizawadia gari mpyaaa... thumbnail 1 summary
Katika kusherehekea birthday yake mwaka jana, msanii Nay Wa Mitego alihamia katika nyumba yake mpya ya Kimara huku akijizawadia gari mpyaaaa. Habari hiyo ilikua gumzo sana magazetini na mitandaoni kwani nyumba hiyo ilikua ya kisasa kabisa.

Tarehe 9 mwezi huu Nay Wa Mitego atasherehekea siku yake ya kuzaliwa na moja kati ya maswali yaliyokua yakimuumiza zaidi ni zawadi gani ajipatie kati ya kujinunulia gari au kuhamia katika nyumba yake kubwa ya ghorofa ambayo haijaisha vizuri???

Na baada ya kujiuliza sana msanii huyo ameamua kujizawadia gari aina ya Range Rover Vogue ambayo kwa maelezo yake anasema ni moja ya gari alizokua akitamani kumiliki. Lakini Nay kaunguka kua anaogopa kutangaza gari hiyo kwa sababu anamwogopa kiongozi huyu wa Serikali. Unataka kumjua ni nani??? Basi cheki video hii hapa chini Nay akifunguka...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais wa Angola amteua binti yake ambaye ni mwanamke tajiri Afrika kuwa mkuu wa shirika la mafuta la serikali

Rais wa Angola anazidi kuhakikisha kuwa mashavu yanayotokana na utajiri mkubwa wa mafuta na gesi wa nchi yake yanabaki ndani ya familia. thumbnail 1 summary
Rais wa Angola anazidi kuhakikisha kuwa mashavu yanayotokana na utajiri mkubwa wa mafuta na gesi wa nchi yake yanabaki ndani ya familia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kajala Amwanika Bwana Mpya !

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alimwanika bwana’ke mpya, kufuatia kupigana kibuti na M... thumbnail 1 summary
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alimwanika bwana’ke mpya, kufuatia kupigana kibuti na Mbongo Fleva, Quick Raca, Risasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rich Mavoko: Mkataba wangu na King Kaka haukuwa na limitation

Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka. Rich Mavoko kwa sasa ... thumbnail 1 summary
Msanii mpya wa lebo ya Wasafi, Rich Mavoko amefafanua mkataba wake wa mwanzo aliosaini na menejimenti ya King Kaka.
Rich Mavoko kwa sasa amefanikiwa kusaini mkataba mpya wa miaka 10 na lebo ya Wasafi inayomilikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha 10 za msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi mpya wa Drake, Hailey Baldwin

Drake anadaiwa kuibua kifaa kipya – Hailey Baldiwin. Msichana huyo ni model maarufu na aliyewahi kuhusishwa pia kutoka na Justin Bieber... thumbnail 1 summary
Drake anadaiwa kuibua kifaa kipya – Hailey Baldiwin.
Msichana huyo ni model maarufu na aliyewahi kuhusishwa pia kutoka na Justin Bieber. Hivi karibuni,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond asema ‘WCB’ imeajiri watu 42, azungumzia issue ya kulipa kodi

Mkali wa muziki na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amesema label yake mpaka sasa tayari imeajiri watu 42. Muimbaji huyo ambaye pi... thumbnail 1 summary
Mkali wa muziki na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amesema label yake mpaka sasa tayari imeajiri watu 42.
Muimbaji huyo ambaye pia anamiliki, studio ya picha pamoja na studio ya muziki ‘Wasafi Record’, aliwaambia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dj Khaled kuja na ngoma na Drake kuitoa ‘Major Key’

Dj Khaled amepanga kuachia nyimbo mpya ‘For Free’ aliyomshirikisha Drake hivi karibuni kabla ya kuachia albamu yake mpya, ‘Major Key’. Kh... thumbnail 1 summary
Dj Khaled amepanga kuachia nyimbo mpya ‘For Free’ aliyomshirikisha Drake hivi karibuni kabla ya kuachia albamu yake mpya, ‘Major Key’.
Khaled ambaye bado yupo kwenye ziara ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zlatan Ibrahimovixc akaribia kusaini mkataba na Manchester United

Timu ya Manchester United inatarajiwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa Swedan, Zlatan Ibrahimovic kabla ya kuanza kwa michuano ya Uero Ju... thumbnail 1 summary
Timu ya Manchester United inatarajiwa kukamilisha usajili wa mchezaji wa Swedan, Zlatan Ibrahimovic kabla ya kuanza kwa michuano ya Uero Juni 10 mwaka huu.
Sky Sports imeripoti kuwa kaimu mtendaji mkuu wa Manchester United, Ed Woodward na wakala wa mchezaji huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWA WANAUME TU:KAMA UNAWAHI KUMALIZA TENDO LA NDOA SOMA HAPA KUJUA JINSI YA KUMALIZA TATIZO HILO..!!!

Pre mature ejaculation ni nini? Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambat... thumbnail 1 summary

Pre mature ejaculation ni nini?
Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipindi cha tendo la ndoa na mara nyingi huambatana na kushindwa kumridhisha mpenzi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linah asema amefurahi kuona Ex wake anafunga ndoa na mwanamke mwingine

Msanii wa muziki, Linah Sanga amesema anampongeza Ex wake kwa kufunga ndoa na mwanamke mwingine kwani anaamini hiyo haikuwa bahati yake. thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki, Linah Sanga amesema anampongeza Ex wake kwa kufunga ndoa na mwanamke mwingine kwani anaamini hiyo haikuwa bahati yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Nick Cannon amtaka Eminem kwenye ‘Rap Battle’

Rapper Nick Cannon amemtaka Eminem kwenye kuchana baada ya siku chache kutangaza kutoa dau la dola laki moja kwa msanii atakayemshinda kwen... thumbnail 1 summary
Rapper Nick Cannon amemtaka Eminem kwenye kuchana baada ya siku chache kutangaza kutoa dau la dola laki moja kwa msanii atakayemshinda kwenye shindano la kughani litakalofanika Juni 25 mwaka huu kwenye BET Awards.
Akiongea na Tim Westwood,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Magoli ya mechi ya Taifa Stars vs Misri June 4 2016, Full Time 0-2

June 4 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa tatu waKundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa Afrika 201... thumbnail 1 summary
June 4 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mchezo wake wa tatu waKundi G wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa Afrika 2017 AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Misri uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mchezo ulimalizika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: