June 16, 2014

HAKI YA MUNGU MIE SIWEZI KUSHEA PENZI NA WEMA SEPETU HATA IWEJE ''HAMISA MOBETO

KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na thumbnail 1 summary

KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa
Mobeto amefunguka kuwa katika maisha
yake, kamwe hawezi kushea penzi na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE FLORA MBASHA NA MUMEWE WANA LAANA YA ASKOFU KULOLA

SAKATA la tuhuma za ubakaji zinazomkabili mume wa Flora Mbasha sasa limechukua sura mpya baada ya maovu yao mengine kuanikwa hadharan... thumbnail 1 summary

SAKATA la tuhuma za ubakaji zinazomkabili mume wa Flora Mbasha sasa limechukua sura mpya baada ya

maovu yao mengine kuanikwa hadharani na ndugu wa Flora….. Msichana mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARIANNA ANGEL: Awatukana Wafrika na hawzi Ku-DATE na Mtu Mweusi.....Kisa Wakenya!!!

Daah hii ni NOUMA kweli: Mwana dada mwenya umbo na sura nzuri inayotuchanganya wengi huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM...ARIANNA ANGEL  a... thumbnail 1 summary
Daah hii ni NOUMA kweli: Mwana dada mwenya umbo na sura nzuri inayotuchanganya wengi huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM...ARIANNA ANGEL  amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuwakashifu watu weusi kwenye mtandao wa TWITA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAADHIIRI CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) WAGOMA LEO HUKU WANAFUNZI WAKISUBIRIA KUFANYA MITIHANI YAO YA MWISHO WA SEMISTER

HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA WAADHIRI WA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) COLLEGE OF SOCIAL SCIENCES AND HUMANITIES LEO ASUBUHI WAME... thumbnail 1 summary

slide2


HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA WAADHIRI WA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM) COLLEGE OF SOCIAL SCIENCES AND HUMANITIES LEO ASUBUHI WAMEGOMA KUSHINIKIZA KUONGEZEWA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA 38 ZA KILICHOJIRI KWENYE KILI TOUR MJINI SONGEA,DIAMOND AMBATANA NA MPENZI WAKE

Hizi ni picha nyingine za tamasha la Kili Music Tour ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika Songea siku ya Jumapili June 15 na kuwashirikish... thumbnail 1 summary

IMG_7017Hizi ni picha nyingine za tamasha la Kili Music Tour ambalo kwa mara ya kwanza limefanyika Songea siku ya Jumapili June 15 na kuwashirikisha mastaa wa muziki wa Tanzania kama Mwasiti, 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA SASA WEMA SEPETU AWEKA KILA KITU WAZI KUHUSU TAARIFA ZA UJAUZITO

Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito… thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-06-16 at 4.15.25 PM
Staa wa movie Tanzania a.k.a Mrs. Diamond Platnumz ameamua kuandika ukweli kuhusu stori ulizosikia kwamba kwa sasa ni mjamzito…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA MASOGANGE KUTIKISA MAKALIO NAYE HUDDAH ALIPIZA KISASI CHECK VIDEO HAPA

   Hawa dada zetu watatumaliza......Baaada ya Agnes Masogange kuturusha na Video Clips akiwa anatembe huku akitikisa mkia wake .Mwanadad... thumbnail 1 summary
  Hawa dada zetu watatumaliza......Baaada ya Agnes Masogange kuturusha na Video Clips akiwa anatembe huku akitikisa mkia wake .Mwanadada  aliekuwa mshiriki wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA AINA YA WANAWAKE WANAOFAA KUWEKA NDANI

Stacey Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba, vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawa... thumbnail 1 summary

http://theclicktz.com/


Stacey Tantleff-Dunn mtalamu wa afya ya ulaji na mwonekano anasema kwamba, vipimo vya uzuri kwa wanawake vimegawanyika. Kwa kawaida wanaume hupima uzuri wa mwanamke kwa sura au mwili, lakini linapokuja suala la kupata mtu ambaye wanataka kuishi naye kama mke, suala la haiba, yaani tabia na mwenendo, linachukua nafasi kubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACKLINE WOLPER: MSAKA PESA TOKA MACHAME ALIYEISHIA KWA MATAPELI WA MAPENZI JIJINI DAR

Jackline  Wolper  ni  mmoja  kati  ya  warembo  wenye  umaarufu  mkubwa  nchini  na  katika   soko  la  Filamu  za  Tanzania. Ana... thumbnail 1 summary

Jackline  Wolper  ni  mmoja  kati  ya  warembo  wenye  umaarufu  mkubwa  nchini  na  katika   soko  la  Filamu  za  Tanzania.

Anamvuto  unaokubalika  na  wengi  na  ameweza  kujipatia  umaarufu  mkubwa  sana  kupitia  filamu  alizoshirikishwa  na  alizozifanya  chini  ya  kampuni  yake  mwenyewe. Pia  ni 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE ALIYEKUWA AKIMTESA BINTI YAKE WA KAZI KWA KUMKATA KATA KICHWANI NA KUMG'ATA AMEFANIKIWA KUKAMATWA NA POLISI

Polisi wamefanikiwa kumnasa mwanamke anayedaiwa kumtesa kwa kipigo na kumng’ata mtoto Merina Mathayo (15), kumsababishia majeraha makub... thumbnail 1 summary


Polisi wamefanikiwa kumnasa mwanamke anayedaiwa kumtesa kwa kipigo na kumng’ata mtoto Merina Mathayo (15), kumsababishia majeraha makubwa kichwani. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWZ.MICHAEL WAMBURA AONDOLEWA RASMI LEO KWENYE UCHAGUZI WA SIMBA...BAADA YA KUFANYA KAMPENI KABLA YA MDA

Dk Ndumbaro kulia akizungumza leo   KAMATI ya Uchaguzi ya Simba SC imesema kwamba, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) halina mamlaka... thumbnail 1 summary
Dk Ndumbaro kulia akizungumza leo

 KAMATI ya Uchaguzi ya Simba SC imesema kwamba, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) halina mamlaka kikatiba kusimamisha uchaguzi wa klabu hiyo, na maana yake uchaguzi huo upo kama ulivyopangwa kufanyika Juni 29, mwaka huu. Pamoja na hayo, Kamati hiyo imesema imemuondoa moja kwa moja mgombea Michael Richard Wambura kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu amerudia kosa ambalo aliwahi kupewa onyo Akizungumza na Waandishi wa Habari katka ukumbi wa Serengeti, ndani ya hoteli ya JB Belmonte, Dar es Salaam mchana wa leo, Mwenyekiti wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIJANA AFARIKI DUNIA HAPO HAPO BAADA YA KUANGUKIW NA KICHUGUU..

Mwili wa Mkazi wa kijiji cha Ruganzo wilayani Ngara mkoani Kagera Raulian Ladislaus mwenye umri wa Miaka 40, ukiwa umeangukiwa na... thumbnail 1 summary

Mwili wa Mkazi wa kijiji cha Ruganzo wilayani Ngara mkoani Kagera Raulian Ladislaus mwenye umri wa Miaka 40, ukiwa umeangukiwa na Kichuguu na kufariki papo hapo June 12,2014,mchana wakati

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KILA KUKICHA WASANII WA BONGO MUVI NI SKENDO TU, ONA WENGINE HAWA WACHAMBANA MSIBANI

HAIJAKAA  poa! Staa wa sinema za Kibongo, salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na rafiki yake wa kitambo ambaye pia ni mwigizaji, Vanitha Omary... thumbnail 1 summary


HAIJAKAA poa! Staa wa sinema za Kibongo, salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na rafiki yake wa kitambo ambaye pia ni mwigizaji, Vanitha Omary wamepishana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAIMATHA BAADA YA KIMYA KIREFU SASA AKWAA SKENDO YA UTAPELI

SKANDALI!  Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kuk... thumbnail 1 summary

SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MUVI MWENYE SURA YA UPOLE ALIYEMSHUSHIA PRODUCER KIPONDO HOTELINI

WHY?  Mwigizaji mwenye sura ya upole, Riyama Ally amezua utata akidaiwa kumshushia varangati rafiki yake kipenzi, Prodyuza Emmanuel Sewan... thumbnail 1 summary

WHY? Mwigizaji mwenye sura ya upole, Riyama Ally amezua utata akidaiwa kumshushia varangati rafiki yake kipenzi, Prodyuza Emmanuel Sewando ‘Manecky’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Ngamia mtabiri wa mechi za kombe la dunia na matokeo ya utabiri wake

Kwenye miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matumizi ya wanyama na viumbe wengine kwenye kutabiri matokeo ya mechi za soka hasa kweny... thumbnail 1 summary

20140616-103044-37844157.jpg

Kwenye miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na matumizi ya wanyama na viumbe wengine kwenye kutabiri matokeo ya mechi za soka hasa kwenye michuano mikubwa kama kombe la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha mpya zilizochapishwa za mauaji Iraq.

Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jins... thumbnail 1 summary


mauaji1
Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAA WASTARA APINGA MASTAA KUAGWA LEADERS

ANA hoja? Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepinga kitendo cha mastaa wa Bongo kuagwa Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini... thumbnail 1 summary

ANA hoja? Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepinga kitendo cha mastaa wa Bongo kuagwa Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar wanapokutwa na umauti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi mali zitaendelea kuwatoa binadamu kuwa na utu::Mirathi ya George Tyson Monalisa acharuka balaaaa.

Oohoo nooo! Wakati aliyekuwa mumewe, George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) akipumzishwa kwenye nyumba ya milele huko Kisumu nchini Kenya, Yvon... thumbnail 1 summary

Oohoo nooo!Wakati aliyekuwa mumewe, George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) akipumzishwa kwenye nyumba ya milele huko Kisumu nchini Kenya, Yvone-Cherry Ngatikwa ‘Monalisa’ amewacharukia watu waliodai alikuwa akijipendekeza msibani ili kupata mirathi ya mwanaume huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASIKINI YA MUNGU WATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO

DADA  mmoja Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu ma... thumbnail 1 summary

Watoto mapacha wakiwa wamelala.
DADA mmoja Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu maeneo ya Magomeni Makanya,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA UNAPENDA KUSHIRIKI KWENYE SHINDANO LA BIG BOTHER AFRICA MWAKA HUU, HII ITAKUWA INAKUHUSU

Kampuni ya MultiChoice Africa inayoandaa mashindano ya Big Brother Africa imetangaza tarehe ya usaili wa shindano hilo mwaka huu kati... thumbnail 1 summary


Kampuni ya MultiChoice Africa inayoandaa mashindano ya Big Brother Africa imetangaza tarehe ya usaili wa shindano hilo mwaka huu katika nchi mbalimbali za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAKO LA DIVA WA CLOUDS FM LAZUA SONGOMBINGO MTANDAONI...!

Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE BAWSE alishatangaza kujito TEAM WEMA [SOMA HAPA].....Sasa hao wana... thumbnail 1 summary

Daah hii ni NOUMA sana!! Kama mnavyojua tena mwanadada DIVA THE BAWSE alishatangaza kujito TEAM WEMA [SOMA HAPA].....Sasa hao wanaojiita Team wema huko INSTAGRAM ni nouma sana kwa KUCHAMBA watu.... ( Muulize PENNY, WOLPER, JOKATE, na KAJALA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: