August 15, 2014

Sentensi 5 za Meninah kuhusu stori za uhusiano wake na Diamond Platnumz.

Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na m... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-15 at 2.22.56 PMMwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Majibu ya Beka Tittle baada ya kusemekana kumpiga msichana wake na kumuumiza.

Kwenye You heard ya August13 alisikika Mama mzazi wa msichana ambaye inasemekana alipigwa na kuumizwa na msaniia mabye anatokea maskani y... thumbnail 1 summary
ttKwenye You heard ya August13 alisikika Mama mzazi wa msichana ambaye inasemekana alipigwa na kuumizwa na msaniia mabye anatokea maskani ya Kinondoni Beka Tittle,Soudy Brown

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Ebola kuingia Tanzania.

Ugonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-15 at 10.47.21 AMUgonjwa wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia kugusa vichwa vya habari na kuihusisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT AMWANDIKIA WARAKA MKE WA MTU

Siku chache baada ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kuvamiwa na kundi la watu akiwa nyumbani kwa Wema Sepetu akitaka kuadabishwa ... thumbnail 1 summary


Siku chache baada ya msanii wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kuvamiwa na kundi la watu akiwa nyumbani kwa Wema Sepetu akitaka kuadabishwa kwa madai ya kutembea na mume wa mtu, msanii huyo ameamua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BUSHOKE ASHOBOKEWA NA MADEMU WA BONGO MUVI... WANGINE WATAKA KUOLEWA

  MWIGIZAJI  wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii Maximilian Bushoke kuwa na sa... thumbnail 1 summary

 MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa licha ya penzi lake na msanii Maximilian Bushoke kuwa na sarakasi nyingi lakini anaamini atamuoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWELI DIAMOND KAMCHOKA WEMA DAH SOMA HAPA ALIVYOMPIGA VIJEMBE LIVEE!!!

STAA wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz ' amemtupia vijembe mpenzi wake Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Ins... thumbnail 1 summary
STAA wa Bongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond
Platnumz ' amemtupia vijembe mpenzi wake
Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa
Instagram usiku huu akionekana kuchukizwa
na tabia ya staa huyo kupenda maisha ya
starehe zisizo na faida . Katika ujumbe huo , Diamond ameandika kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWEZI MBAYA HUU KWA WEMA SEPETU. SASA ATANGAZA BIFU NA STAA HUYU MWINGINE WA KIKE

Wema Sepetu a . k . a Beautiful Onyinye amekula kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘ Diamond Platnum’ ... thumbnail 1 summary

Wema Sepetu a . k . a Beautiful Onyinye amekula
kiapo cha kumchukia dada wa hiyari wa
mwandani wake, Nasibu Abdul ‘ Diamond
Platnum’ , Halima Kimwana ambaye wamekuwa
na bifu kwa kipindi kirefu huku sababu zikiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TETESI ZA NDOA YA GADNER NA JIDE KUVUNJIKA . GADNER AFUNGUKA HIVI

HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bong... thumbnail 1 summary

HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye
mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya
kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo,
staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith
Wambura ‘ Lady Jaydee ’ au ‘ Jide ’ na
mtangazaji maarufu wa Radio Times FM ,
Gardner G . Habash, iliyofungwa Mei 14 , 2005 ,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video mpya kutoka kwa Michael Jackson – A Place With No Name.

Michael Jackson angetimiza miaka 55 mwezi huu lakini bado mashabiki wa muziki wake wanaendelea ku-enjoy kazi zake kama hivi. Kuelekea k... thumbnail 1 summary
mj
Michael Jackson angetimiza miaka 55 mwezi huu lakini bado mashabiki wa muziki wake wanaendelea ku-enjoy kazi zake kama hivi. Kuelekea kutoa album ya Xscape ya Michael Jackson,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zisikupite hizi story mbili mpya kuhusu Diamond Platinumz

Story ya kwanza ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake wa instagram. Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii ful... thumbnail 1 summary
dd
Story ya kwanza ni kuhusu ujumbe mrefu aliondika Diamond kupitia ukurasa wake wa instagram. Ujumbe huo unaonekana unaenda kwa msanii fulani japokuwa hakuweka wazi ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuanzia August 15 hadi 21, hizi ndizo movie zitakazoonyeshwa kwenye theaters.

Let’s be Cops,Hercules,Planes Fire & Rescue 3D,Guardian of the galaxy na nyingine ni baadhi ya movie unazoweza kwenda kuzicheki kweny... thumbnail 1 summary
movieLet’s be Cops,Hercules,Planes Fire & Rescue 3D,Guardian of the galaxy na nyingine ni baadhi ya movie unazoweza kwenda kuzicheki kwenye theaters za bongo. Cheki ratiba kwenye theater

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jennifer Lopez ametuonjesha kipande cha video ya Booty.

Baada ya wengine wote kufanya twerk videos hivi sasa ni zamu ya JLo. Kwenye video yake mpya ya Booty akiwa na dancers wake JLo ameonyes... thumbnail 1 summary
jlo
Baada ya wengine wote kufanya twerk videos hivi sasa ni zamu ya JLo. Kwenye video yake mpya ya Booty akiwa na dancers wake JLo ameonyesha uwezo wake wa kucheza twerking

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Unazikumbuka movie za Bad Boys 1& 2, hii ni taarifa mpya kuhusu movie hizo

Martin Lawrence na Will Smith ndio mastaa wa movie hizi mbili ambazo zina action na comedy ndani yake. Kama wewe ni mpenzi wa hizi movie... thumbnail 1 summary
bad
Martin Lawrence na Will Smith ndio mastaa wa movie hizi mbili ambazo zina action na comedy ndani yake. Kama wewe ni mpenzi wa hizi movie basi taarifa ikufikie kwamba Bad Boys 3 ipo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

a

 BAADA  ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzp... thumbnail 1 summary


 BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA ATANGAZA DAU LA MILIONI ATAKAYEMUONA MBWA WAKE

BEAUTIFUL  Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae V... thumbnail 1 summary


BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mbwa wake aitwae Vanila aliyepotea hivi karibuni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JESHI LA POLISI KINONDONI BADO LINAMSAKA DUDUBAYA, MKEWE APATA MUME KIBOKO Y MSANI HUYO..! SOMA HAPA

 ALIYEKUWA MKE WA DUDUBAYA MARY JEMS AKIWA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY thumbnail 1 summary
 ALIYEKUWA MKE WA DUDUBAYA MARY JEMS AKIWA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAITI YA KIKONGWE WA MIAKA 62 YAKUTWA KWENYE MFUKO WA KUSAFIRIA NDANI YA BUTI YA TAX,WAPENZI WASHIKILIWA

Polisi wa kisiwa cha Bali nchini Indonesia wanawashikilia watu wawili baada ya mwili wa mwanamke wa kimarekani kuonekana kwenye mfuko w... thumbnail 1 summary
Polisi wa kisiwa cha Bali nchini Indonesia wanawashikilia watu wawili baada ya mwili wa mwanamke wa kimarekani kuonekana kwenye mfuko wa kusafiria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: