February 17, 2016

Wema Sepetu kathibitisha ujauzito wake kuharibika… kaandika haya maneno 73

Hii ni post aliyoiandika Mwigizaji Wema Sepetu saa kadhaa baada ya Baba Watoto mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuthibitisha kw... thumbnail 1 summary
Hii ni post aliyoiandika Mwigizaji Wema Sepetu saa kadhaa baada ya Baba Watoto mshindi wa Big Brother Africa Idris Sultan kuthibitisha kwamba ujauzito huo wa mapacha umeharibika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Star kutokea Nigeria ‘Tekno’ na mpango wa kufanya video ya wimbo wake mpya Tanzania…(+Audio)

Utaipokea kiasi gani ukisikia kuna star kutokea  Nigeria  anakuja kufanya video ya wimbo wake mpya  Tanzania !!, kwenye headline ni... thumbnail 1 summary

Utaipokea kiasi gani ukisikia kuna star kutokea Nigeria anakuja kufanya video ya wimbo wake mpya Tanzania!!, kwenye headline ni mkali wa hits single

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Marehemu John Woka alivyoagwa leo Dar, Feb 17 2016

Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika ... thumbnail 1 summary

Leo Feb 17 2016 Watanzania mbalimbali waliungana pamoja na baadhi ya mastaa kwa lengo la kuuaga mwili wa marehemu John Woka katika Hospitali ya Muhimbili, Dar kisha kuusafirisha kwenda kwao Tanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kamishna wa Elimu Awavua Madaraka Wakuu Watatu wa Vituo vya Elimu ya Watu Wazima Dar, Dodoma na Mwanza

Kamishna wa Elimu, Teknolojia, Sayansi na Ufundi, Profesa Eustella Balamsesa amemuagiza Mkurugenzi wa Elimu ya Watu Wazima, Fedelis Mafumik... thumbnail 1 summary
Kamishna wa Elimu, Teknolojia, Sayansi na Ufundi, Profesa Eustella Balamsesa amemuagiza Mkurugenzi wa Elimu ya Watu Wazima, Fedelis Mafumiko kuwavua madaraka Wakuu Watatu (3) wa vituo vya Elimu ya Watu Wazima kutokana na kukiuka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meya wa Manispaa ya Kionondoni Atema Cheche.... Atoa Siku 7 Kwa Wadaiwa Wote Kulipa Madeni Yao

Kampuni 12 zinazomiliki mabango makubwa ya matangazo ya barabarani katika Manispaa ya Kinondoni, zinadaiwa kukwepa kodi ya zaidi ya Sh10 ... thumbnail 1 summary
Kampuni 12 zinazomiliki mabango makubwa ya matangazo ya barabarani katika Manispaa ya Kinondoni, zinadaiwa kukwepa kodi ya zaidi ya Sh10 bilioni na kusababisha manispaa hiyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shuhudia Picha 15 Mke wa Rais MAGUFULI Alivyoenda Kuitembelea Shule Aliyosoma na Kufundisha

Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Dar. Hii ni shule ... thumbnail 1 summary
Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Dar. Hii ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO: Baada ya Kilichotokea Kwa WEMA SEPETU Nadhani Watu Wataniamini Kuhusu Suala la OMMY DIMPOZ

Rapa mwenye staili ya tofauti kabisa ya kuflow na uandishi,huku mara kadhaa akiflow kama ana meno 40 au mara nyingine akiflow kama anapig... thumbnail 1 summary
Rapa mwenye staili ya tofauti kabisa ya kuflow na uandishi,huku mara kadhaa akiflow kama ana meno 40 au mara nyingine akiflow kama anapiga mswaki rapa kutoka Manzese ameibuka na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Top Ten: Wafahamu Mastaa 10 Waliowaua Wapenzi Wao!

Earl Hayes alifanya tukio lililoacha watu midomo wazi, alipomuua kwa kumpiga risasi mkewe, Stephanie Mosley pichani. thumbnail 1 summary

Earl Hayes alifanya tukio lililoacha watu midomo wazi, alipomuua kwa kumpiga risasi mkewe, Stephanie Mosley pichani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Supastaa Hasheem Thabeet Yuko Wapi?

Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu.  Ni mafanikio makubwa naweza k... thumbnail 1 summary
Kama watanzania wazalendo tulifurahia sana ufiko wa kilele cha mchezo wa kikapu wa mbongo mwenzetu huyu. 
Ni mafanikio makubwa naweza kuyaita kwa upande wa burudani na michezo kwa hatua aliyofikia Hasheem! 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto Mzuri LINNAH Afunguka Sababu za Wasanii wa Kike Kutofanya Vizuri Kwenye Game la Bongo Fleva

Kwenye upande wa game la muziki nadhani hii iko world wide kwamba watoto wa kike wako wachache sana,hata kibongo bongo pia,sasa kuhusiana n... thumbnail 1 summary
Kwenye upande wa game la muziki nadhani hii iko world wide kwamba watoto wa kike wako wachache sana,hata kibongo bongo pia,sasa kuhusiana na game la kibongo linah ana sababu zake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO: Ommy DIMPOZ Akipata Mtoto ndo Atabishana Naye

Rapa mtukutu kutoka kiwanda cha muziki Tanzania, Nay wa Mitego, amejibu shutuma za msanii mwenzie Ommy Dimpoz aliyemtaka akapime DNA ili ... thumbnail 1 summary
Rapa mtukutu kutoka kiwanda cha muziki Tanzania, Nay wa Mitego, amejibu shutuma za msanii mwenzie Ommy Dimpoz aliyemtaka akapime DNA ili kujiridhisha kuwa mtoto aliyenaye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ushahidi Mpya: Penati ya MESSI na SUAREZ ni Feki Sio Goli... Soma Zadi Hapa

Moja kati ya habari kubwa weekend iliyopita ni penati ya Lionel Messi na Luis Suarez. Jana nilikupa story kwamba Neymar amelalamika kwamb... thumbnail 1 summary
Moja kati ya habari kubwa weekend iliyopita ni penati ya Lionel Messi na Luis Suarez. Jana nilikupa story kwamba Neymar amelalamika kwamba ilibidi iwe penati yake na Suarez

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUDIO: Sauti ya Dongo Janja Akimtongoza Msichana Yavuja, Alichoongea Ni UTATA.

Msanii wa kundi la Tip Top maarufu kama Dogo Janja amenaswa akimtongoza binti mmoja na kufunguka maneno kibao yenye utata. thumbnail 1 summary
Msanii wa kundi la Tip Top maarufu kama Dogo Janja amenaswa akimtongoza binti mmoja na kufunguka maneno kibao yenye utata.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Godzilla awapongeza AY na Diamond "Kupata 1 million views Ndani ya Week 1 ni Special"

Rapper Godzilla amesema si jambo la kuchukulia poa kwa AY na Diamond kuweza kuvuta views milioni moja ndani ya wiki moja. Video hiyo ya Z... thumbnail 1 summary
Rapper Godzilla amesema si jambo la kuchukulia poa kwa AY na Diamond kuweza kuvuta views milioni moja ndani ya wiki moja.
Video hiyo ya Zigo Remix hadi sasa ina zaidi ya views milioni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vanessa Mdee amjibu shabiki aliyemtaka atoe sadaka.

Msanii wa mziki wa bongo fleva Vanessa Mdee, anayefanya vizuri na wimbo wa “Never Ever” ametoa jibu ambalo limeonekana kuwavutia wengi kwen... thumbnail 1 summary
Msanii wa mziki wa bongo fleva Vanessa Mdee, anayefanya vizuri na wimbo wa “Never Ever” ametoa jibu ambalo limeonekana kuwavutia wengi kwenye mtandao wa twitter baada ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz 12 Msiba wa John Woka, kuanzia eneo alilopatia ajali hadi nyumbani….

Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani ilikuwa ni ishu ya John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi, Leo as... thumbnail 1 summary
Febr 14 2016 Taarifa zilizoenea kuanzia mitandaoni hadi mitaani ilikuwa ni ishu ya John Woka kupata ajali ya kulipukiwa na gesi, Leo asubuhi ya Feb 16 2016, mambo yakawa ni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chelsea yapokea kipigo dhidi ya PSG, lakini wamevunja rekodi hii ya PSG

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imechezwa usiku wa February 16 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya  Pa... thumbnail 1 summary

Hatua ya 16 bora ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya imechezwa usiku wa February 16 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja vya Parc des Princes na Estádio da Luz, michezo miwili iliyopigwa usiku huo ni mchezo, kati ya Benfica dhidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idris Sultan alikuwa anatarajia watoto mapacha ? haya ndio aliyoandika …

Usiku wa February 16 kuamkia February 17 jamaa ambaye jina lake lilizidi kukua baada ya ushindi wa shindano la Big Brother Idris Sultan, ... thumbnail 1 summary
Usiku wa February 16 kuamkia February 17 jamaa ambaye jina lake lilizidi kukua baada ya ushindi wa shindano la Big Brother Idris Sultan, aliingia kwenye headlines baada ya kupost picha Instagram yenye watoto mapacha, lakini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OPERATION TUMBUA MAJIPU KUENDELEA TAKUKURU WAZIRI KAIRUKI ASEMA LAZIMA YATUMBULIWE

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website  WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), wametakiwa kuanza kujisa... thumbnail 1 summary

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website 
WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru), wametakiwa kuanza kujisafisha huku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDEGE YA MAREKANI YAKAMATWA ZIMBAMBWE, YAFUMWA NA MAITI

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website Mamlaka ya anga ya Serikali ya Zimbabwe February 15 imetangaza kuikamata ndege ya kimareka... thumbnail 1 summary

By:Nasri Bakari BossNgasa Official Website
Mamlaka ya anga ya Serikali ya Zimbabwe February 15 imetangaza kuikamata ndege ya kimarekani inayomilikiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Matokeo kidato cha nne hadharani

By: Nasri Bakari BossNgasa Official Website Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufaf... thumbnail 1 summary

By: Nasri Bakari BossNgasa Official Website
Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Wizara ya Elimu,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: