July 28, 2014

Staa mwingine wa Man Utd aliefunga ndoa, mwimbaji PSY, Evra, Guus Hiddink wahudhuria

Baada ya Jonny Evans kuuaga ubachela mapema mwaka huu, leo hii zimetoka taarifa za staa mwingine wa zamani wa Manchester United ametoka k... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-28 at 9.32.05 PMBaada ya Jonny Evans kuuaga ubachela mapema mwaka huu, leo hii zimetoka taarifa za staa mwingine wa zamani wa Manchester United ametoka kwenye chama cha mabachela baada ya kufunga ndoa na mpenzi wa siku nyingi katika harusi iliyohudhuriwa na mastaa wengine kibao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MALIKIA HUYU ANATAFUTA MCHUMBA ILA VIGEZO VYAKE NOMA SANAAAA! BOFYA UVIOUNE

"Mimi ni Mariamu Masalalo, mkazi wa Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. Nina umri wa miaka 21 na nina elimu ya kidato cha Sit... thumbnail 1 summary


"Mimi ni Mariamu Masalalo, mkazi wa Mbezi Beach, Dar es salaam, Tanzania. Nina umri wa miaka 21 na nina elimu ya kidato cha Sita. Kwa sasa hivi ninasimamia biashara za baba yangu zilizopo maeneo ya Sinza  na Kariako, Dar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SERENGETI BOYS YAPAA LEO KUELEKEA SOUTH AFRICA

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) umeondoka le (Julai 28 mwaka huu) ... thumbnail 1 summary

Msafara wa watu 25 wa kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) umeondoka le (Julai 28 mwaka huu) kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mechi dhidi ya Afrika Kusini (Amajimbos).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alichojibu Ronaldo baada ya kuripotiwa kusainiwa na Lil Wayne

Baada ya Jay Z kufungua kampuni ya kusimamia wanamichezo na kuanza kupata mafanikio kupitia biashara hiyo, mwanamuziki mwingine nguli wa ... thumbnail 1 summary
Cristiano-Ronaldo-_2029539aBaada ya Jay Z kufungua kampuni ya kusimamia wanamichezo na kuanza kupata mafanikio kupitia biashara hiyo, mwanamuziki mwingine nguli wa hip hop kutoka nchini Marekani, Lil Wayne ameripotiwa kufungua kampuni ya usimamizi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA TUHUMA ZA KUFUMANIWA, MSANII LULU AFUNGUKA HIVI

mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu,Elizabet... thumbnail 1 summary


mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu,Elizabeth michael lulu wamebambwa na polisi wa diria wakivunjaamri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHULE SEKONDARI MWADUI KUWATIMUA WAVAA MINI-SKIRTS WATUMIA VIPODOZI NA WAVAA MILEGEZO...FATILIA HAPA

Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi... thumbnail 1 summary

Shule ya Sekondari Mwadui iliyopo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, imetangaza kufukuza wanafunzi wote wanaotumia vipodozi, wanaovaa sketi fupi, milegezo na wanaotumia simu za mkononi shuleni. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RODGERS: UKALI WA LIVERPOOL HAUJAATHIRIKA NA KUONDOKA KWA LUIS SUAREZ

BRENDAN Rodgers amepotezea majadiliano kuwa Liverpool itakuwa kwenye wakati mgumu baada ya Luis Suarez kutimkia Barcelona. thumbnail 1 summary
BRENDAN Rodgers amepotezea majadiliano kuwa Liverpool itakuwa kwenye wakati mgumu baada ya Luis Suarez kutimkia Barcelona.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MOURINHO: NAHISI KAMA DIDIER DROGBA HAJAWAHI KUONDOKA CHELSEA

JOSE Mourinho amefurahishwa na urejeo wa Didier Drogba na anatarajia mshambuliaji huyo ataisaidia Chelsea msimu uliopita.   thumbnail 1 summary
Mourinho: It feels like Drogba never left Chelsea
JOSE Mourinho amefurahishwa na urejeo wa Didier Drogba na anatarajia mshambuliaji huyo ataisaidia Chelsea msimu uliopita. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CRISTIANO RONALDO AMBWAGA TENA LIONEL MESSI, ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA DUNIA

CRISTIANO Ronaldo ameshinda tuzo ya Goal 50 ya mchezaji bora wa dunia baada ya kuwa na msimu mzuri wa 2013-14. thumbnail 1 summary
Cristiano Ronaldo wins Goal 50
CRISTIANO Ronaldo ameshinda tuzo ya Goal 50 ya mchezaji bora wa dunia baada ya kuwa na msimu mzuri wa 2013-14.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAKA: SIKUCHEMSHA MUDA NILIOCHEZA REAL MADRID

KAKA amesisitiza kuwa kamwe hajutii maamuzi yake ya kujiunga na Real Madrid na anahisi muda aliokaa klabuni hapo ulikuwa wa mafanikio. thumbnail 1 summary
Kaka: I was not a failure at Real Madrid
KAKA amesisitiza kuwa kamwe hajutii maamuzi yake ya kujiunga na Real Madrid na anahisi muda aliokaa klabuni hapo ulikuwa wa mafanikio.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BEKI YA MANCHESTER UNITED YATIKISWA BAADA YA RAFAEL KUUMIA NA KUTIMKA MAREKANI

BEKI wa Manchester United, Rafael, atakosa mechi zilizosalia za klabu hiyo katika ziara ya maandalizi ya kabla ya msimu nchini Marekani ... thumbnail 1 summary
Manchester United's defensive worries grow as Rafael leaves US tour
BEKI wa Manchester United, Rafael, atakosa mechi zilizosalia za klabu hiyo katika ziara ya maandalizi ya kabla ya msimu nchini Marekani baada ya kupata majeruhi ya nyonga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meneja wa Ney wa Mitego ashangazwa na utajiri wa Ney

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichez... thumbnail 1 summary
ney
Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

OBAMA AKUTANA NA VIONGOZI WADOGO WA NCHI ZA AFRIKA

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana... thumbnail 1 summary

Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia  kwenye ukumbi wa mkutano ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani  atakapozungumza nao  jijini Washington DC.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kituko kingine alichofanya Balotelli uwanjani hiki hapa

Baada ya kukaa kimya kwa muda mfupi, staa wa soka asiyeisha vituko Mario Balotelli amerudi tena kwenye ‘headlines’ za vyombo vya habari u... thumbnail 1 summary
720p-MARIO BALOTELLI AC MILAN JUVENTUSBaada ya kukaa kimya kwa muda mfupi, staa wa soka asiyeisha vituko Mario Balotelli amerudi tena kwenye ‘headlines’ za vyombo vya habari ulimwenguni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INAKUWAJE MDADA MZURI KAMA HUYU KUPIGA PICHA HIZI NA KUWEKA MTANDAONI?!!!

Kitu kisicho chakawaida...mdada huyu kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM amejipiga picha hizi yaan Selfie ...moja baada ya moja tangu ak... thumbnail 1 summary


Kitu kisicho chakawaida...mdada huyu kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM amejipiga picha hizi yaan Selfie ...moja baada ya moja tangu akiwa na nguo hadi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UMBEA WA INSTA, UNAAMBIWA HUDDAH THE BOSS AJITONGOZESHA KWA ALI KIBA

Udaku kutoka INSTAGRAM: Huddah Monroe Wa Kenya elezea hisia zake kuhusu .... Ali Kiba..Eti Anasauti Ya Kumtoa ...Pangoni....Soma alivyoan... thumbnail 1 summary


Udaku kutoka INSTAGRAM: Huddah Monroe Wa Kenya elezea hisia zake kuhusu .... Ali Kiba..Eti Anasauti Ya Kumtoa ...Pangoni....Soma alivyoandika..Then Niambie Ungekuwa Wewe Ndio Alikiba Unge Mfanyanini Huyu!!!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI WATANO WALAWITIWA KWA MPIGO NA MWENZAO! ABATIZWA JINA NA KUITWA BABU SEYA

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwala... thumbnail 1 summary

Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtoto wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) anayesoma darasa la sita kwa tuhuma nzito ya kuwalawiti wenzake watano kwa mpigo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUH, KUMBE DIAMOND KAWADANGANYA WATANZANIA KUHUSU KUSHINDA TUZO!!! SOMA HAPA , UNAAMBIWA JAMAA HAJASHINDA WALA NINI!!!

WASANII wa Tanzania wenye mashabiki wengi Afrika Mashariki, Lady Jay Dee na Diamond Platinumz, wameitoa Tanzania Kimasomaso kwa kushinda ... thumbnail 1 summary

WASANII wa Tanzania wenye mashabiki wengi Afrika Mashariki, Lady Jay Dee na Diamond Platinumz, wameitoa Tanzania Kimasomaso kwa kushinda tuzo moja moja katika tuzo za AFRIMA (African Muzik Magazine Awards 2014), zilizofanyika jana Dallas, Marekani. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE NEY WA MITEGO NI MUONGO MKUBWA, KUMBE HANA NYUMBA 3 KAMA ALIVYOTAMBA. SOMA UKWELI HAPA

Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! A... thumbnail 1 summary

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWeKKr6aiMv3Vhh-ASc-WvLsOX7pBrJ1eh421riZPOKcpZYEQBcszq7ZTgFTI0O9JcFJkhP2tLNROHywpfkPc2BrYhpESjQ8Pc3y-8HfsjKSNukZqkmL4kf3X3Xo2BxDYQeAJQ6yhxp5w/s1600/10456457_939160349431717_5429598818210293882_n.jpg
Miezi miwili iliyopita msanii Ney wa mitego alianika utajiri wa ajabu zikiwemo nyumba nne na gari moja ya kisasa nissan murano!! Akichezesha taya na mwandishi wetu aliyekuwa manager wa ney amesema tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA JINSI SHILOLE, Q-CHILLAH WALIVYONASWA WAKIPEANA MALAVIDAVI LAIVU NDANI YA NDEGE!

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na muimba Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ hivi karibuni walia... thumbnail 1 summary
MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na muimba Bongo Fleva, Abubakar Katwila ‘Q-Chillah’ hivi karibuni waliawaacha midomo wazi wasafiri ndani ya ndege kufuatia tukio lao la kufanya ‘malavidavi’ bila kujali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHEKIBUDI ADAI MABINTI HAWAMPENDI KISA MIDEVU MINGI SANA

Chekibudi wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kwa sasa na uigizaji? Salim Liundi, Dar, 0659601205   ... thumbnail 1 summary
Chekibudi wewe ni msanii mahiri wa filamu Bongo, je, una mpango gani wa kujiendeleza kwa sasa na uigizaji? Salim Liundi, Dar, 0659601205 CHEKIBUDI:  Asante, kuhusu kujiendeleza ni kwamba kazi zangu zipo nyingi na nitaendelea kutoa zenye ubora zaidi, pia nina mpango wa kufungua kampuni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAARIFA YA CHADEMA KUTOKA KIGOMA KASKAZINI

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu in... thumbnail 1 summary
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Kigoma Kaskazini tunapenda kutoa taarifa kwa umma kutokana na sintofahamu inayotaka kulazimishwa mbele ya jamii kuhusu uimara wa chama chetu mkoani Kigoma.Tangu jana na leo kumeenea taarifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE DIVORC ORIGI AJIUNGA NA TIMU YA LIVERPOOL

M shambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool. thumbnail 1 summary

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TANZANIA YAPATA TUZO YA USAFIRI WA ANGA DUNIANI

Tanzania imekuwa moja ya nchi nne Afrika iliyotunukiwa tuzo ya kimataifa ya usafiri wa anga duniani na Shirika la Kimataifa la Usafi... thumbnail 1 summary



Tanzania imekuwa moja ya nchi nne Afrika iliyotunukiwa tuzo ya kimataifa ya usafiri wa anga duniani na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga duniani (ICAO) kutokana na mchango wake mkubwa katika ukuaji na usalama wa anga katika bara la Afrika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PINDA AMVAA DUDE, KISA KUTOFUNGA NDOA

Neno la mkubwa!  Habari ikufikie kwamba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda anadaiwa kumvaa staa wa sinema z... thumbnail 1 summary
Neno la mkubwa! Habari ikufikie kwamba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda anadaiwa kumvaa staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’, kisa kikielezwa kuwa alikuwa akimhoji kwa nini hataki kufunga ndoa?
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akiwa kwenye picha ya pamoja na staa wa sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Fuse ODG karudi tena na hii, kafanya na Sean Paul. (new video)

Nana Richard Abiona  maarufu kama FUSE ODG ambae ni Muingereza mwenye asili ya Ghana, ni staa mwingine ambae ana rekodi zake kwenye list ... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-28 at 6.46.43 AMNana Richard Abiona maarufu kama FUSE ODG ambae ni Muingereza mwenye asili ya Ghana, ni staa mwingine ambae ana rekodi zake kwenye list ya mziki mkali wa Afrika 2013/2014.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kuhusu Watanzania walioshikwa Kenya kwenye harakati za kujiunga na Al Shabaab.

Wanajeshi wa kupambana na ugaidi nchini Kenya (ATPU) wanawashikilia raia watatu wa Tanzania waliokamatwa wakijaribu kuvuka mpaka wa Somal... thumbnail 1 summary
Jeshi 1Wanajeshi wa kupambana na ugaidi nchini Kenya (ATPU) wanawashikilia raia watatu wa Tanzania waliokamatwa wakijaribu kuvuka mpaka wa Somalia na Kenya ili kujiunga na kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII NDANI YA STAGE MOJA Kid Ink, Nas, 50 Cent, Nicki Minaj, Drake, Lil Wayne

Wakati huu tukiisubiria tour ya FIESTA 2014 ambayo itaanzia Mwanza August 9 kisha Bukoba August 15, Kahama August 17 baadae Musoma August... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-07-28 at 4.10.08 AMWakati huu tukiisubiria tour ya FIESTA 2014 ambayo itaanzia Mwanza August 9 kisha Bukoba August 15, Kahama August 17 baadae Musoma August 22 na Shinyanga mjini August 24, tunaweza kuitumia hii time kuchek mastaa wa dunia wamefanya nini kwenye stage ya Summer

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKAZI WA YOMBO KILAKALA AKUTWA AMEFARIKI CHUMBANI KWAKE SOMA HAPA

MKAZI wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, Charles Swai (48), amekutwa chumbani kwake akiwa amefariki dunia. Kamanda wa Polisi Mkoa ... thumbnail 1 summary

MKAZI wa Yombo Kilakala jijini Dar es Salaam, Charles Swai (48), amekutwa chumbani kwake akiwa amefariki dunia.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AUNT EZEKIEL AFUNGUKA KUHUSU MASHOGA WA BONGO

KERO!  Mtendea haki sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anakerwa sana na wanaume wenye hulka za kike (mashoga). thumbnail 1 summary

KERO! Mtendea haki sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anakerwa sana na wanaume wenye hulka za kike (mashoga).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: