September 08, 2017

Polisi wazungumzia tukio la kupigwa risasi Lissu

Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amezungumzia tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ak... thumbnail 1 summary
Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amezungumzia tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, akiwaomba wananchi wenye taarifa kulisaidia jeshi hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni baada ya miezi 10 sasa, FIFA imeamua mechi ya Afrika Kusini na Senegal kurudiwa

Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na... thumbnail 1 summary
Mechi ya kufuzu kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: