March 21, 2016

Hemed PHD Wanted, Amtapeli Producer Roho Sita Milioni 1.5

MWIGIZAJI wa filamu Hemed Suleiman ‘Phd’ anatafutwa na mtayarishaji wa Filamu nchini baada ya kuchukua malipo kwa ajili ya kushiriki filamu... thumbnail 1 summary
MWIGIZAJI wa filamu Hemed Suleiman ‘Phd’ anatafutwa na mtayarishaji wa Filamu nchini baada ya kuchukua malipo kwa ajili ya kushiriki filamu ya Maziko saa sita na kulala mitini FC

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Rais Magufuli Atekeleza Agizo la Paul Makonda

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililok... thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa silaha zake lililokuwa likifanywa na Mkaguzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Harmonize ala shavu la ubalozi wa WWF Tanzania

Muimbaji wa ‘Bado’, Harmonize ameteuliwa kuwa balozi wa taasisi inayojihusisha na utunzaji wa mazingira, World Wide Fund for Nature – W... thumbnail 1 summary

Muimbaji wa ‘Bado’, Harmonize ameteuliwa kuwa balozi wa taasisi inayojihusisha na utunzaji wa mazingira, World Wide Fund for Nature – WWF kwa Tanzania.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Leo ni Birthday ya Ronaldinho, hivi ni vitu vitano vya kukumbukwa kutoka kwake (+Video)

March 21 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mkali wa soka kutokea BrazilRonaldinho, ambae kwa siku ya leo anasherehekea kutimiza umri ... thumbnail 1 summary
March 21 ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mkali wa soka kutokea BrazilRonaldinho, ambae kwa siku ya leo anasherehekea kutimiza umri wa miaka 36.Ronaldinho kacheza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Maneno ya Rais Magufuli baada ya Dkt Shein kutangazwa kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Kama ulipata taarifa za matokeo ya urais Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli yalimfikia pia, nakukarib... thumbnail 1 summary
Kama ulipata taarifa za matokeo ya urais Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli yalimfikia pia, nakukaribisha kuzisoma sentensi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NEYMAR KAKUTWA NA HATIA YA UKWEPAJI KODI, HUKUMU YAKE JE?

Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona yaHispania Neymar bado yupo kwenye headlines zaukwepaji kodi... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona yaHispania Neymar bado yupo kwenye headlines zaukwepaji kodi, kama ambavyo zilivyokuwa zinawakabili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BREAKING NEWS:MSAFARA WA WABUNGE WAPATA AJALI WATU WANNE WASADIKIWA KUFA

Baadhi ya Wananchi wa eneo la Kerege ,Bagamoyo wakishuhudia ajali iliyotokea mapema mchana huu,na kudaiwa kupelekea vifio vya watu wanne ... thumbnail 1 summary
Baadhi ya Wananchi wa eneo la Kerege ,Bagamoyo wakishuhudia ajali iliyotokea mapema mchana huu,na kudaiwa kupelekea vifio vya watu wanne na wengine sita kujeruhiwa vibaya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Millen Magese: Tanzania Hainisupport Kwenye Kampeni Zangu za Endometriosis..Siwezi Poteza Muda....

Ukweli mchungu na kuusema ni muhimu ili wahusika wajirekebishe. Millen Magese yupo kwenye kampeni kubwa dhidi ya ugonjwa unaowatesa wanaw... thumbnail 1 summary
Ukweli mchungu na kuusema ni muhimu ili wahusika wajirekebishe. Millen Magese yupo kwenye kampeni kubwa dhidi ya ugonjwa unaowatesa wanawake wengi duniani akiwemo yeye,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Louis Van Gaal Amwagia Sifa Marcus Rashford, Adai Ni Mshambuliaji Mahiri

Kocha Louis van Gaal amekiri kuwa kinda wa Machester United Marcus Rashford ana kila kitu anachostahili kuwa nacho mshambuliaji mahiri. thumbnail 1 summary
Kocha Louis van Gaal amekiri kuwa kinda wa Machester United Marcus Rashford ana kila kitu anachostahili kuwa nacho mshambuliaji mahiri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Afanya Kufuru Ulaya Ateketeza Sh. Mil 100

Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu ... thumbnail 1 summary
Kufuru! Ndilo neno pekee linaloweza kuakisi takriban Sh. milioni 100 ambazo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameziteketeza akiwa na msururu mrefu wa wanafamilia wa Wasafi Classic

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Obama alivyoweka Historia ya mahusiano ya Marekani na Cuba

Baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri kati ya Marekani na jirani yake Cuba kwa muda mrefu, March 20 2016 Rais Barack Obama amefanya ziara y... thumbnail 1 summary
Baada ya kutokuwa na uhusiano mzuri kati ya Marekani na jirani yake Cuba kwa muda mrefu, March 20 2016 Rais Barack Obama amefanya ziara ya siku 3 inayolenga kurekebisha uhusiano

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ariana Grade karudi kwenye headlines na hii single yake mpya ‘Be Alright’, isikilize hapa

Imepita miaka miwili tu toka msanii wa muziki wa Pop, Marekani, Ariana Grande aachie Album yake iliyopewa jina, My Everything…. good news... thumbnail 1 summary
Imepita miaka miwili tu toka msanii wa muziki wa Pop, Marekani, Ariana Grande aachie Album yake iliyopewa jina, My Everything…. good news ni kwamba msanii huyo time hii

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Arsene Wenger ni kocha wa nne kuhusishwa kufukuzwa kazi Uingereza msimu huu, hili ndio jina la mrithi wake

Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa kuwa mashakani vinazidi kushika kasi kila k... thumbnail 1 summary
Headlines za vibarua vya makocha wa Ligi Kuu Uingereza msimu huu kutoka katika vilabu vikubwa kuwa mashakani vinazidi kushika kasi kila kukicha, ilianza kwa kocha Jose Mourinho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

wauza unga hadharani..majina yao haya hapa liveee......Mange awataja waziwazi bila woga

Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa C... thumbnail 1 summary
Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BATA MBAYA:MAINI YA PENNY YAANZA KUHARIBIKa KISA?

Habari mbaya! Majibu ya daktari yamemkatisha tamaa Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ baada ya kuambiwa kuwa, kutokana ... thumbnail 1 summary

Habari mbaya! Majibu ya daktari yamemkatisha tamaa Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ baada ya kuambiwa kuwa, kutokana na unywaji wa pombe kali kupitiliza,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chid Benz 'Watanzania Wenzangu Siko Sawa Nahitaji Msaada Wenu'

Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amese... thumbnail 1 summary
Akiongea kwa uchungu kwenye kipindi cha Da Weekend Chat Show cha Clouds TV jana, Chidi ambaye mwili wake umepungua kwa kiasi kikubwa, amesema bado uwezo kimuziki anao lakini wale aliowaita wadau walioushikilia muziki wamemtupa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Afunguka Kuhusu Kuongeza Mtoto Mwingine na Zari, Ipo Hapa

STAA wa Bongo Fleva asiyechuja kwa takriban miaka 7 mfululizo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba... thumbnail 1 summary
STAA wa Bongo Fleva asiyechuja kwa takriban miaka 7 mfululizo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ameeleza mikakati yake kuwa ana mpango wa kumpa mimba nyingine malkia wake wa nguvu, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Risasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nicki Minaj Apiga Bonge la Show South Africa

Nicki Minaj amezikonga nyoyo za mashabiki wake jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii. thumbnail 1 summary
Nicki Minaj amezikonga nyoyo za mashabiki wake jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Paul Amuomba Peter Msamaha, Ambembeleza Wairudishe P-Square

Paul ameamua kujishusha na kumuomba msamaha kaka yake Peter Okoye.Pacha huyo wa kundi la P-Square lililovunjika ameandika maelezo marefu ... thumbnail 1 summary
Paul ameamua kujishusha na kumuomba msamaha kaka yake Peter Okoye.Pacha huyo wa kundi la P-Square lililovunjika ameandika maelezo marefu kwenye Instagram kuelezea hali halisi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Makonda Awapa Miezi Mitatu Wamiliki wa Silaha Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa miezi mitatu kwa wakazi wote wa mkoa huo... thumbnail 1 summary
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa miezi mitatu kwa wakazi wote wa mkoa huo wanaomiliki silaha, wathibitishe uhalali wa umiliki wa silaha zao kwa mamlaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ronaldo kaenda hotelini kunywa chai… atamaliza kikombe? kuna dakika 4 za watu baada ya kumshtukia

Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chi... thumbnail 1 summary
Cristiano Ronaldo ni staa wa soka duniani…. uzito wa jina lake umewafikia hata wasio mashabiki wakubwa wa soka, tazama hii video hapa chini jinsi alivyokwenda kunywa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii ndio ndinga mpya ya msanii Shilole asema bye bye Mark X…

Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang’... thumbnail 1 summary
Siku zote wataalamu wa mambo wanasema kuwa msanii mkali ni lazima awe na gari kali, sasa time hii msanii mwenye hit single iitwayo Nyang’anyang’a shilole leo March 20, 2016 kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliweza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid yaibuka na ushindi mnono dhidi ya Sevilla, Ronaldo kapiga shuti nane, magoli je? (+Video)

Burudani ya soka la Hispania liliendelea usiku wa March 20, kwa michezo kupigwa ndani ya ardhi ya Hispania, Real Madrid ambao bado hawana... thumbnail 1 summary
Burudani ya soka la Hispania liliendelea usiku wa March 20, kwa michezo kupigwa ndani ya ardhi ya Hispania, Real Madrid ambao bado hawana matumaini ya kutwaa Ubingwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: