August 10, 2014

NYUMBA YA MWANAUME ALIYEKUWA AKIWALAWITI WATOTO WA KIUME HUKO MOSHI YATEKETEZWA KWA MOTO NA WANANCHI WENYE HASIRA SOMA HAPA ZAIDI

Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wa... thumbnail 1 summary

Wananchi wenye hasira, wameteketeza kwa moto nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Mwika Uuwo, Wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, wakimtuhumu kulawiti wanaume  wenzake. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA MAHUSIANO YA KIMAPENZI YA UMBALI NA JINSI YA KUYAFANYA YAWE YA MAFANIKIO NA FURAHA.

Usipomuona mpenzi wako kwa muda moyo huingia upweke, matamanio ya kumtaka kumuona huongezeka mara dufu, mawazo ya jinsi alivyo na kil... thumbnail 1 summary


Usipomuona mpenzi wako kwa muda moyo huingia upweke, matamanio ya kumtaka kumuona huongezeka mara dufu, mawazo ya jinsi alivyo na kila kitu kuhusu yeye hukufanya utabasamu na kufurahia uwepo wake kila umuonapo, na hukupa hisia na tamaa ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAAJABU: NDUGU WATANO SASA WATEMBEA KAMA WANYAMA

    Familia moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na ... thumbnail 1 summary

  

Familia moja ya Uturuki inawapasua kichwa wanasayansi, kutokana na wanandugu watano kutokuwa na uwezo wa kutembea kama binadamu, na badala yake wanatembea mithili ya wanyama, wakitumia miguu na mikono.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE AZIDI KUHARIBU HALI YA HEWA, TAZAMA HIZI ZA LEO, DAH SHIDA SANA

  Agness kwa umaarufu unaweza muita Masogange ameendelea kuwapangawisha mashabiki wake huko Instagrama kwa kuendelea kupost picha za mit... thumbnail 1 summary
Agness kwa umaarufu unaweza muita Masogange ameendelea kuwapangawisha mashabiki wake huko Instagrama kwa kuendelea kupost picha za mitego huku akionyesha baadhi ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO) AKATWA MKONO WA KULIA NA WAHALIFU KUKIMBIA NAO KUSIKOJULIKANA

Ukatili dhidi ya wenye ulemavu wa ngozi (Albino) umejitokeza tena mkoani Tabora ambapo mtoto Pendo Sengerema (14) mwanafunzi wa dara... thumbnail 1 summary

Ukatili dhidi ya wenye ulemavu wa ngozi (Albino) umejitokeza tena mkoani Tabora ambapo mtoto Pendo Sengerema (14) mwanafunzi wa darasa la sita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDOA YANUKIA KATI YA WASANII HAWA BELA NA LUENI KARAMA STORI NZIMA SOMA HAPA

STAA  wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu. thumbnail 1 summary
STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNGA WAMTESA TENA AGNESS MASOGANGE

MAJANGA!  Baada ya kuchomoka kwenye ule msala wa awali wa madawa ya kulevya, video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amejikut... thumbnail 1 summary
MAJANGA! Baada ya kuchomoka kwenye ule msala wa awali wa madawa ya kulevya, video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amejikuta akiteseka kwa ishu hiyo kwa mara nyingine.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAULI YA DIAMOND PLATNUM KUHUSIANA NA SERENGETI FIESTA 2014 MKOANI MWANZA.SOMA HAPA

Mkali wa Mziki wa Kizazi Kipya hapa Bongo Diamond Platnum aka Rais wa Wasafi aka Dangote aka mahaba ninyote wa Mlimbwende wa Tanzania mwa... thumbnail 1 summary
Mkali wa Mziki wa Kizazi Kipya hapa Bongo Diamond Platnum aka Rais wa Wasafi aka Dangote aka mahaba ninyote wa Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2006 tayari yuko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUKUA ,MDA WAKO KIDOGO KUTAZAMA PICHA YA KILICHOJILI BETHIDEI YA NANCY SUMARY

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn thumbnail 1 summary

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: