April 24, 2016

Wimbo ndo utaeleza yaliyo moyoni mwangu – Nuh Mziwanda

Msanii Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole kabla ya kuachana amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hataki kuongea ... thumbnail 1 summary
Msanii Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole kabla ya kuachana amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hataki kuongea jambo lolote ila mambo yote

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hii Ndio Maana Ya "NdiNdiNdi" Ya Lady Jaydee, Ipo Hapa

Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina... thumbnail 1 summary
Msanii wa Bongo Flava Judith Wambura maarufu kama Lady JayDee ameweka hadharani maana ya ngoma yake mpya inayotesa mtaani kwa sasa kwa jina la NdiNdiNdi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Instagram: Maneno 42 aliyoyaandika Lulu kwenye hii picha yake April 24 2016…

Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, April 24 2016 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mta... thumbnail 1 summary
Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni staa kutoka kiwanda cha filamu Tanzania, April 24 2016 amezichukua headline kwa kuandika yafuatayo kupita mtandao wake wa instagram

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa za kifo cha Papa Wemba zimemfikia na Koffi Olomide, kaweka hii picha

Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 ndio zimeanza kusambaa taarifa za kifo cha mwimbaji Mkongwe kutoka Congo DRC aitwae Papa Wemba ambaye i... thumbnail 1 summary
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 ndio zimeanza kusambaa taarifa za kifo cha mwimbaji Mkongwe kutoka Congo DRC aitwae Papa Wemba ambaye imeripotiwa amefariki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Tazama goli bora la faulo la muda wote katika soka

Katika soka kuna matukio ambayo huwa hayasahauliki kwa urahisi kutokana na upekee wake, tukio hili la goli la faulo lilifungwa mwak... thumbnail 1 summary

Katika soka kuna matukio ambayo huwa hayasahauliki kwa urahisi kutokana na upekee wake, tukio hili la goli la faulo lilifungwa mwaka 1997 na beki wa zamani wa Brazil na vilabu vya Real Madrid na Inter Milan Roberto Carlos ambaye kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi ya Kupunguza Uzito wa Mwili/Unene Kwa Kutumia Saladi

Ulaji saladi ya spinachi, matunda ya apple na parachichi unaweza kumsaidia mtu kuwa na uzito unaotakiwa kiafya. Kabla mtu hajaanza kula... thumbnail 1 summary
Ulaji saladi ya spinachi, matunda ya apple na parachichi unaweza kumsaidia mtu kuwa na uzito unaotakiwa kiafya.
Kabla mtu hajaanza kula mlo wake wa asubuhi, mchana au usiku anashauriwa aanze na mboga za majani za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO - See How Vera Sidika Behaved Badly With The Gigantic Butt Of Fast Rising Socialite

Vera Sidika last Thursday night partied at a Nairobi nightclub where she pulled ratchet stunts on the buttocks of an upcoming socialite.... thumbnail 1 summary

Vera Sidika last Thursday night partied at a Nairobi nightclub where she pulled ratchet stunts on the buttocks of an upcoming socialite.
Revelers turned up in their numbers for Vera Sidika’s

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Selena Gomes Kumpaisha Justine Bieber?

Selena Gomez ana Justin Bieber MOJA ya stori zinazo ‘run’ kwa sasa ni juu ya kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonesha maisha ... thumbnail 1 summary

Selena Gomez ana Justin Bieber

MOJA ya stori zinazo ‘run’ kwa sasa ni juu ya kipindi kipya cha Televisheni kitakachoonesha maisha halisi ambacho anategemea kukirekodi mwanadada anayefanya poa kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Beckham Amuandaa Mwanaye Cruz Kuwa Bieber

David Beckham na mwanaye Cruz Beckham MWANASOKA wa zamani wa Man United ya England na Madrid ya Hispania, David Beckham na mkewe Victor... thumbnail 1 summary
David Beckham na mwanaye Cruz Beckham
MWANASOKA wa zamani wa Man United ya England na Madrid ya Hispania, David Beckham na mkewe Victoria inasemekana wanamuandaa kijana wao mdogo Cruz mwenye umri wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Rapper Young Dee Awehuka Wakati Anafanyiwa Interview, Ipo Hapa

Young Dee awashangaza mashabiki wake baada yakuonekana amewehuka wakati akifanyiwa mahojiano ya TV. Kwenye show ya eNewz inyorushwa na E... thumbnail 1 summary
post-feature-image
Young Dee awashangaza mashabiki wake baada yakuonekana amewehuka wakati akifanyiwa mahojiano ya TV. Kwenye show ya eNewz inyorushwa na EATV, Young Dee anaonekana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meneja wa Diamond Ataja Anapokosea Alikiba, Asema Yupo Tayari Kufanya Nae Kazi

Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akik... thumbnail 1 summary
Akiongea kwenye mahojiano na gazeti la Champion, Sallam alisema: Sina tatizo kabisa, akitaka tufanye kazi nitamweleza mahitaji yangu akikubali tutafanya kazi. Nilishawahi kukutana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Matokeo na video za magoli ya mechi za Man City, Chelsea na Liverpool zilizochezwa April 23 2016

Jumamosi ya April 23 2016 michezo minne ya Ligi Kuu Uingereza ilichezwa kama kawaida,  Man City  walicheza dhidi ya  Stoke City  wa... thumbnail 1 summary

Jumamosi ya April 23 2016 michezo minne ya Ligi Kuu Uingereza ilichezwa kama kawaida, Man City walicheza dhidi ya Stoke City wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wakicheza dhidi ya Stoke CityAFC Bournemouth dhidi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Mafikizolo na Diamond

Ni video ambayo single yake ilirekodiwa toka  June 2014  Johannesburg South Afrika kwenye studio ya Oskido ambaye ni mmoja wa maleg... thumbnail 1 summary

Ni video ambayo single yake ilirekodiwa toka June 2014 Johannesburg South Afrika kwenye studio ya Oskido ambaye ni mmoja wa malegend wa muziki Afrika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 24 2016 kwenye, Hardnews na michezo

April 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na Hardnews ... thumbnail 1 summary
April 24 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na Hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TOP 10 ya wanamichezo matajiri Uingereza 2016 imetoka, list yote ipo hapa

April 23 2016 gazeti la Rich Times imetoa majina ya wanamichezo 10 wenye mkwanja mrefu kwa mwaka 2016 ndani ya Uingereza pekee, katika li... thumbnail 1 summary
April 23 2016 gazeti la Rich Times imetoa majina ya wanamichezo 10 wenye mkwanja mrefu kwa mwaka 2016 ndani ya Uingereza pekee, katika list hii majina mengi yaliotawala ni wanasoka kasoro namba 2, 3 na 10 ndio sio wanasoka, namba 2

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: