October 06, 2015

Kumbe Marekani tatizo la watu kudownload muziki kinyume na Sheria bado ni kubwa sana tu!

Licha ya Marekani kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuwa na Sheria kali zinazodhibiti kudownload nyimbo kinyume na utaratibu uliowe... thumbnail 1 summary
Licha ya Marekani kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kuwa na Sheria kali zinazodhibiti kudownload nyimbo kinyume na utaratibu uliowekwa, sources nyingi zinazotoa huduma ya kustream na kudownload muziki kama Tidal, Apple Music

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Will Smith amerudi kwenye muziki, mipango yake ikoje? Changamoto anazozipata je? – (Video).

Will Smith aliwasuprise mashabiki wake wengi duniani wiki iliyopita alipoachia single yake ya kwanza ‘Fiesta‘ baada ya kupotea kweye kura... thumbnail 1 summary
Will Smith aliwasuprise mashabiki wake wengi duniani wiki iliyopita alipoachia single yake ya kwanza ‘Fiesta‘ baada ya kupotea kweye kurasa za burudani kwa zaidi ya miaka 10… na kwa muonekano wa mambo Will Smith hana mpango

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kingine kilichonifikia kuhusu hatma ya mwanariadha Oscar Pistorius…

Maisha ya mwanariadha maarufu Oscar Pistorius gerezani yameendelea kubaki njiapanda baada ya wasimamizi wa kesi hiyo kushindwa kufikia mu... thumbnail 1 summary
Maisha ya mwanariadha maarufu Oscar Pistorius gerezani yameendelea kubaki njiapanda baada ya wasimamizi wa kesi hiyo kushindwa kufikia muafaka wa kumuondoa gerezani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mipango mingine ya Bondia Manny Pacquiao ni yeye na Siasa, baada ya Ubunge anaingia na huku..

Jana jumatatu bondia maarufu duniani Manny Pacquiao aliweka wazi mikakati yake ya kuingia kwenye siasa baada ya kutangaza kuwania nafasi ... thumbnail 1 summary
Jana jumatatu bondia maarufu duniani Manny Pacquiao aliweka wazi mikakati yake ya kuingia kwenye siasa baada ya kutangaza kuwania nafasi ya Useneta katika moja ya majimbo nchini kwake Ufilipino.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya kuwasili Ureno Cristiano Ronaldo kazindua brand ya viatu vyake (+Pichaz)

Licha ya picha zake za awali kumuonesha Cristiano Ronaldo akiwa katika ndege kuelekea Ureno kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ureno... thumbnail 1 summary
Licha ya picha zake za awali kumuonesha Cristiano Ronaldo akiwa katika ndege kuelekea Ureno kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Ureno, Ronaldo hakuishia kuungana na timu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

POWER COUPLE::ZARI & DIAMOND

Couple ambayo inapendwa kwa sasa Bongo na Africa Mashariki kwa ujumla may be ni kwakuwa wao wanajulikana tayari au maisha yao nawaachia w... thumbnail 1 summary
Couple ambayo inapendwa kwa sasa Bongo na Africa Mashariki kwa ujumla may be ni kwakuwa wao wanajulikana tayari au maisha yao nawaachia wadau,na umaarufu umeongezeka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII HAPA HISTORIA YA MAREHEMU MCHUNGAJI MTIKILA, JINSI ALIVYOANZA SAFARI YA MAISHA YA SIASA TANZANIA

MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini. thumbnail 1 summary


MCHUNGAJI Christopher Mtikila ni Mwenyekiti wa chama cha Democratic Party (DP) ambacho kina usajili wa kudumu hapa nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAULI YA MCHUNGAJI MTIKILA SIKU MOJA KABLA YA KIFO CHAKE''MSIPIGE KURA KUMCHAGUA RAIS ILI NIGOMBEE URAIS''

MWENYEKITI wa chama cha DP Mch. Christoper Mtikila siku moja kabla ya kifo chake aliwataka wakazi wa mkoa wa Njombe kuto chagua rais baada ... thumbnail 1 summary
MWENYEKITI wa chama cha DP Mch. Christoper Mtikila siku moja kabla ya kifo chake aliwataka wakazi wa mkoa wa Njombe kuto chagua rais baada ya kuingia katika chuma cha Uchaguzi Octaba 25 mwaka huu kwa kuwa yeye wagombea uraisi wote walio simamishwa na vyama vingine hapa nchini anaona wanadosari.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKURUGENZI MKUU WA TANESCO AONGEA KUHUSU MGAO WA UMEME

Mkurugenzi wa TANESCO Injinia Felichesmi Mramba ametaja sababu za kukata kata umeme hapa nchini kama ifuatavyo:-  Dar es salaam katikat... thumbnail 1 summary
Mkurugenzi wa TANESCO Injinia Felichesmi Mramba ametaja sababu za kukata kata umeme hapa nchini kama ifuatavyo:- 
Dar es salaam katikati ya jiji kuna mradi wa umeme unaojengwa kwa kushirikiana na serikali ya Finland ya kujenga kituo kipya cha umeme katikati ya jiji kitakachokamilika Novemba 2015 hivyo maeneo ya Ilala, Makumbusho na katikati ya jiji yamekua yakizimiwa umeme sababu ya kazi inayoendelea.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MICHEZO Jose Mourinho kufukuzwa Chelsea? huu ndio msimamo wa Chelsea kwa sasa ….

Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza raia wa Urusi Roman Abramovich tumezoea kuona akifukuza makocha kwa haraka zaidi endapo tu mwenend... thumbnail 1 summary
Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza raia wa Urusi Roman Abramovich tumezoea kuona akifukuza makocha kwa haraka zaidi endapo tu mwenendo wa timu yake utakuwa sio mzuri kwa kipindi kifupi, tabia ya tajiri huyo wa Kirusi imekuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli Anakikimbia Chama Chake au Chama Kinamkimbia?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika ka... thumbnail 1 summary


KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na ukweli halisia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lowassa Apokelwa kwa Kishindo Monduli.......Hapa Kuna Picha 13 za MAFURIKO Yake Katika Uwanja wa polisi, Monduli Mjini Jana Oktoba 5, 2015.

Lowassa Apokelwa kwa Kishindo Monduli.......Hapa Kuna Picha 13 za MAFURIKO Yake Katika Uwanja wa polisi, Monduli Mjini Jana Oktoba 5, 2... thumbnail 1 summary

Lowassa Apokelwa kwa Kishindo Monduli.......Hapa Kuna Picha 13 za MAFURIKO Yake Katika Uwanja wa polisi, Monduli Mjini Jana Oktoba 5, 2015.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Zari Reveals How She Met Salama Jabir For The First Time

Yesterday was presenter Salama Jabir's birthday, one of those stars who wished her good luck was Zari... The 1st time i met her we ... thumbnail 1 summary
Yesterday was presenter Salama Jabir's birthday, one of those stars who wished her good luck was Zari...
The 1st time i met her we never talked the 2nd well we did try i remember it was on hubbys' video shoot in South

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAPE: Kuondoka kwa Mzee Kingunge Chama kimepata ahueni

Chama cha Mapinduzi kimesema hatua ya kuondoka kwa Mzee Kingunge ndani ya CCM, imekuwa afadhali kwao kuliko angeendelea kubaki. thumbnail 1 summary


Chama cha Mapinduzi kimesema hatua ya kuondoka kwa Mzee Kingunge ndani ya CCM, imekuwa afadhali kwao kuliko angeendelea kubaki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: