June 02, 2016

Wolper adai Kiingereza kilimfanya adanganyike kwenda SA

Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amesema alijikuta akidanganyika kwenda Afrika Kusini kwasababu alitaka akasomee Kiingereza, lugha... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amesema alijikuta akidanganyika kwenda Afrika Kusini kwasababu alitaka akasomee Kiingereza, lugha anayoamini ni muhimu wake.
Akiongea kwenye kipindi cha Take One, kinachoruka kupitia Clouds TV, Wolper amesema kuwa chuki zilizopo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Kajala na Quick Rocka sasa mahaba nje nje

Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani. Hata hivyo penzi linapon... thumbnail 1 summary
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VideoMPYA: Rich Mavoko ametuletea video yake mpya ‘Ibaki Story’

Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCBinayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya... thumbnail 1 summary
Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCBinayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndoa ya Diamond na Zari inanukia?

Sio kila mwanaume anapenda kumuita mpenzi wake ‘wife to be’ labda kama ameamua kuyatuliza macho yake kwa mwanamke mmoja tu kukubali kuwa ... thumbnail 1 summary
Sio kila mwanaume anapenda kumuita mpenzi wake ‘wife to be’ labda kama ameamua kuyatuliza macho yake kwa mwanamke mmoja tu kukubali kuwa muda wa na mwanamke mmoja maishani umefika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

‘Wema Sepetu Mobile Application’ yaanza kulipa

Baada ya kuzindua App yake hivi karibuni, malkia Wema Sepetu ameanza kuingiza mkwanja. Hivi karibuni muigizaji huyo alizindua huduma ya... thumbnail 1 summary
Baada ya kuzindua App yake hivi karibuni, malkia Wema Sepetu ameanza kuingiza mkwanja.
Hivi karibuni muigizaji huyo alizindua huduma yake ya ‘Wema Sepetu Mobile Application’ itakayomfanya kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taylor Swift na Calvin Harris waachana

Muimbaji wa Marekani Taylor Swift na mpenzi wake Calvin Harris wameachana baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miezi 15. Mtu wa karibu n... thumbnail 1 summary
Muimbaji wa Marekani Taylor Swift na mpenzi wake Calvin Harris wameachana baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miezi 15.
Mtu wa karibu na wawili hao ameliambia jarida la People kuwa ‘There was no drama. Things just don’t work out sometimes.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakama yatengua kifungo cha Siwema wa Nay wa Mitego

Mahakama Kuu ya Mkoa wa Mwanza imetengua kifungo kwa mzazi mwenzake na Nay Wamitego, Siwema kwa kumhukumu kifungo cha nje cha miaka miwili.... thumbnail 1 summary
Mahakama Kuu ya Mkoa wa Mwanza imetengua kifungo kwa mzazi mwenzake na Nay Wamitego, Siwema kwa kumhukumu kifungo cha nje cha miaka miwili.
Mwezi April mahakama kuu ya Mkoa wa Mwanza ilimhukumu Siwema kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na kesi kumtukana matusi kwa njia ya mtandao mlalamikaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA UZURI WA MCHEPUKO WA DIAMOND PLATNUMZ [+VIDEO]

Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. K... thumbnail 1 summary
Japo kua Diamond amezaa na Zari na kupata mtoto Tiffah, ila kwa sasa kuna tetesi kua Diamond Platnumz anatoka na demu mpya Aitwa Irene. Kwa taarifa zakuaminika kutoka kwa watu wa karibu wa Diamond zinaonyesha ni kweli Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video : Baada ya Kutoboa Pua, Diamond Aweka Meno ya Dhahabu, Jionee Hapa

Itakumbukwa kua wiki chache zilizopita video ya msanii Diamond ikionyesha akiwa katoboa pua ilisambaa na kusababisha watu wengi kumlalami... thumbnail 1 summary
Itakumbukwa kua wiki chache zilizopita video ya msanii Diamond ikionyesha akiwa katoboa pua ilisambaa na kusababisha watu wengi kumlalamikia kua kitendo hicho hakileti picha nzuri kwa jamii hasa ukizingatia kua yeye ni msanii mkubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking News: Wabunge Wote wa Upinzani Watoka Nje Kupinga Naibu Spika Kuendesha Vikao vya Bunge.

Wabunge wote wa vyama vya upinzani leo tena wametoka nje kupinga Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao vya Bunge na kumwa... thumbnail 1 summary
Wabunge wote wa vyama vya upinzani leo tena wametoka nje kupinga Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson kuendesha vikao vya Bunge na kumwachia Bunge yeye na wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Snura: Wimbo wa Chura Ndio Unaowanyamazisha Watu Jukwaani.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amesema licha ya nyimbo yake ya chura kufungiwa na Wizara ya habari, sanaa na michezo kwa ku... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi amesema licha ya nyimbo yake ya chura kufungiwa na Wizara ya habari, sanaa na michezo kwa kuonekana hauna maadili lakini wimbo huo ndio huwanyamazisha watu unapopigwa kwenye show.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Hatimaye Diamond Platnumz Amkaribisha na Kumtambulisha Rich Mavoko Chini Ya WCB Wasafi.

Imetimia ! Leo ni siku kubwa na muhimu sana kwa Label ya WCB Wasafi. Zimekuwepo tetesi nyingi sana kuhusu tukio hili ila sasa imekuwa kw... thumbnail 1 summary
Imetimia ! Leo ni siku kubwa na muhimu sana kwa Label ya WCB Wasafi. Zimekuwepo tetesi nyingi sana kuhusu tukio hili ila sasa imekuwa kweli na rasmi utambulisho wa msanii mpya wa WCB Wasafi baada ya Harmonize na Raymond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Jambo la kufahamu baada ya Paul Makonda kukutana na Jeshi la Maji la China

Baada ya Jeshi la Maji la nchini China kuwasili nchini, June i 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alienda kuwaaga na kuliel... thumbnail 1 summary
Baada ya Jeshi la Maji la nchini China kuwasili nchini, June i 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alienda kuwaaga na kulieleza Jeshi la Maji la nchini China baadhi ya changamoto wanazozipata Tanzania kwa upande wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

G-Nako: Hatuna tatizo kabisa na Nisher (Audio)

Rapper wa kundi la Weusi, G-Nako amesema hawana tatizo na Nisher licha ya hivi karibuni kutofautiana kuhusiana na video ya wimbo Arosto. ... thumbnail 1 summary
Rapper wa kundi la Weusi, G-Nako amesema hawana tatizo na Nisher licha ya hivi karibuni kutofautiana kuhusiana na video ya wimbo Arosto.
Akiongea na kipindi cha Super Mega cha Kings FM kinachoendeshwa na Divine Kweka, G-Nako alisema pamoja na Nisher kuwatupia lawama kibao Instagram,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 2, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

June 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hard... thumbnail 1 summary
June 2 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: