June 02, 2016

Video: Kajala na Quick Rocka sasa mahaba nje nje

Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani. Hata hivyo penzi linapon... thumbnail 1 summary
Mapenzi ya Kajala na Quick Rocka yamekuwepo kwa muda sasa lakini hakuna hata mmoja amewahi kukiri hadharani.
Hata hivyo penzi linaponoga, si rahisi tena kulificha. Ndio maana Quick ameamua kushare video Instagram inayomuonesha akipeana mabusu ya haja ya staa huyo wa filamu.

“How I dance HAPO na mama lao……mtoto kapiga 6kichwa mbichi kama mtoto wa shule (Tag her),” ameandika Quick kwenye video hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments