June 02, 2016

VideoMPYA: Rich Mavoko ametuletea video yake mpya ‘Ibaki Story’

Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCBinayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya... thumbnail 1 summary
Rich Mavoko ametambulishwa rasmi leo June 2 2016 kuwa chini ya lebo ya WCBinayosimamiwa na Diamond Platnumz, ikiwa ni saa kadhaa baada ya kutambulishwa Rick katuletea
video mpya inaitwa ‘Ibaki Story’ ambayo imefanyika Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie na comment yako mtu wa nguvu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments