June 02, 2016

Video: Jambo la kufahamu baada ya Paul Makonda kukutana na Jeshi la Maji la China

Baada ya Jeshi la Maji la nchini China kuwasili nchini, June i 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alienda kuwaaga na kuliel... thumbnail 1 summary
Baada ya Jeshi la Maji la nchini China kuwasili nchini, June i 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alienda kuwaaga na kulieleza Jeshi la Maji la nchini China baadhi ya changamoto wanazozipata Tanzania kwa upande wa
ulinzi wa baharini na pembezoni ya bahari.

‘Hapa tumekuja kuagana na wanajeshi wa maji wa China ambao walikuja kunitembelea kuna mahusiano mazuri sana kati ya jeshi la Tanzania na Jeshi lao la China, hivyo nimewaeleza baadhi ya changamoto ambazo tunakutana nazo kwenye ulinzi hivyo nimewaomba watusaidie boti za kisasa ambazo zitatusaidia kuimarisha ulinzi zaidi‘>>> Paul Makonda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments