June 02, 2016

Taylor Swift na Calvin Harris waachana

Muimbaji wa Marekani Taylor Swift na mpenzi wake Calvin Harris wameachana baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miezi 15. Mtu wa karibu n... thumbnail 1 summary
Muimbaji wa Marekani Taylor Swift na mpenzi wake Calvin Harris wameachana baada ya kudumu kwenye uhusiano kwa miezi 15.
Mtu wa karibu na wawili hao ameliambia jarida la People kuwa ‘There was no drama. Things just don’t work out sometimes.’

Chanzo kilicho karibu na Taylor kimethibitisha kwa DailyMail.com kuwa ripoti hizi za People ni za kweli. E! News imedai kwa Harris ndiye aliyempiga chini Swift.

Tofauti kubwa ya ratiba zao ni sababu za kuachana. “It seemed like they were more friends than lovers,’ kimesema chanzo.

Huyo anakuwa mwanaume wa nane kuachana na Taylor Swift.

Hawa ni wanaume wengine waliowahi kuwa na uhusiano na muimbaji huyo ambapo wote hakudumu nao sana.

Joe Jonas (2008)
Lucas Till (2009)
John Mayer (2009 – 2010)
Taylor Lautner (2010)
Jake Gyllenhaal (2010 – 2011)
Conor Kennedy (2012)
Harry Styles (2012 – 2013)

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments