July 21, 2014

Picha za mastaa walivyoungana na Chris Brown kwenye mechi ya kujitolea.

Chris Brown ameungana na mastaa wenzake kwenye mechi ya kickball kwa ajili ya kujitolea. Mechi hiyo ambayo timu ya Chris Brown ilicheza ... thumbnail 1 summary
2
Chris Brown ameungana na mastaa wenzake kwenye mechi ya kickball kwa ajili ya kujitolea. Mechi hiyo ambayo timu ya Chris Brown ilicheza vs timu ya mtoto wa P. Diddy Quincy Combs lengo lake kubwa lilikuwa ni kukusanya pesa za viingilio na kuzitumia kwenye charity.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Steven Gerrard aipa bye bye timu ya taifa ya England

Hadi sasa Steven Gerrard ameshinda mechi 38 kati ya 114 kwenye mechi za kimataifa katika muda wake wote akiwa mchezaji wa timu ya taifa... thumbnail 1 summary
gerrad
Hadi sasa Steven Gerrard ameshinda mechi 38 kati ya 114 kwenye mechi za kimataifa katika muda wake wote akiwa mchezaji wa timu ya taifa. Lakini hivi leo Gerrard ametangaza uamuzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO KAULI YA DIAMOND BAADA YA KUHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA

  Msanii Wa Muziki wa Bongofleva mwenye jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki “Diamond” amejitokeza na... thumbnail 1 summary


 

Msanii Wa Muziki wa Bongofleva mwenye jina kubwa Town na mwenye Mkwanja mkubwa hapa nchini Nasseeb Abdulmaliki “Diamond” amejitokeza na kukanusha kuwa hahusiki na biashara ya madawa ya kulevya. Amesema...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMBE SHILOLE KUPENDA VISERENGETI BOYS HAJAANZA LEO, TAZAMA HIKI NUSU KIMLE URODA STEJINI

Shilole akiwa amelaliwa juu na kidume alipokuwa akifanya show na hii ni style ya thumbnail 1 summary


Shilole akiwa amelaliwa juu na kidume alipokuwa akifanya show na hii ni style ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PIGO MAN CITY, NEGREDO AVUNJIKA MGUU NA ATAKUWA NJE MIEZI MITATU

MSHAMBULIAJI Alvaro Negredo atakuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu baada ya kuumia kikanyagio cha mguu wa kuli katika mchezo wa kirafiki... thumbnail 1 summary
MSHAMBULIAJI Alvaro Negredo atakuwa nje ya Uwanja kwa miezi mitatu baada ya kuumia kikanyagio cha mguu wa kuli katika mchezo wa kirafiki baina ya Manchester City na Hearts. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Huyu ndiye Mwanamke aliyejipatia mamilioni kutokana na uvutaji sigara wa mumewe.

Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mke wa... thumbnail 1 summary
sigarr
Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mke wa mwathiriwa mmoja wa sigara aliyefariki kutokana na saratani ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BINTI ALIYETUMIKISHWA KWENYE MADANGURO CHINA AHOJIWA NA POLISI KWA MASAA 11

Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawila , limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa mie... thumbnail 1 summary
Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol), Tawila , limemhoji kwa saa kumi na moja binti aliyerubuniwa na kupelekwa China ambako kwa miezi mitatu alikuwa akitumikishwa kwenye madanguro nchini humo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNACHOTAKIWA KUFANYA UNAPOKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA.

Kukosa hamu ya kujamiiana ni tatizo linalowasumbua wengi nchini. Ni maradhi kwa upande mwingine yanayosababisha ugumba na hata mifarakan... thumbnail 1 summary

Kukosa hamu ya kujamiiana ni tatizo linalowasumbua wengi nchini. Ni
maradhi kwa upande mwingine yanayosababisha ugumba na hata mifarakano na kuvunjika kwa ndoa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO DR.CHENI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA JULY 20.

Ni jioni iliyowakusanya watu wengi ambao walikuja kwa ajili ya kuona namna brother kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Dr.Cheni anavyos... thumbnail 1 summary

29chnNi jioni iliyowakusanya watu wengi ambao walikuja kwa ajili ya kuona namna brother

kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Dr.Cheni anavyosherehekea siku yake ya kuzaliwa ambayo ni July 20.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KICHANGA KILICHOOPOLEWA CHOONI TANGA CHATIMIZA MWEZI MMOJA..SOMA ZAIDI

Walezi wa kwaya ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo (kushoto) na Sylvester Tyienyi wakiwa na kichan... thumbnail 1 summary

Walezi wa kwaya ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo (kushoto) na Sylvester Tyienyi wakiwa na kichanga kilichoopolewa chooni mkoani Tanga ambacho

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"...NINA MPENZI LAKINI MMH..." RIYAMA AFUNGUKA...SOMA ZAIDI HAPA...!

  Staa aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally katika pozi. STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally a... thumbnail 1 summary

 Staa aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally katika pozi.
STAA aliyeitendea haki sinema ya Kigodoro, Riyama Ally amesema licha ya kuwa ana mchumba lakini hayupo tayari kuolewa kwa sasa.Akizungumza na mwanahabari wetu, Riyama alisema hahitaji kuolewa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII KAJALA AFUNGUKA KUHUSU KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MTANGAZAJI WA CLOUDS

  Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa ... thumbnail 1 summary

Acha bwana! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ ameibuka na kukanusha vikali madai ya kutoka kimalovee na mtangazaji wa Clouds aitwaye Perfect.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUME LASUTWA KISA, UMBEYA PATA HABARI ZAIDI HAPA

WERAA! Watu weweee! Dume lililofahamika kwa jina moja la Lusajo au Sajo anayefanya kazi maeneo ya Kijitonyama, Dar jirani na duka la m... thumbnail 1 summary

WERAA! Watu weweee! Dume lililofahamika kwa jina moja la Lusajo au Sajo anayefanya kazi maeneo ya Kijitonyama, Dar jirani na duka la mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ amejikuta akitaharuki na kuaibika baada ya kusutwa laivu katikati ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHETTA AMWAGIWA UJI WA MOTO

  KHA! S taa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa uji wa moto na Mbongo-Fleva... thumbnail 1 summary

KHA! Staa wa Kerewa, Nurdin Bilal ‘Shetta’ juzikati alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa uji wa moto na Mbongo-Fleva mwenzake, Mwajuma Abdul ‘Queen  Darleen’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SANDRA: NAIPENDA SANA NDOA YANGU

TAHADHARI Mimi nakukubali sana Sandra, kwanza nakupa hongera kwa kazi zako nzuri, ila nakupa tahadhari, jitahidi hivyohivyo kuwa na msima... thumbnail 1 summary
TAHADHARI
Mimi nakukubali sana Sandra, kwanza nakupa hongera kwa kazi zako nzuri, ila nakupa tahadhari, jitahidi hivyohivyo kuwa na msimamo wa kutopata skendo, vinginevyo utajiharibia katika sanaa pia jamaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AVALISHWA PETE NA DIAMOND KIMYA KIMYA , SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

  SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni... thumbnail 1 summary

SAPRAIZ! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikidaiwa kuwa amevalishwa na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kwa siri kubwa, Ijumaa Wikienda lina stori exclusive.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: