May 15, 2016

Is It True That Jacqueline Wolper and Harmonize are Dating? Esma Platnumz Proves So

Esma Platnumz welcome Jack wolper to the family as Harmonise new Girl freind, and this is what diamond platnumz sister wrote through he... thumbnail 1 summary

Esma Platnumz welcome Jack wolper to the family as Harmonise new Girl freind, and this is what diamond platnumz sister wrote through her Instagram Account to welcome Jackline

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

This Is What Diamond Platnumz Said To His Baby Mama, Zari The Boss Lady.... They are Still Together.

For Those who Thought That Little "Kwetu" Thing will Make Them Part Ways...Well Think Again... thumbnail 1 summary
For Those who Thought That Little "Kwetu" Thing will Make Them Part Ways...Well Think Again...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kanye West poses for the papparazzi on Corey Gamble's Ferrari

Kanye was in a great mood when his mother-in-law Kris's boyfriend rolled up in a brand new Ferrari after a family lunch outing.He sta... thumbnail 1 summary
Kanye was in a great mood when his mother-in-law Kris's boyfriend rolled up in a brand new Ferrari after a family lunch outing.He started striking poses for the paparazzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haya Ndiyo Mambo ya Kuzingatia Unapokuwa Kitandani na Baby Wako... Siyo Mmoja Anachekelea na Mwingine Anatoka Kama Alivyoingia!

1.MAPENZI NI SANAA NA SAYANSI Huwezi kukurupuka tu linapokuja suala hili...Sanaa inatakiwa.Kama wewe ni Mwanaume jua una kazi kubwa sana ... thumbnail 1 summary
1.MAPENZI NI SANAA NA SAYANSI
Huwezi kukurupuka tu linapokuja suala hili...Sanaa inatakiwa.Kama wewe ni Mwanaume jua una kazi kubwa sana kwenye hili jambo....Sanaa inaanza kabla hata hamjaenda,unamuandaaje huyo mtu mkiwa mnakwenda,Ile sio Quiz kwamba unamshtua mtu tu kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Haya Mambo Yafuatayo Huwafanya Wanawake Wengi Kushindwa Kuingia Katika Ndoa (Kuolewa)

Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika... thumbnail 1 summary
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tulidanganywa Kutakuwa na Mabasi Yanayoenda Kasi

Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo y... thumbnail 1 summary
Hili limeniuma sana. Serikal ilisema kutakuwa na mabasi yanayoenda kasi. Nmepanda haya mabasi zaidi ya mara 10 wala hayaendi kasi. Hayo ya kasi watatuletea lini?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nilikuwa Silipwi Kitu Top Band Kwa TID - Ommy Dimpoz Afunguka!

Msanii Ommy Dimpoz amesema wakati anaanza muziki alipokuwa Top Band, alipitia magumu ambayo ndiyo yamemjenga. Ommy Dimpoz ameyasema hay... thumbnail 1 summary
Msanii Ommy Dimpoz amesema wakati anaanza muziki alipokuwa Top Band, alipitia magumu ambayo ndiyo yamemjenga.
Ommy Dimpoz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, na kusema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sipendi Kuzungumzia Mahusiano Yangu Kwenye Radio – Nuh Mziwanda

Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa “Jike Shupa” amesema kwa sasa hapendi kuongelea mahusiano yake kwenye radio... thumbnail 1 summary
Msanii Nuh Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa “Jike Shupa” amesema kwa sasa hapendi kuongelea mahusiano yake kwenye radio maAna inafanya watu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sijali Mpenzi Wangu Baraka Da Prince Ametoka na Wangapi Hapa Nahisi Nimefika! -NAJMA

Mwanamuziki Najma Dattan ‘Naj’ ameibuka na kusema kuwa kwa msanii mwenzake Baraka Da Prince amefika wala hajali ametoka na wanawake wangapi... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki Najma Dattan ‘Naj’ ameibuka na kusema kuwa kwa msanii mwenzake Baraka Da Prince amefika wala hajali ametoka na wanawake wangapi kwa sababu hata yeye ana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nikiwa Karibu na BEYONCE Nageuka Bubu -DJ Khaled Atoa ya Moyoni

Mkali huyo anazunguka na Queen Bey kwenye ziara yake ya Formation.Ameliambia gazeti la The New York Times kuwa heshima aliyonayo kwa Bey ... thumbnail 1 summary
Mkali huyo anazunguka na Queen Bey kwenye ziara yake ya Formation.Ameliambia gazeti la The New York Times kuwa heshima aliyonayo kwa Bey ni kubwa mno kiasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CARLO ANCELOTTI AZICHONGANISHA CHELSEA, LIVERPOOL

Meneja mpya wa klabu bingwa nchini Ujerumani, FC Bayern Munich, Carlo Ancelotti amekubali kumuweka sokoni kiungo mshambuliaji Mario Gotze... thumbnail 1 summary
Meneja mpya wa klabu bingwa nchini Ujerumani, FC Bayern Munich, Carlo Ancelotti amekubali kumuweka sokoni kiungo mshambuliaji Mario Gotze kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mashine "Iliyotumbuliwa" na JPM Uwanja wa Ndege Imepona na Inafanya kazi Kwa Ufasaha

Hatimaye mashine iliyotembelewa na Rais JPM jana na kukutwa ikiwa mbovu au haifanyi kazi kwa ufanisi sasa inapiga mzigo kama kawaida na iki... thumbnail 1 summary
Hatimaye mashine iliyotembelewa na Rais JPM jana na kukutwa ikiwa mbovu au haifanyi kazi kwa ufanisi sasa inapiga mzigo kama kawaida na ikiwa chini ya uangalizi wa Maafisa Usalama wa Mamalaka ya Viwanja vya Ndege,Polisi na Afisa wa TRA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MESUT OZIL AMFUNDISHA WENGER NAMNA YA KUTUMIA PESA

Kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal ya England, Mesut Mustafa Ozil, yu mbioni kusaini mkataba mpya ambao utam... thumbnail 1 summary
Kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ujerumani na klabu ya Arsenal ya England, Mesut Mustafa Ozil, yu mbioni kusaini mkataba mpya ambao utamuwezesha kulipwa mshahara wa Pauni laki mbili (200,000) kwa juma.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAE MADEE AFUNGUKA ISHU YA KUFUMANIWA NA SHILOLE

Msanii wa muzuki wa Bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpen... thumbnail 1 summary
Msanii wa muzuki wa Bongo fleva Nuh Mziwanda ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Shilole alisema kuwa aliumia alipomfumania Madee na mpenzi wake huyo wa zamani katika sehemu ambayo si ya wazi yaani chumbani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lady Jay Dee Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama, Gadner Atakiwa Kuomba Msamaha Mbele ya Umma.

Lady Jay Dee Sasa Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama..Amtaka Gadner Kuomba Msamaha Mbele ya Umma la sivyo hatua za kumpeleka Mahaka... thumbnail 1 summary
Lady Jay Dee Sasa Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama..Amtaka Gadner Kuomba Msamaha Mbele ya Umma la sivyo hatua za kumpeleka Mahakamani zitaendelea, Soma

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Gigy Money Afnguka "Siwezi Kumtaja Mchumba Wangu, Wachumba Wengine Wataniogopa"

Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana mpenzi. Gigy ni mmoja kati ya watu walio tayari kujilipua mitandao... thumbnail 1 summary
Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana mpenzi.
Gigy ni mmoja kati ya watu walio tayari kujilipua mitandaoni kwa tukio lolote bila kujali.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kumbe Mrembo Anayedaiwa Kutembea na Diamond Ni Mwanafunzi.

BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ k... thumbnail 1 summary
BINTI anayedaiwa kubanjuka kimalovee na staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayejulikana kwa jina la Irene Hilaly ‘Lynn’ kumbe ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa Michael Jackson Aanza Kufuata Nyayo za Baba Yake, Ona Hapa

Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayo... thumbnail 1 summary
Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayomuonyesha akiwa ametoboa ulimi na kuweka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Vipi Tena ? Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Wabambwa Wazi Wazi, Ipo Hapa

LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza ha... thumbnail 1 summary
LICHA ya tetesi kuzagaa kuwa amerudiana na mpenzi wake, Idris Sultan, mtoto mzuri Bongo Muvi, Wema Sepetu kwa mara nyingine ametengeneza habari, amedaiwa bado anaendeleza uhusiano wa siri na staa wa Bongo Fleva, Omar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hat-trick ya Suarez yaipelekea Barcelona hii furaha..

May 14 2016 kuliendelea michezo kadhaa katika ligi ya Spain Laliga ambapo michezo miwili yakuamua nani atakuwa mshindi wa kombe hilo kwa msi... thumbnail 1 summary

May 14 2016 kuliendelea michezo kadhaa katika ligi ya Spain Laliga ambapo michezo miwili yakuamua nani atakuwa mshindi wa kombe hilo kwa msimu wa 2015/2016 ilichezwa masaa sawa, Granada walikuwa wenyeji wa Barcelona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Orodha ya wachezaji wanaongoza kwa magoli La liga na European Leagues…

Kama ulikuwa ufahamu list ya wachezaji wanaongoza kwa magoli katika Ligi ya La Liga na Eurpoean Ligi imetoka, idadi ya Michezo waliocheza... thumbnail 1 summary
Kama ulikuwa ufahamu list ya wachezaji wanaongoza kwa magoli katika Ligi ya La Liga na Eurpoean Ligi imetoka, idadi ya Michezo waliocheza na idadi ya magoli waliyoyafunga,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wachezaji wa Yanga walivyokabidhiwa Kombe lao wakiwa na familia zao May 14 2016

Klabu ya Dar es Salaam Younga Africans May 14 2016 ilikabidhiwa Kombe lake la ushindi wa Ligi Kuu Tanzania msimu wa 2015/2016, baada ya k... thumbnail 1 summary
Klabu ya Dar es Salaam Younga Africans May 14 2016 ilikabidhiwa Kombe lake la ushindi wa Ligi Kuu Tanzania msimu wa 2015/2016, baada ya kumaliza mchezo wake

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"Maisha Akili Vingine Mbwembwe Tu" – Dogo Janja

Dogo Janja amewataka vijana kujituma katika nafasi zao za kazi ili kukuza vipato vyao huku akidai maisha ni akili vingine ni mbwembwe. ... thumbnail 1 summary
Dogo Janja amewataka vijana kujituma katika nafasi zao za kazi ili kukuza vipato vyao huku akidai maisha ni akili vingine ni mbwembwe.
Akizungumza na Bongo5 Jumamosi hii, Dogo Janja amesema ukiwa na akili na ni mtu wa kujiongeza ni rahisi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: