May 15, 2016

Mtoto wa Michael Jackson Aanza Kufuata Nyayo za Baba Yake, Ona Hapa

Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayo... thumbnail 1 summary
Hatimaye mtoto wa Michael Jackson, Pris Jackson (18) ameanza kufuata nyayo za baba yake kwa kuanza kutoboa ulimi. Paris amepost picha inayomuonyesha akiwa ametoboa ulimi na kuweka kipini na kuandika: “almost like ring-toss. but with noodles and needles.”

Miaka kadhaa nyuma kabla ya kufariki, Michael Jackson aliwahi kujibadili muonekano wake wa ngozi na kuzua maswali mengi kwa mashabiki duniani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments