August 17, 2016

PICHA ZA WATOTO WA MASTAA WA BONGO

Kila mtoto anapozaliwa huanza kumuangalia mzazi wake kama ni role model wake, lakini baadaye wengi huanza kubadili mawazo yao. Mastaa... thumbnail 1 summary

Kila mtoto anapozaliwa huanza kumuangalia mzazi wake kama ni role model wake, lakini baadaye wengi huanza kubadili mawazo yao.
Mastaa wa Bongo wameanza kuwatengenezea mazingira watoto wao ya kutembelea nyota za wazazi wao ili watengeneze hela kuanzia sasa mpaka hapo baadaye.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kundi la Original Comedy Matatani Kwa Kuvaa Sare za Jeshi la Polisi Kwenye Sherehe ya Masanja Mkandamizaji

katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofana... thumbnail 1 summary
katika siku za hivi karibuni, kumejitokeza tabia kwa baadhi ya watu wakiwemo wasanii watu wengine mmoja mmoja kutumia mavazi yanayofanana na sare za Majeshi ya Ulinzi na usalama hapa nchini likiwemo Jeshi la Polisi katika shughuli zao za kisanii au katika kazi mbalimbali,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Marufuku kutumia mafuta ya Transfoma kukaangia Chipsi - Profesa Muhongo

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kut... thumbnail 1 summary
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amepiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa ajili ya kukaangia chips na kutengeneza mikorogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mradi wa kuwaandikia watu nyimbo unanifanya niishi bila stress – Linex

Msanii wa muziki, Linex Sunday Mteja amesema mradi wake wa kuwaandikia watu nyimbo ndiyo mradi pekee kwenye muziki wake ambao unampatia pes... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki, Linex Sunday Mteja amesema mradi wake wa kuwaandikia watu nyimbo ndiyo mradi pekee kwenye muziki wake ambao unampatia pesa za uhakika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Manji ajiuzulu Yanga, asitisha mpango wa kuikodi

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ametangaza kujiuzulu kwenye nafasi yake hiyo ndani ya klabu hiyo Maamuzi hayo ya kushtukiza ya mwenyekit... thumbnail 1 summary
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ametangaza kujiuzulu kwenye nafasi yake hiyo ndani ya klabu hiyo
Maamuzi hayo ya kushtukiza ya mwenyekiti huyo yamekuja ikiwa ni siku

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mzee Yusuf kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji baada ya kuachana na muziki

Baada ya hivi karibuni Mzee Yusuf kutangaza kuachana na kufanya muziki, ameweka wazi kuwa kilimo na ufugaji ndiyo kimbilio lake. thumbnail 1 summary
Baada ya hivi karibuni Mzee Yusuf kutangaza kuachana na kufanya muziki, ameweka wazi kuwa kilimo na ufugaji ndiyo kimbilio lake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Harmonize: Nivae dela ndio mseme simkopi Diamond?

Shutuma kuwa amekuwa akimuiga bosi wake Diamond, zimemchosha Harmonize na sasa ameamua kujibu. Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikish... thumbnail 1 summary
Shutuma kuwa amekuwa akimuiga bosi wake Diamond, zimemchosha Harmonize na sasa ameamua kujibu.
Baada ya video ya wimbo Inde alioshirikishwa na Dully Sykes kutoka, mashabiki ndio wamezidi kuendelea kusisitiza kuwa msanii huyo anamuiga kwa kiasi kikubwa Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nay wa Mitego adai Mr Ttouch anamchukulia kama mtoto aliyefikia umri wa kuondoka nyumbani

Rapper Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumza madai ya kugombana na kuachana na mtayarishaji wake mahiri wa studio yake ya Free Nation, Mr ... thumbnail 1 summary
Rapper Nay wa Mitego amefunguka na kuzungumza madai ya kugombana na kuachana na mtayarishaji wake mahiri wa studio yake ya Free Nation, Mr Ttouch.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Justin Beiber’s and Selena Gomez Instagram feud

All apologetic songs dedicated to his ex Selena seem to be pointless after all. Justin Bieber feud with Selena only because of a Girl! ... thumbnail 1 summary
All apologetic songs dedicated to his ex Selena seem to be pointless after all.
Justin Bieber feud with Selena only because of a Girl! Sofia Richie who is

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimeshakuwa sasa, kiukweli nina kiu ya mume – Johari

Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Johari Chagula amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa ana kiu yakumpata mume sahihi ambaye ataingia naye kwenye maisha ya ndoa.
Johari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni muda wa kuisubiri P-Square mpya

Hatimaye maombi na dua za mashabiki wa kundi la P-Square yamekamilika baada ya ujumbe wa Paul Okoye kuonyesha kurudi upya kwa kundi hilo. thumbnail 1 summary
Hatimaye maombi na dua za mashabiki wa kundi la P-Square yamekamilika baada ya ujumbe wa Paul Okoye kuonyesha kurudi upya kwa kundi hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ONGEZA UREMBO WA NGOZI KWA KUTUMIA CHUMVI

\ Je, unafahamu kuwa chumvi inaweza kutumika kama scrub na kukuacha ukiwa na ngozi nyororo na ya kuvutia? thumbnail 1 summary
\Je, unafahamu kuwa chumvi inaweza kutumika kama scrub na kukuacha ukiwa na ngozi nyororo na ya kuvutia?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Dully Sykes adai awali alipanga kumshirikisha Diamond kwenye Inde

Dully Sykes amedai kuwa awali alipanga kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake Inde aliofanya na msanii wa WCB, Harmonize. thumbnail 1 summary
Dully Sykes amedai kuwa awali alipanga kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake Inde aliofanya na msanii wa WCB, Harmonize.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Obama kukamilisha ahadi ya kulifunga gereza la Guantanamo Bay

Marekani imetangaza kuwahamisha wafungwa 15 waliokuwa kwenye gereza la Guantanamo Bay nchini Cuba na kupelekwa Emirates. thumbnail 1 summary
Marekani imetangaza kuwahamisha wafungwa 15 waliokuwa kwenye gereza la Guantanamo Bay nchini Cuba na kupelekwa Emirates.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wizkid kutumbuiza kwenye Fiesta ya Mwanza Jumamosi hii

Staa wa Nigeria, Wizkid, amethibitishwa kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii. Clouds FM wamethibitisha ... thumbnail 1 summary
Staa wa Nigeria, Wizkid, amethibitishwa kuwa atatumbuiza kwenye show ya Fiesta, Mwanza mwishoni mwa wiki hii.
Clouds FM wamethibitisha kumdondosha hitmaker huyo wa ‘Shabba’ Jumamosi, August 20.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAFIKI WA KIKE WA MCHUMBA WANGU ANA SHIDA..JE NIMSAIDIE?

Waadau habari za wkend.... jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsa... thumbnail 1 summary
Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hizi ni nyimbo za mastaa wakubwa zilizoandikwa na Drake

Drake ni mmoja kati ya rapper wenye uwezo mkubwa duniani japo mara kadhaa baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa wakimkejeli kwa madai kuwa h... thumbnail 1 summary
Drake ni mmoja kati ya rapper wenye uwezo mkubwa duniani japo mara kadhaa baadhi ya wasanii wenzake wamekuwa wakimkejeli kwa madai kuwa hawezi kuandika mashairi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lukas Podolski atangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa Ujerumani

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ujerumani na klabu ya Galatasaray Lukas Podolski ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu yake ya taifa. thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ujerumani na klabu ya Galatasaray Lukas Podolski ametangaza rasmi kustaafu kuichezea timu yake ya taifa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madada wa The Kardashians wakanusha kauli ya The Game kuwa ‘alipita’ na 3 kati yao

Madada wa The Kardashians wanadai kuwa rapper The Game anadanganya anaposema kuwa amewahi kulala na watatu kati yao kwenye wimbo wake mpya,... thumbnail 1 summary
Madada wa The Kardashians wanadai kuwa rapper The Game anadanganya anaposema kuwa amewahi kulala na watatu kati yao kwenye wimbo wake mpya, Sauce.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

August 16, 2016

Olimpiki: David Rudisha wa Kenya ashinda medali ya dhahabu kwenya riadha

Mwanariadha kutoka nchini Kenya, David Rudisha amefanikiwa kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Olimpiki ya mita 800 kwa kutum... thumbnail 1 summary
Mwanariadha kutoka nchini Kenya, David Rudisha amefanikiwa kushinda medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Olimpiki ya mita 800 kwa kutumia muda wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kisa kusakamwa na Mashabiki: Justin Bieber aifuta akaunti yake ya Instagram

Justin Bieber alitishia kuiweka akaunti yake ya Instagram private kama mashabiki wake hawataacha kumshambulia mpenzi wake, Sofia Richie. thumbnail 1 summary
Justin Bieber alitishia kuiweka akaunti yake ya Instagram private kama mashabiki wake hawataacha kumshambulia mpenzi wake, Sofia Richie.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RC Paul Makonda Kuwajengea BAKWATA Ofisi ya Kisasa..Zitakuwa Hivi

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)... thumbnail 1 summary
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekabidhi ramani ya jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), ikiwa ni ahadi ya kuwajengea jengo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Idris Sultan na Wema Sepetu wazinguana tena

Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena. thumbnail 1 summary
Idris Sultan na Wema Sepetu wamezinguana kwa mara nyingine tena.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mbunge Saed Kubenea Ajisalimisha Polisi na Kuhojiwa kwa Masaa Mawili..

SAED Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo jana alijisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuhojiwa kabla ya kupewa... thumbnail 1 summary
SAED Kubenea Mbunge wa Jimbo la Ubungo jana alijisalimisha Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam na kuhojiwa kabla ya kupewa dhamana kufuatia tuhuma za kuandika makala inayodaiwa kuwa ya uchochezi kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mastaa wa Bongo na Kenya wanavyohaha na kiki za ndoa

Usanii unaweza ukawa ni mgumu mno kwakuwa wakati mwingine wasanii hujikuta wakifanya vitu ambavyo hawakutarajia kuvifanya kwa kuwaambia m... thumbnail 1 summary
Usanii unaweza ukawa ni mgumu mno kwakuwa wakati mwingine wasanii hujikuta wakifanya vitu ambavyo hawakutarajia kuvifanya kwa kuwaambia mashabiki wao vitu vya uongo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Olimpiki: Mchina amchumbia mpenzi wake akipokea medali (Picha)

Muogeleaji wa Kichina He Zi baada ya kushinda na pokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki ... thumbnail 1 summary
Muogeleaji wa Kichina He Zi baada ya kushinda na pokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Peter Msechu afunguka kuhusu ujumbe wa tuhuma wa ATB

Peter Msechu amefunguka juu ya tuhuma za msanii mwenzake AT aliyedai kumzungumzia juu ya wembamba wake. thumbnail 1 summary
Peter Msechu amefunguka juu ya tuhuma za msanii mwenzake AT aliyedai kumzungumzia juu ya wembamba wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndege za ATCL zatarajiwa kuingia nchini mwezi ujao

Shirika la ndege la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kuingiza nchini ndege zake mpya mbili mwishoni mwa mwezi ujao. thumbnail 1 summary
Shirika la ndege la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kuingiza nchini ndege zake mpya mbili mwishoni mwa mwezi ujao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Jaydee, Alikiba, Juma Nature, Snura wapamba tamasha la Serebuka

Lady Jaydee, Alikiba, Snura, Juma Nature ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza mbele ya mamia ya mashabiki wa muziki jijini Dar es Salaam... thumbnail 1 summary
Lady Jaydee, Alikiba, Snura, Juma Nature ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza mbele ya mamia ya mashabiki wa muziki jijini Dar es Salaam, Jumapili hii kwenye tamasha la Serebuka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

August 15, 2016

MFAHAMU ANAYEIPA MBINU CHADEMA ZA KUITIKISA SERIKALI NA CCM..!!!

Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia... thumbnail 1 summary
Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia anayebuni na kuratibu mipango hiyo. 

Mbinu tofauti zilizotumika wakati wa Uchaguzi Mkuu zilizofanya wapinzani waweke ushindani wa kihistoria, mbinu zinazotumika wakati likitokea sakata lolote bungeni na mkakati uliotangazwa hivi karibuni wa kupambana na kile kinachodaiwa kuwa ni ukandamizaji wa demokrasia na kupinga ukiukwaji wa sheria, ni mambo yanayokifanya chama hicho kiendelee kuwa midomoni mwa wananchi.

Si mwenyekiti Freeman Mbowe, mwanasheria mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu wala kiongozi mwingine yeyote anayebuni mipango hiyo peke yake bila ya kumshirikisha ‘mchawi’ huyo.

Ni John Mrema; yule kada aliyekuwa anaendesha mikutano yote ya kampeni za urais za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana. Ndiye mchawi wa mikakati ya Chadema kwa sasa ndani na nje ya Bunge.
Mrema ni kada wa Chadema ambaye alikuwa meneja wa kampeni za urais za Lowassa, ambayo iliundwa na CUF, NCCR-Mageuzi, NLD na chama hicho kikuu cha upinzani nchini.

Ndani ya Chadema, Mrema sasa ni mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano, uenezi na mambo ya nje na kabla ya kupewa cheo hicho, alikuwa mkurugenzi wa masuala ya Bunge na Halmashauri.

“Mimi si mchawi, lakini habari za Chadema hazikauki kwenye mitandao na kwenye vyombo vya habari. Nataka muende wenyewe mkafanye utafiti muone jinsi Chadema inavyotawala kwenye mitandao ya kijamii,” alisema Mrema katika mahojiano na Mwananchi yaliyofanyika Ijumaa iliyopita.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mchezaji wa zamani wa Aston Villa, Dalian Atkinson auawa na polisi

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Dalian Atkinson thumbnail 1 summary
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Dalian Atkinson

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hanscana atemana na Wanene Entertainment

Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue studio ... thumbnail 1 summary
Muongozaji mahiri wa video nchini, Hanscana ametangaza kuacha na kampuni ya Wanene Entertainment ikiwa ni wiki chache toka wazindue studio mpya na zakisasa za kampuni hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya betri kwenye moyo, JKCI yafanya upasuaji mwingine wa kihistoria

Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 15 2016 ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha thumbnail 1 summary
Moja ya habari kubwa iliyoandikwa kwenye magazeti ya August 15 2016 ni hii kutoka gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown amgalagaza ‘baby mama’ mahakamani

Chris Brown anasherehekea ushindi baada ya kumlagaza mama wa binti yake Royalty mahakamani. Nia Guzman alikuwa akitaka apewe haki ya kuish... thumbnail 1 summary
Chris Brown anasherehekea ushindi baada ya kumlagaza mama wa binti yake Royalty mahakamani.



Nia Guzman alikuwa akitaka apewe haki ya kuishi na mwanae muda wote, ombi lililokataliwa. Pia alitaka Chris awe na uangalizi awapo na mtoto wao, ombi lililokataliwa, kwa mujibu wa TMZ.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa za kifo cha Sarafina si za kweli

Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya h... thumbnail 1 summary
Tetesi za kifo cha muigizaji maarufu wa Afrika Kusini, Leleti Khumalo maarufu kwa jina la Sarafina si za kweli kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Octopizzo shares sweet love message to his wife

octopizo has been having a lot of controversies with his children and wife but it doesn’t stop him from being the best father. ... thumbnail 1 summary


octopizo has been having a lot of controversies with his children and wife but it doesn’t stop him from being the best father.


So it’s not only Barakah the Prince, whose posting about his

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MFAHAMU ANAYEIPA MBINU CHADEMA ZA KUITIKISA SERIKALI NA CCM..!!!

Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya p... thumbnail 1 summary


Kama Chadema wana mikakati inayoisumbua CCM; inayoisumbua Serikali au inayovisumbua vyama vingine vya siasa, basi kuna mtu nyuma ya pazia anayebuni na kuratibu mipango hiyo. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM WAKIRI KUPELEKWA PUTA NA UKAWA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU 2015..!!!

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa katika chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa nchini uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni mgumu katika... thumbnail 1 summary
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa katika chaguzi zote zilizowahi kufanyika hapa nchini uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni mgumu katika michakato yake yote hadi kupatikana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Olimpiki: Brazil yaingia nusu fainali kwenye soka la wanaume

Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0. thumbnail 1 summary
Timu ya soka ya wanaume ya Brazil, imeingia nusu fainali ya michuano ya Olimpiki baada ya kuwachapa Colombia, 2-0.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kauli kuwa Obama ni mwanzilishi wa ISIS yamtokea puani Trump

Donald Trump anazidi kukipa wakati mgumu chama chake cha Republican kwa kauli zake tata. Hivi karibuni mgombea huyo wa urais wa Marekani, thumbnail 1 summary
Donald Trump anazidi kukipa wakati mgumu chama chake cha Republican kwa kauli zake tata.
Hivi karibuni mgombea huyo wa urais wa Marekani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliyekuwa Rais wa pili wa Z’bar Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

Aliyekuwa rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya mwaka 1972 hadi 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo 14 August 201... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa rais wa pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kati ya mwaka 1972 hadi 1984, Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia leo 14 August 2016 mchana nyumbani kwake mji mwema

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond ashirikishwa na staa wa Ivory Coast, Serge Beynaud

Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo. thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz amegeuka kuwa msanii anayetafutwa zaidi na wasanii wa nchi mbalimbali Afrika kwaajili ya collabo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

August 14, 2016

KINYWAJI HIKI CHA ASILI CHAGUNDULIKA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME,TUMIA KILA SIKU ASUBUHI NA JIONI,SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE

Wanaume ambao wamekuwa wakitumia kinyaji hiki wameripotiwa wakiwa na maumbile ya kiume yenye nguvu zaidi kuliko wasiotumia,tumia kinywaji h... thumbnail 1 summary
Wanaume ambao wamekuwa wakitumia kinyaji hiki wameripotiwa wakiwa na maumbile ya kiume yenye nguvu zaidi kuliko wasiotumia,tumia kinywaji hiki uone mabadiliko makubwa katika maisha yako ya kimapenzi pia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: