September 23, 2014

Safari za Treni Tanzania kuongezeka.

  Dr. Harryson Mwakyembe ni miongoni mwa Mawaziri ambao wanazungumziwa sana na vijana pamoja na Watanzania wengine kwenye marika mbali... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-09-23 at 9.43.10 AM 
Dr. Harryson Mwakyembe ni miongoni mwa Mawaziri ambao wanazungumziwa sana na vijana pamoja na Watanzania wengine kwenye marika mbalimbali kutokana na jinsi anavyochapa mzigo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Goodnews: Huyu ndio msanii staa wa kimataifa anaekuja Fiesta Dar 2014.

Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-23 at 3.40.20 PM
Wakati Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA ZA UTUPU ZA RIHANNA, GABRIELLE UNION NA KIM KARDASHIAN ZAVUJA

Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja ... thumbnail 1 summary


Rihanna, Gabrielle Union na Kim Kardashian wameingia rasmi kwenye msululu wa mastaa wa Marekani ambao picha zao za utupu zimevuja mtandaoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"NIMEKOMA KUTUMIA MKOROGO"..SHILOLE AFUNGUKA

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma ku... thumbnail 1 summary

MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona, amekoma kutumia mkorogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKATE MWEGELO,IRENE UWOYA,ADAM KUAMBIANA NA JB WAKUTANA KWENYE FILAMU YA MIKONO SALAMA, JIONEE HAPA

Tarehe 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza... thumbnail 1 summary

Tarehe 25.09.2014 Filamu kali na yenye kusisimua "MIKONO SALAMA" Itaingia kwenye Soko la Filamu za kitanzania na kuanza kuuzwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Big Brother Africa Wamemtaja Mshiriki wa Pili Ambae Ataiwakilisha Tanzania Katika Shindano Hilo

Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as eccentric, lov... thumbnail 1 summary

Bachelor of Arts & Social Sciences graduate Laveda was born in Dar Es Salaam. She’s single and describes herself as eccentric, loving, caring, simple and fun.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA HOT PICHA BANANA ZORRO AKIWA AMEPOZI NA MTOTO WAKE NOMA SANA JAMAA KATOA KOPI

Huyu ni SON wa Banana Zahir Ally Zorro, mara ya kwanza nilivyomuona pale uwanjani nilihisi ni katoto ka kike kumbe NI WA KIUME.. nafk... thumbnail 1 summary


Huyu ni SON wa Banana Zahir Ally Zorro, mara ya kwanza nilivyomuona pale uwanjani nilihisi ni katoto ka kike kumbe NI WA KIUME.. nafkiri hata wewe ukimuangalia tu utakubaliana na mimi.. kamekaa kama kasichana kabisa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MMMH KWA POZI HIZI NA VINGUO HIVI VYA PAULA MTOTO WA KAJALA, DZAINI KAMA ANAINGIA BONGOMOVIE RASMI

Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo fl... thumbnail 1 summary



Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo flava, wengi wamekuwa wakijiuliza maswali hayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NI KWELI MAYAI HUSABABISHA UGONJWA WA MOYO?

UTAFITI  uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni unaonesha kuwa katika miaka ya 1950, wastani wa ulaji wa mayai ya kuku ulikuwa mayai 37... thumbnail 1 summary
UTAFITI uliofanywa nchini Marekani hivi karibuni unaonesha kuwa katika miaka ya 1950, wastani wa ulaji wa mayai ya kuku ulikuwa mayai 375 kwa mtu mmoja, lakini hadi kufikia mwaka 2007, kiwango hicho kimepungua hadi kufikia mayai 250 tu kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KATUNI

thumbnail 1 summary

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BI. MOZA ATAMANI MWISHO UFIKE HARAKA

Soma hii! Kikongwe mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa (anakadiria ana miaka zaidi 100), mkazi wa Tandale, Kwatumbo jijini Dar... thumbnail 1 summary
Soma hii! Kikongwe mmoja aliyefahamika kwa jina la Moza Nyanongwa (anakadiria ana miaka zaidi 100), mkazi wa Tandale, Kwatumbo jijini Dar amefunguka kuwa anatamani mwisho wa dunia ufike mapema kwa kudai kuchoshwa na mmomonyoko wa maadili unaoendelea nchini na dunia nzima kwa jumla.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MREMBO ALILIA MILIONI TANO ILI AWE KAMA ZAMANI

MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababish... thumbnail 1 summary
MSICHANA Zuhuru Juma (27) mkazi wa Temeke jijini Dar, ambaye mguu wake mmoja umevimba kiasi cha kufikisha uzito wa kilo 75 na kumsababishia maumivu makali, anahitaji kiasi cha shilingi 5,000,000  ili aweze kufanyiwa upasuaji nchini India.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ASKOFU WA KATOLIKI AELEZA NJIA MPYA KUZUIA KATIBA

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi. MA... thumbnail 1 summary

Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi.
MAKAMU wa Rais Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Severin Niwemugizi, amesema maoni yaliyotolewa na Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) juu ya Bunge Maalumu la Katiba, hayajatekelezwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: