February 28, 2015

TEAM WEMA WAMLIPUA ZARI THE LADY BOSS KWA KURUDIA NGUO MOJA KILA WAKATI

Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies Wamemlipua Zari kwa Kusema Anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti ....Jiso... thumbnail 1 summary

Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies Wamemlipua Zari kwa Kusema Anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti ....Jisomee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RAIS WA ZIMBABWE ATAFANYA SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 91

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe. Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, kesho atafanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka 91 kwa kuchinja temb... thumbnail 1 summary

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe.
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, kesho atafanya sherehe kubwa ya kutimiza miaka 91 kwa kuchinja tembo wawili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMZIKI KUTOKA THT 'RECHO KIZUNGU ZUNGU.. APIGWA MWELEKA UKUMBINI MPAKA CHINI

MREMBO  kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’, amepiga mwereka wa aina yake baada ya kuteleza ukumbini, Risa... thumbnail 1 summary

MREMBO kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat ‘Recho’, amepiga mwereka wa aina yake baada ya kuteleza ukumbini, Risasi Jumamosi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

February 13, 2015

Mwanasiasa anaepinga mapenzi ya jinsia moja alivyohusishwa kwenye picha na Wahusika.

Wakati idadi kubwa ya watu duniani ikiendelea kupinga mapenzi ya jinsia moja ambayo yamehalalishwa na baadhi ya nchi kubwa duniani, Russi... thumbnail 1 summary
Wakati idadi kubwa ya watu duniani ikiendelea kupinga mapenzi ya jinsia moja ambayo yamehalalishwa na baadhi ya nchi kubwa duniani, Russia limetolewa hili jingine jipya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY: MCHUMBA NINAYE ILA NDOA SIYO LEO

Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru a... thumbnail 1 summary

Mtangazaji aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul, ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kusema kuwa anashukuru amepata mchumba ila suala la ndoa siyo la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya wafanyakazi wake kuhisi amefilisika, BOSS huyu kaona awaoneshe jeuri ya fedha

Kuna msemo unaosema dawa ya maneno ni vitendo, mwekezaji mmoja ndani ya China aliamua kujibu kwa vitendo story za udaku zilizokuwa zimeenea... thumbnail 1 summary
Kuna msemo unaosema dawa ya maneno ni vitendo, mwekezaji mmoja ndani ya China aliamua kujibu kwa vitendo story za udaku zilizokuwa zimeenea mtaani kwamba jamaa huyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA

Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mis... thumbnail 1 summary

Mwanadada anayeendesha maisha yake kwa kuuza sura kwenye filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ni muda muafaka wa kufanya mishemishe za kumtafuta

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NDOA YA JACQUELINE PENTZEL NA GADNA DIBIBI IMEVUNJIKA!

NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina ... thumbnail 1 summary


NDOA iliyodumu kwa miaka miwili na nusu kati ya mwigizaji wa filamu Jacqueline Pentzel na Gadna Dibibi imevunjika, Ijumaa lina mkanda kamili.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIONGOZI WA KIKUNDI CHA KIGAIDI KINACHOUA POLISI NA KUIBA SILAHA NI HUYU

HATIMAYE  kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia ga... thumbnail 1 summary

HATIMAYE kuvamiwa kwa vituo vya polisi na kuporwa silaha huku askari wake wakiuawa kikatili kumejulikana kunafanywa na nani kufuatia gazeti hili kunasa mkanda wa video wa mtu mmoja anayejiita Kaisi Bin Abdullah

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MARIAH CAREY AFANYA KUFURU ATUMIA ZAIDI YA MILIONI 41 KUWABURUDISHA MBWA WAKE

Utafanya nini ukipewa kiasi cha Milioni 41 za kitanzania muda huu? Bila shaka utapanga mengi na wazo kubwa likiwa kuuaga umasikini kwa mu... thumbnail 1 summary
Utafanya nini ukipewa kiasi cha Milioni 41 za kitanzania muda huu? Bila shaka utapanga mengi na wazo kubwa likiwa kuuaga umasikini kwa muda kama hukuwahi kuzishika.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIO MWANAUME ANAYE PATA PERIOD KILA MWENZI KAMA MWANAMKE, MADAKTARI WASEMA ANA KIZAZI

Mfanyabiashara mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya k... thumbnail 1 summary


Mfanyabiashara mmoja huku Uk Amejikuta kipigwa na Butwaa Baada ya Madaktari kumwambia Kuwa haumwi Cancer Kama alivyokuwa Akifiria Baada ya kila Mara Kupata Haja kubwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

February 12, 2015

7 Ways to Find Your Love Before Valentine’s Day

If you are one of those people who can’t stand loneliness and the thought of Valentine’s Day makes you feel sad or discouraged, you may want... thumbnail 1 summary

If you are one of those people who can’t stand loneliness and the thought of Valentine’s Day makes you feel sad or discouraged, you may want to know some quick ways

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAUGHTY MARRIED WOMAN BU-STED BY HER GATEMAN T0UCHING HERSELF PASSIONATELY....

A Gate man was going about his job when he decided to go and ask madam for her car keys so that he can wash her car and make it ready by the... thumbnail 1 summary

A Gate man was going about his job when he decided to go and ask madam for her car keys so that he can wash her car and make it ready by the time madam is about to go out,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZIFAHAMU SEHEMU ZINAZOMPA UTAMU MWANAMKE HAPA...

Kwa bahati nzuri wanawake wana  maeneo 5 ambayo huwawezesha  kusikia utamu wa kufanya ngono tofauti  na wanaume.  thumbnail 1 summary
Kwa bahati nzuri wanawake wana 
maeneo 5 ambayo huwawezesha 
kusikia utamu wa kufanya ngono tofauti 
na wanaume. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KWENYE SHEREHE YA RIHANNA AIBU TUPU.

Nyota wa muziki wa Marekani Rihanna amesherehekea kutimiza miaka 22 kwa shoo toka kwa mwanamke mcheza thumbnail 1 summary




Nyota wa muziki wa Marekani Rihanna amesherehekea
kutimiza miaka 22 kwa shoo toka kwa mwanamke mcheza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE MWANAUME ALIYETUMIA ZAIDI YA PAUND 2000 KUJIBADILISHA KUFANANA NA MICHAEL JACKSON

Shabiki maarufu wa Michael Jackson ambaye alikuwa ni Mfalme wa Musiki wa Pop ambaye kwa sasa ni marehemu, ametumia zaidi ya pauni z... thumbnail 1 summary



Shabiki maarufu wa Michael Jackson ambaye alikuwa ni Mfalme wa Musiki wa Pop ambaye kwa sasa ni marehemu, ametumia zaidi ya pauni za Uingereza 2000 (sawana shilingi za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NIMETEMBEA NA MKE WA BOSS KAPATA UJAUZITO NIFANYAJE!

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu.  Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvum... thumbnail 1 summary

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu. 
Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia, kuna siku tulisafiri kwenda Mtwara kwenye biashara

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAHAU KUHUSU AL SHABABU JIONEE AL SHABABES HAWAE BWANA EHEE WANA WATOTO WA TAMUU JIONEE MWENYEWE HAWA>>

ere Are Photos Of Some Al Shababes That Will Excite Men As We Head To….!!! thumbnail 1 summary

ere Are Photos Of Some Al Shababes That Will Excite Men As We Head To….!!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UJAUZITO WA ZARI WAMCHANGANYA DIAMOND AANZA KUNUNUA MIDOLI NA VITU VYA KUCHEZEA VYA MTOTO WAO NA ZARI KABLA HAJAZALIWA

Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa thumbnail 1 summary

Kwa kile kinachoonekana kufurahia ujauzito alionao Zari, Diamond muhusika wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU: BABA YANGU NI HANDSOME!!

# Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo... thumbnail 1 summary

#
Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

February 11, 2015

CHUCHU HANSI AJITOA FAHAMU...ADAI JOHARI HAKUWAHI KUWA MPENZI WA RAY

Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamarad... thumbnail 1 summary


Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichoamuliwa na familia kuhusu hatma ya mtoto wa marehemu Whitney Houston

Zikiwa ni siku 10 tangu Bobbi Kristina apoteze fahamu na kuendelea kutumia mashine zinazomsaidia kupumua hadi sasa imeelezwa hali ya... thumbnail 1 summary


Zikiwa ni siku 10 tangu Bobbi Kristina apoteze fahamu na kuendelea kutumia mashine zinazomsaidia kupumua hadi sasa imeelezwa hali yake bado haijabadilika tangu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hapa ni Flavour kwenye video yake mpya ‘Ololufe’ Ft. Chidnma

Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama. thumbnail 1 summary
Messi iii


Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai am... thumbnail 1 summary

KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

NAY WA MITEGO USIPOJIPANGA TUTAKUPANGA!

KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Mambo vipi? Mishe zinasemaje? Binafsi mimi ni mzima wa afya, maisha... thumbnail 1 summary



KWAKO mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’. Mambo vipi? Mishe zinasemaje? Binafsi mimi ni mzima wa afya, maisha yanasonga mbele kwa kasi ya ajabu. Tunapambana!


Nimekukumbuka leo kwa barua maana kitambo kidogo hatujaonana. Nakupongeza kwa nyimbo zako maana hata wale waliosema ulibebwa na Diamond katika wimbo wa Muziki Gani, sasa hivi wanajutia kauli zao.


Wanaona walikosea maana umefyatua nyimbo zako mwenyewe na unaendelea kukimbiza mitaani.

Madhumuni ya barua hii ni kutaka kukueleza kwamba wewe ni staa hivyo unapaswa kuwa mfano wa kuigwa na kila mtu katika jamii. Hutakiwi kuteleza hata kidogo. Ukiwa wewe ndiyo kinara wa majanga, utatolewa mfano kwamba hufai kuigwa kutokana na matendo yako maovu.


Kila mmoja anatambua uwezo wako, anatambua hatua ambayo umefikia kimuziki. Watu wanatambua kwamba una mchumba ambaye una mikakati ya kufika naye mbali kwa maana ya ndoa Mungu akipenda.


Kinachoshangaza ni kwamba, inakuwaje unaonekana katika pozi za kimahaba na mwanamke mwingine? Picha zenyewe zinatia kinyaa?


Mwishoni mwa wiki iliyopita gumzo katika mitandao ya kijamii ilikuwa ni wewe na picha zako za utupu na mwanamke huyo ambaye hakuwa mchumba wako.Ndugu yangu, picha zile hazikuwa nzuri kwako. Zimekudhalilisha na hata kukuletea ugomvi kwa mchumba wako.


Kwa nini ulikubali kupiga picha za namna ile? Zilikuwa za nini? Ulikuwa na malengo gani? Hata kama mlikuwa katika ‘shooting’ ya wimbo kwa nini ulikubali kupigwa picha katika hatua ile?

Tena bora zingevujishwa na mtu mwingine, wewe mwenyewe unatajwa kuwa ndiye chanzo cha kusambaa kwa picha hizo kupitia mitandao yako ya kijamii, hivi kwenye kichwa chako uliwaza kabla ya kufanya?


Unapaswa kujiheshimu hata kama ni video ya wimbo, naamini kwa desturi zetu, kamwe huwezi kuruhusiwa kurusha video ya namna hiyo hewani. Tamaduni zetu haziruhusu, unasubiri nani akuzuie kufanya hivyo wakati wewe kama kioo cha jamii unapaswa kuwa mfano?


Una watoto sasa, ulimwengu wa sasa si ule wa zamani. Picha zako za utupu zinachapishwa magazetini, zitasambaa kwenye mitandao mbalimbali na wanao pia watajionea bila wasiwasi. Watajifunza nini kutoka kwa baba? Jibu najua unalo na haliwezi kuwa zuri kwa mtu muungwana.


Ulimwengu wa sasa, ukifanya vituko vya namna hiyo, rekodi zake zinabaki kwenye mitandao. Vizazi na vizazi vitakuja kuona hayo uliyoyafanya juzi. Badilika kaka!Ni matumaini yangu utakuwa umenielewa, kwa leo naishia hapa, naamini utafanyia kazi mawazo yangu na kubadilika.

Wasalaam,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE AWATUKANA WANAUME WANAOMPELEKEA HABARI ZAKE KWA JAMAA YAKE WA SAUZI

Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE a... thumbnail 1 summary


Kama mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya hapa mjini kumfikia jamaa yake huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea kuhatarisha penzi la MASOGANGE na huyo jamaa…MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM aliweka picha hiyo na kuandika kama unavyoona hapa!!!



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MC AMKERA WAZIRI SHEREHE YA LUIZA

MSHEHERESHAJI  wa onyesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza mwimbaji kiongozi Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 ya kuifan... thumbnail 1 summary

MSHEHERESHAJI wa onyesho la Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kumpongeza mwimbaji kiongozi Luiza Mbutu kutimiza miaka 16 ya kuifanyia kazi mfululizo bila kuhama, Sakina Lyoka, Jumamosi iliyopita alimkera

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JUX BADO UNABISHA UHUSIANO WAKO NA VANESSA

BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati... thumbnail 1 summary

BAADA ya kukataa mara kwa mara juu ya uhusiano wao wa kimapenzi, hatimaye wasanii Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ juzikati walikutwa katika mkao wa kimahaba kiasi cha kuwafanya mashabiki kujiuliza kama mkali huyo wa kibao cha Uzuri wako anaweza kuendelea kubisha.
Wabongo Fleva Juma Mussa ‘Jux’ na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ wakila ujana.
Wawili hao walikutwa wamepakatana wakati wa onyesho la kutambulisha video za wakali wa Bongo Fleva, lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Escape One, Mikocheni jijini Dar.
Vee Money alithibitisha kuwa wao ni wapenzi mbele ya umati alipokuwa stejini akiimba naye pamoja na Barnaba wimbo walioshirikiana unaojulikana kwa jina la Siri, akisema anampenda sana Jux na kuwafanya mashabiki kumshangilia kwa nguvu.
Juma Mussa ‘Jux’ akipozi.
Baada ya Vanessa kumaliza shoo yake, ukafuata wakati wa Jux ambaye alipomaliza na kurudi nyuma ya jukwaa, Vee alimpisha mvulana huyo akae kitini kisha yeye akamkalia, jambo lililotosha kuwaaminisha watu mapenzi yao.
“Njooni muone jamani Vanessa kapakatwa na Jux tena hawana hata wasiwasi wenyewe wamejiachia kama hawapo vile, watakuwa ni wapenzi tu kwa maana huwa wanaficha sana,” alisikika akisema shabiki.
Hawakuishia hapo, kwani waliendelea kuoneshana mahaba mpaka walipoondoka katika viwanja hivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MM HII NOMA SASA...DAKTARI ANASWA NA MAITI DUKANI,ADAIWA KUMPA DAWA ZIKAWA SUMU

UKANJANJA!  Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai... thumbnail 1 summary

UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PESA MBWEMBWE TU, MAPENZI YA KWELI YAPO

UZOEFU   katika maisha ni jambo zuri sana kwa sababu unakusaidia kwa mambo mengi, hasa unapojikuta katika nyakati ngumu. Mara nyingi unap... thumbnail 1 summary

UZOEFU katika maisha ni jambo zuri sana kwa sababu unakusaidia kwa mambo mengi, hasa unapojikuta katika nyakati ngumu. Mara nyingi unapojikuta ndani ya nyumba yako hakuna chakula, unafahamu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAPATOSHI BONGO MOVIE...!!!! BIFU JIPYA LUNGI, AMANDA

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni ... thumbnail 1 summary

NYOTA wa filamu kitambo, Lungi Maulanga anadaiwa kuwa katika bifu kali na mwenzake Tamrina Poshi ‘Amanda’ kwa kile kinachotajwa kuwa ni mmoja wao kumponda mwenziye akimsema kuwa anaenda nje kujiuza.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

February 10, 2015

INASHANGAZA...AAMUA KUMN'GATA ULIMI MTU ALIYEMBAKA ILI KUPELEKA USHAHIDI POLISI.

Mara ya kwanza mwanamke huyu alipatwa na tukio kama hili miaka kumi iliyopita, alipoenda kuripoti tukio hilo Polisi mtuhumiwa wa kosa ... thumbnail 1 summary

2544DA7A00000578-2936119-image-a-31_1422879888044


Mara ya kwanza mwanamke huyu alipatwa na tukio kama hili miaka kumi iliyopita, alipoenda kuripoti tukio hilo Polisi mtuhumiwa wa kosa la kumuingilia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WHAT GOES AROUND COMES AROUND...EX WA ZARI AONYESHA DALILI ZA KUMEGA WEMA SEPETU..HUKU SKENDO YA DO NA DIMPOZ IKIMTAFUNA:

Kuanzia Kulia: King Lawrence, Ivan Ssemwinga na Wema Sepetu   Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The Bosslady na aliyezaa naye wato... thumbnail 1 summary

AkU7iDYQp21pmU4TvSosatX8y7CeaatwFo9ThG-p6wUq

Kuanzia Kulia: King Lawrence, Ivan Ssemwinga na Wema Sepetu 
Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The Bosslady na aliyezaa naye watoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO

MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua thumbnail 1 summary

MPENZI wa nguli wa Muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz', Zarinah Hassan 'Zari the Boss Lady' ameamua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: