September 12, 2015

SIRI 4 MATUSI YA DIAMOND KWA DIVA

NI mtifuano! Agosti 24, mwaka huu ilikuwa siku mbaya kwa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mtangazaji anaye... thumbnail 1 summary
NI mtifuano! Agosti 24, mwaka huu ilikuwa siku mbaya kwa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au baba Tiffah na mtangazaji anayekimbiza kwa sauti tamu hewani, Loveness Malinzi ‘Diva’ kufuatia kupishana lugha ndani ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VERA SIDIKA AJIBU MAPIGO YA HUDDAH MONROE KWA KUWEKA PICHA HII IKIONYESHA CHUCHU ZAKE ZILIVYO

If these socilates are not posting nudes they are busy calling out each other online. Well it’s barely a week since Vera played therapi... thumbnail 1 summary

If these socilates are not posting nudes they are busy calling out each other online. Well it’s barely a week since Vera played therapist by asking Huddah to tone down on

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WANGU KAPATA BWANA INSTAGRAM

Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake ak... thumbnail 1 summary

Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSHTAKIWA WA MAUAJI YA WATU TISA KANISANI NCHINI MAREKANI AKAMATWA

Dylann Storm Roof baada ya kukamatwa na polisi. thumbnail 1 summary
Dylann Storm Roof baada ya kukamatwa na polisi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha Aachiwa Kwa Dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha mas... thumbnail 1 summary

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TCRA YAWAONYA CHANNEL TEN TENA KWA KUONYESHA 'LIVE'MAELEZO YA GWAJIMA DHIDI YA TUHUMA ZA DR SLAA!

Nimesikia sasa hivi kupitia Voice of America (Idhaa ya Kiswahili). TCRA waliwaonya Channel Ten kwa kuonyesha 'live' maelezo ya As... thumbnail 1 summary
Nimesikia sasa hivi kupitia Voice of America (Idhaa ya Kiswahili). TCRA waliwaonya Channel Ten kwa kuonyesha 'live' maelezo ya Askofu Gwajima akijibu tuhuma za kichochezi za Dr Slaa!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOKETI ADAI HAJAMWONA WA KUMWAMINI KIMAPENZI ZAIDI YA HUYU HAPA

LICHA ya kuzagaa kwa tetesi juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amese... thumbnail 1 summary

JOKATE (3)

LICHA ya kuzagaa kwa tetesi juu ya uhusiano wake na msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, mwanamitindo Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ amesema kutokana na kuumizwa na mapenzi mara kwa mara, kwa sasa hajaona mwanaume wa kumuamini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJIBU YA ROMA MKATOLIKI BAADA YA SINGLE YAKE KUZUILIWA KUCHEZWA KWENYE VITUO MBALI MBALI

Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop... thumbnail 1 summary
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya ilizuiliwa kwenye baadhi ya vituo vya radio nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Serena Williams apoteza ushindi kwenye mechi ya U.S Open, Drake alaumiwa

Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hopDrake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyi... thumbnail 1 summary
Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hopDrake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyingi kusambaa kuwa wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ratiba ya Sept 12 na 13 ya Ligi Kuu Tanzania, Uingereza, Hispania na Italia zipo hapa mtu wangu…

Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa, weekend ya September 12 na 13 kuna michezo za kadhaa ya Ligi Kuu mbalimbali inachezwa huku kwa ... thumbnail 1 summary
Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa, weekend ya September 12 na 13 kuna michezo za kadhaa ya Ligi Kuu mbalimbali inachezwa huku kwa Tanzania September 12 ndio siku ya kuanza kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara. Mtu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chris Brown alitaka haki zote juu ya mtoto pia, je kafanikiwa!? Mahakama imeamua haya…

Baada ya mgogoro mrefu kati ya Chris Brown na mama wa mtoto wake Nia Guzmansasa Mahakama ya Houston imetoa maamuzi na utaratibu wa jinsi ... thumbnail 1 summary
Baada ya mgogoro mrefu kati ya Chris Brown na mama wa mtoto wake Nia Guzmansasa Mahakama ya Houston imetoa maamuzi na utaratibu wa jinsi ya kukaa na mtotoRoyalty kwa wazazi hao wawili…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Taarifa kuhusu ajali iliyotokea kwenye Msikiti Mkuu Saudi Arabia…

Hii taarifa imegusa Vichwa vya Habari vya Vyombo vingi vya habari Duniani, inahusu ajali ambayo imetokea wakati watu wakiwa ndani ya Msik... thumbnail 1 summary
Hii taarifa imegusa Vichwa vya Habari vya Vyombo vingi vya habari Duniani, inahusu ajali ambayo imetokea wakati watu wakiwa ndani ya Msikiti Mtakatifu wa Mecca, Saudi Arabia ambako waumini wengi wa Dini ya Kiislamu huwa wanakwenda kwa ajili ya Hijjah.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: