January 23, 2015

KUTANA NA DONNIE ANAYETIKISA NIGERIA NZIMA KWA UMBO LAKE HUYU HAPA

Anajulikana kwa jina la Dunnie akiwa ni moja kati ya wasichana wazuri na wenye maumbo makubwa na yakuvutia kutoka Nigeria Tizama hapa pic... thumbnail 1 summary

Nigerian top Socialite wants you to see her Best Assets
Anajulikana kwa jina la Dunnie akiwa ni moja kati ya wasichana wazuri na wenye maumbo makubwa na yakuvutia kutoka Nigeria Tizama hapa picha zake 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Majonzi kwa watu wetu Saudi Arabia, wamepata msiba wa kiongozi wao

Siku ya jana January 22 tumeshuhudia Zambia wakifanya uchaguzi wa Rais baada ya Rais wao  Michael Chilufya Sata  kufariki akiwa madar... thumbnail 1 summary
486887_1280x720
Siku ya jana January 22 tumeshuhudia Zambia wakifanya uchaguzi wa Rais baada ya Rais wao Michael Chilufya Sata kufariki akiwa madarakani mwaka 2014, hiyo ilikuwa mara ya pili Zambia kupata msiba wa Rais wao akiwa madarakani, wa kwanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VITA YA MSANDO NA LE MUTUZ YAENDELEA AMPOST AKIWA KWENYE PARTY YA WANAFUNZI WA SEKONDARY

After School Bush Escape one Mtandao wa Instagram umezidi kujipatia umaarufu wa kipekee hapa Bongo kwani ndio imekuwa sehemu kuu kwa... thumbnail 1 summary

After School Bush Escape one

Mtandao wa Instagram umezidi kujipatia umaarufu wa kipekee hapa Bongo kwani ndio imekuwa sehemu kuu kwa sasa kwa mastaa na watu maarufu kurushiana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWANAMKE AKAMATWA KWA UNGA WA BIL 2 NYUMBANE KWA MBUNGE

MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatw... thumbnail 1 summary

MWANAMKE mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Doreen John Mlemba, mwenyeji wa Same mkoani Kilimanjaro, mwishoni mwa mwaka uliopita alikamatwa kwa kuhusishwa na shehena ya madawa ya kulevya aina ya Heroin, yenye thamani ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU HAPA NDIYE MSANII AMBAYE NI LAZIMA AFANYE MAPENZI KILA SIKU KATIKA MAISHA YAKE

Nollywood actress Adediwura Adesegha, who stands tall among the rising movie stars who are being tipped to take over from the established... thumbnail 1 summary

Nollywood actress Adediwura Adesegha, who stands tall among the rising movie stars who are being tipped to take over from the established acts, has been around for a while.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SKENDO CHAFU AGNES MASOGANGE ATIA AIBU SAUZ BAADA YA KUBAINIKA ANAJIUZA MTANDAONI

MIEZI michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na k... thumbnail 1 summary

MIEZI michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE ATUPIA PICHA KALI MTANDAONI AKIRINGISHIA MZIGO WAKE ULIVYO MKUBWA NA MTAMU UTAZAME HAPA.

heheheeeee!! unaweza kunambia shilole anawaza nini kichwani kwake kwa kupiga hii picha na kupost instagram thumbnail 1 summary

heheheeeee!! unaweza kunambia shilole anawaza nini kichwani kwake kwa kupiga hii picha na kupost instagram

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

RUSHWA YA NGONO YAMNASA KANJIBAI

Hii ni tuhuma nzito! Katika hali inayoonesha maadili Bongo yanagaragazwa kwa kiwango cha kutisha, mapema wiki hii jamaa mmoja mfanyabiashar... thumbnail 1 summary
Hii ni tuhuma nzito! Katika hali inayoonesha maadili Bongo yanagaragazwa kwa kiwango cha kutisha, mapema wiki hii jamaa mmoja mfanyabiashara mwenye asili ya Kihindi almaarufu Kanjibai au Ponjoro, alinaswa kitandani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KIUNO CHA DEMU WA DIAMOND CHAMCHENGUA OMMY DIMPOZ

Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdu... thumbnail 1 summary

Umbile la mwanadada aliyefahamika kwa jina moja la Avril kutoka Kenya ambaye aliwahi kudaiwa kutoka kimapenzi na Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, hivi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

IDRIS MSHINDI WA BBA AONYESHA NYUMBA YAKE ALIYONUNUA NA KUTOA UJUMBE MZITO KWA MASHABIKI WAKE

"I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no on... thumbnail 1 summary

"I have seen thousands of people through my life time, got helped and expected to do alot in return, broken and crushed with no one to pick me up. I have struggled

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKIWA UNAFANYA MAPENZI NA MPENZI WAKO, BASI USITHUBUTU KUFANYA HII STYLE NI HATARI ZAIDI

Meanwhile, the safest position is also the most traditional one One of the most common sexual positions has also been dubbed the most da... thumbnail 1 summary

Meanwhile, the safest position is also the most traditional one
One of the most common sexual positions has also been dubbed the most dangerous by a group of scientists.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WAREMBO HAWA WANANG'AA SANA KWA TV, ILA BILA MAKE-UP SASA MMH!

Kuna msemo usemao umaridadi huficha umaskini, kila mtu hupenda kujiweka aonekane poa mbele za watu.Mastaa wa kike na makeup zao kwenye ... thumbnail 1 summary


Kuna msemo usemao umaridadi huficha umaskini, kila mtu hupenda kujiweka aonekane poa mbele za watu.Mastaa wa kike na makeup zao kwenye red carpet, kwenye TV ni hatari hatari, ushawahi kuwaona wakiwa hawajatupia hivyo vitu? 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA VIDEO: MTAZAME DIAMOND AKIMSIFIA ZARI WAKATI AKIFUATILIZA WIMBO WA MR BLUE ‘PESA’

Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema ... thumbnail 1 summary


Nani alidhania kuwa Diamond ni shabiki wa wimbo wa Mr Blue ‘Pesa’? Apparently staa huyo ni shabiki wa ngoma hiyo iliyomrejesha vyema mfalme wa Mapozi nchini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ARSENAL WAMSAJILI KIUNGO KUTOKA POLAND

Arsenal wamemasajili kiungo Krystian Bielik kutoka klabu ya Legia Warsaw ya Poland kwa pauni milioni 2.4. Bielik, 17, ambaye alifanya vi... thumbnail 1 summary
Arsenal wamemasajili kiungo Krystian Bielik kutoka klabu ya Legia Warsaw ya Poland kwa pauni milioni 2.4. Bielik, 17, ambaye alifanya vipimo vya afya wiki iliyopita, alihamia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DUDE AKUBALIANA NA BEI YA TSHS. 1500 KWA FILAMU. ASEMA NDIO NJIA PEKEE YA KUPAMBANA NA UHARAMIA.

Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora be... thumbnail 1 summary

Masanii wa filamu nchini Dude, amefunguka kwa kusema kuwa kwa kuwa serikali imeshindwa kupambana na wezi wa kazi za wasanii ni bora bei ya Steps Tsh 1500 iyendelee ili kuiyokoa tasinia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha za Samatta katika majaribio CSKA Moscow na listi ya vilabu vingine vinavyomtaka

Hatimaye nyota ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe Mbwana Samatta imeanza kung’ara katika... thumbnail 1 summary

15922_870694186307442_880608052995095050_n

Hatimaye nyota ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe Mbwana Samatta imeanza kung’ara katika anga ya kimataifa ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ISIS WADAI FIDIA YA DOLA MILIONI 200 KUWAACHIA MATEKA WA JAPAN

Video ikiwaonyesha mateka wa Kijapan, Kenji Goto Jogo na Haruma Yukawa, walio katika nguo za rangi ya chungwa, wakiwa na Jihadi John an... thumbnail 1 summary

Video ikiwaonyesha mateka wa Kijapan, Kenji Goto Jogo na Haruma Yukawa, walio katika nguo za rangi ya chungwa, wakiwa na Jihadi John anayedai fidia ya Dola milioni 200 ili kuwaachia mateka hao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz ameingia tena kwenye Top 10 ya Trace TV ya Ufaransa

Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye ... thumbnail 1 summary
.
Mtu wangu wa nguvu kama ulikuwa na hamu ya kufahamu video za Afrika zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: