May 31, 2016

Ex wa Linah afunga ndoa na mrembo huyu

Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Flava Linah Sanga, Nagar aka Nagarico amefunga ndoa wiki iliyopita. Nagar pia aliwahi kuhusishwa ku... thumbnail 1 summary

Aliyekuwa mpenzi wa msanii wa Bongo Flava Linah Sanga, Nagar aka Nagarico amefunga ndoa wiki iliyopita.
Nagar pia aliwahi kuhusishwa kuwa na uhusiano na Wema Sepetu. Alifunga ndoa na mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja tu kuwa la KHADIJA na kusema hataki mambo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Mashabiki Waponda Muonekano Mpya wa Belle 9

Mwanamuziki wa Bongo Fleva hapa nchini, Belle9, amejikuta katika kupondwa na mashabiki wake wengi baada ya kuweka muonekano mwingine wa n... thumbnail 1 summary
Mwanamuziki wa Bongo Fleva hapa nchini, Belle9, amejikuta katika kupondwa na mashabiki wake wengi baada ya kuweka muonekano mwingine wa nywele zake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jackline Wolper mpaka nyumbani kwa wazazi wa Harmonize…..

Miongoni mwa stori zinazochukua headlines kwa sasa ni kuhusiana Mwigizaji Jackline Wolper yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harm... thumbnail 1 summary
Miongoni mwa stori zinazochukua headlines kwa sasa ni kuhusiana Mwigizaji Jackline Wolper yuko mapenzini na mwimbaji wa bongofleva Harmonize ambaye anatokea label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, sasa headlines bado zinaendelea kuchukua nafasi ambapo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Lionel Messi na baba yake wamefikishwa tena Mahakamani May 31 2016

Mchezaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya HispaniaLionel Messi na baba yake mzazi Jorge Messi wanatuhumiwa... thumbnail 1 summary
Mchezaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya HispaniaLionel Messi na baba yake mzazi Jorge Messi wanatuhumiwa kwa kosa la ukwepaji kodi na leo May 31 2016 inaripotiwa kesi yao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AFUNGUKA... ATOA SIRI 4 ZINAZOFANYA ATOKE NA VISERENGETI BOY...

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda MSANII nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed maarufu kama S... thumbnail 1 summary
Zuwena Mohammed ‘Shilole’ na aliyekuwa mpenzi wake, Nuh Mziwanda
MSANII nyota wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole, baada ya kusemwa kwa muda mrefu, hatimaye amefunguka na kutoa sababu nne za yeye kupenda kutoka na wanaume wanaotajwa kuwa ni wadogo kwake kiumri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kylie Jenner akataa madai ya kumkopa rapper Tyga dola milion $2m.

Mwanamitindo Kylie Jenner ambaye alikuwa mpenzi wa rapper Tyga, amekanusha taarifa zilizoenea mitandaoni kuwa alimkopa Tyga kiasi cha dola ... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo Kylie Jenner ambaye alikuwa mpenzi wa rapper Tyga, amekanusha taarifa zilizoenea mitandaoni kuwa alimkopa Tyga kiasi cha dola milioni mbili ($2m) kama ilivyoripotiwa na mtandao wa Radar Online kuwa Tyga amekua

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa kiume wa mwaka mmoja India abainika kuwa na nywele za sehemu za siri na hamu ya ngono

Mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja nchini India aliyebainika kuwa na nywele kwenye sehemu zake za siri na hamu ya kufanya mapenzi am... thumbnail 1 summary
Mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja nchini India aliyebainika kuwa na nywele kwenye sehemu zake za siri na hamu ya kufanya mapenzi amegundulika kuwa na tatizo la homoni ambalo ni nadra sana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper adai amefilisiwa na Mkongo , amejikuta hana gari wala sehemu ya kulala

Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mko... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wolper adai amefilisiwa na Mkongo , amejikuta hana gari wala sehemu ya kulala

Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mko... thumbnail 1 summary
Msanii wa filamu, Jacqueline Wolper baada ya kukiri kwamba anatoka kimapenzi na Harmonize, amefunguka na kueleza madai ya kufilisiwa na Mkongo ambaye alikuwa mpenzi wake wa zamani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sababu tatu kwanini Shah Rukh Khan hawezi kufanya kazi Hollywood

Wakati ambapo akina Priyanka Chopra na Deepika wamejichanganya vyema na tasnia ya filamu ya Marekani, Shah Rukh Khan hana mpango huo hata k... thumbnail 1 summary
Wakati ambapo akina Priyanka Chopra na Deepika wamejichanganya vyema na tasnia ya filamu ya Marekani, Shah Rukh Khan hana mpango huo hata kidogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANAFUNZI CHUO KIKUU DAR ES SALAAM WAGOMA...

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam mpaka sasa wamegoma wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili ya kujikimu. Makamu w... thumbnail 1 summary
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam mpaka sasa wamegoma wakiishinikiza bodi ya mikopo kutoa fedha kwa ajili ya kujikimu.
Makamu wa Rais wa serikali ya wanafunzi, Shamila Mshengema amesema mgomo huo ni matokeo ya taarifa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Daz Baba ni mgodi uliotelekezwa na madini yake

Kizuri hakidumu. Miaka ya 2000 nilianza kumfahamu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Daz Baba aliyekuwa ndani ya kundi la Daz Nundaz lililoku... thumbnail 1 summary
Kizuri hakidumu. Miaka ya 2000 nilianza kumfahamu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Daz Baba aliyekuwa ndani ya kundi la Daz Nundaz lililokuwa na wasanii watano ambalo lilifanikiwa kukiki na nyimbo kibao.
Ndani ya kundi hilo Daz Baba ndiye alikuwa ni mkali zaidi kwenye uandishi wa mashairi ya kundi hilo, alifanikiwa kuongoza kwenye uandishi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UEFA IMEACHIA MAJINA 18 YA WACHEZAJI WANAOUNDA KIKOSI BORA MWAKA 2016... HAKUNA HATA MMOJA KUTOKA ENGLAND...

Ni siku tatu zimepita toka tushuhudia ile fainali ya michuano ya klabu Bingwa Ulaya kwa mwaka 2016, fainali ambayo ilichezwa katika uwa... thumbnail 1 summary

Ni siku tatu zimepita toka tushuhudia ile fainali ya michuano ya klabu Bingwa Ulaya kwa mwaka 2016, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wa San Siro Milan Italia, hiyo ilikuwa fainali inayozihusisha timu kutoka nchi na jiji moja Hispania Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Miss Universe Hellen atajwa kwenye jarida la Forbes Afrika kama mjasiriamali bilionea wa siku za usoni

Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen ambaye pia ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa Nuya’s Essence pamoja Edwin Bruno wametajwa ... thumbnail 1 summary
Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen ambaye pia ni mwanzilishi na mkurugenzi mtendaji wa Nuya’s Essence pamoja Edwin Bruno wametajwa katika jarida la Forbes Afrika kama wajasiriamali wenye umri wa chini ya miaka 30, wanaopewa kipaumbele kuwa mabilionea siku za usoni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aliye kuwa Rais wa Chad ,Hissene Habre ahukumiwa kifungo cha maisha jela

Aliyekuwa rais wa ya Nchi ya Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu... thumbnail 1 summary
Aliyekuwa rais wa ya Nchi ya Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono.
  • Hissene Habre alihusika moja kwa moja katika uhalifu huo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Master J awachana wasanii wa Hip Hop

Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa Bongo, Master Jay amewajia juu wasanii wa Hip Hop bongo kwa kushindwa kutumia fursa zilizopo. Miaka y... thumbnail 1 summary
Mtayarishaji mkongwe wa muziki hapa Bongo, Master Jay amewajia juu wasanii wa Hip Hop bongo kwa kushindwa kutumia fursa zilizopo.
Miaka ya hivi karibuni muziki wa Hip Hop nchini umeonekana haulipi huku baadhi ya wasanii wa muziki huo wakigeukia kwenye muziki wa kuimba wakati kwenye list

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hakuna record label ninayoweza kukubali inisainishe, watanipa nini ambacho sijafanya! – Diamond

Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummen... thumbnail 1 summary
Diamond Platnumz hana mpango wa kuwa chini na record label yoyote duniani. Infact hitmaker huyo amedai kuwa makampuni kibao yamewahi kummendea yakitaka awe chini yake lakini akayapiga kibuti.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ang’atwa Uume na Nyoka Aina ya Chatu Aliyejificha Chooni.

Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng’ata uum... thumbnail 1 summary
Raia mmoja wa Thailand anaendelea kuuuguza jeraha katika hospitali moja baada ya nyoka aina ya chatu kutokea ndani ya choo na kumng’ata uume wake. Attaporn Boonmakchuay, ambaye alipoteza damu nyingi amesema kuwa nyoka hiyo ilikuwa ikimvuta baada ya yeye na mkewe kujaribu kuipiga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Je, Unazijua Sifa Za Mwanaume Anayefaa Kuwa Mwenza Wako ?

Je, unazijua sifa za mwanaume anayekufaa kuwa mwenza wako? Hili limekuwa swali gumu kwa wanawake wengi ambao wamekuwa wakijiuliza watawez... thumbnail 1 summary
Je, unazijua sifa za mwanaume anayekufaa kuwa mwenza wako? Hili limekuwa swali gumu kwa wanawake wengi ambao wamekuwa wakijiuliza watawezaje kuwafahamu au kumfahamu mwanaume f’lani kama ana sifa za kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Meneja wa Alikiba Afafanua Kuhusu ‘Alikiba TV’

Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi na msanii Ali Kiba, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha ki... thumbnail 1 summary
Wikiendi iliyomalizika, kampuni ya usimamizi inayofanya kazi na msanii Ali Kiba, Rockstar4000 imetangaza kuingia naye ubia kwa kuanzisha kile kilichopewa jina ‘Alikiba TV.’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo ya Msingi Kuyafanya Kabla ya Kuoa/Kuolewa

Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa sababu ya mambo ya kukurupuka na kufanya haraka bila wahusika kufahamiana vizuri, hebu tuzingat... thumbnail 1 summary
Ndoa nyingi zinaingia kwenye migogoro kwa sababu ya mambo ya kukurupuka na kufanya haraka bila wahusika kufahamiana vizuri, hebu tuzingatie yafuatayo ili tusiseme 'NINGEJUA NISINGEOA/NISINGEOLEWA'
1. Chanzo cha uhusiano wenu kiwe ni upendo wa dhati
2. Chunguza kwa mwenzio juu ya tabia:nidhamu, adabu, hasira, ulevi na umalaya
3. Mpeane muda wa kutosha kufahamiana
4. Mtembee pamoja maeneo tofautitofauti kama michezoni, bar na out mbalimbali ili muone interest za kila mmoja
5. Muwe wa imani moja. ila kama mmeshibana sana na mwaweza kuvumiliana hata wa imani tofauti ni sawa.
6. Wajue ndugu wa mwenzio ili kupata habari zao zitakazokufahamisha mwenzao pia yukoje
7. Pimeni afya zenu bila aibu. kuna maradhi mengi kama HIV/AIDS na mengine.
8. Kama ni Mkristo au Muislam funga ndoa Kanisani au Msikitini na siyo Bomani.
9.Kwa Wakristo ndoa haina talaka. huu ni mpango wa Mungu. kuachana na kuoa mwingine ni dhambi.

N.B: kama mwenzio ana tabia usiyoipenda, usifunge ndoa naye ukitegemea atabadilika.abadilike wakati mkiwa wachumba na siyo kwenye ndoa, labda kama umeshamkubali kama alivyo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Adaiwa Kufulia na Kutembelea Usafiri wa Bajaj.

STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Ba... thumbnail 1 summary
STAA mwenye nyota ya kipekee Bongo, Wema Sepetu amewafungukia wanaomsema vibaya kuwa siku hizi kafulia mpaka anatembelea usafiri aina ya Bajaj na kudai kuwa hayo ni maisha yake binafsi ambayo hayamhusu mtu yeyote.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tamko la ACT Wazalendo baada ya wabunge wa upinzani kufungiwa

Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bun... thumbnail 1 summary
Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabungeEasther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hatuhitaji elimu ya darasani kuepuka ajali za mabasi ya mwendo kasi

Mazoea hujenga tabia. Sitaki kuamini kuwa hiki kinachotokea juu ya hizi ajali zinazohusisha magari ya mwendo kasi kinahitaji hata elimu ya ... thumbnail 1 summary
Mazoea hujenga tabia. Sitaki kuamini kuwa hiki kinachotokea juu ya hizi ajali zinazohusisha magari ya mwendo kasi kinahitaji hata elimu ya darasani.
Nimuda mfupi sana tangu mabasi ya mwendo kasi yaanze kazi ya kusafirisha abiria ndani ya jiji la Dar es Salaam lakini mpaka sasa ni zaidi ya ajali tatu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kudai bunge lilirushwe live lawaponza Zitto, Lissu, Mdee na Bulaya

Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge hilo la Jamhuri... thumbnail 1 summary
Wabunge wa upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutoshiriki shughuli za bunge kwa mikutano miwili ya bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung’ang’ania kurushwa matangazo ya moja kwa moja ya bunge hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Dj Khaled afanya photoshoot na Simba

Dj Khaled amefanya photoshoot na Simba kwa ajili ya cover ya albamu yake ‘Major Key’ itakayotoka mwaka huu. Ndani ya albamu hiyo Dj Khale... thumbnail 1 summary
Dj Khaled amefanya photoshoot na Simba kwa ajili ya cover ya albamu yake ‘Major Key’ itakayotoka mwaka huu.
Ndani ya albamu hiyo Dj Khaled amewashirikisha mastaa kadhaa kama Jay Z, Future, Lil Wayne, Drake, Rick Ross,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 31, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May 31 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews il... thumbnail 1 summary
May 31 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mirror kutupa karata yake kwenye filamuBy Yasin Ngitu

Msanii wa muziki ambaye yupo chini la ya kampuni ya filamu ya Wema Sepetu ‘Endless Film’, Mirror, amesema kukaa ndani ya kampuni hiyo kwa m... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki ambaye yupo chini la ya kampuni ya filamu ya Wema Sepetu ‘Endless Film’, Mirror, amesema kukaa ndani ya kampuni hiyo kwa muda mrefu kumemfanya atamani kuigiza.
Akiongea na Bongo5 Jumapili hii, Mirror

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

May 30, 2016

Madawa yakulevya yamenirudisha nyuma, hilo liko wazi – Ibra Da Hustler

Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amewataka wasanii wenzake kukaa mbali na matumizi ya Madawa ya kulevya. Rappa huyo ambay... thumbnail 1 summary
Rapper wa kundi la Nako 2 Nako, Ibra Da Hustler, amewataka wasanii wenzake kukaa mbali na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Rappa huyo ambaye alikaa rehab kwa muda mrefu ili kusaidiwa kuacha matumizi ya Madawa ya kulevya, ameiambia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Rais Magufuli amteua Anne Makinda kuwa mwenyekiti wa bodi ya NHIF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mwingine Jumatatu hii. Miongoni mwa walioteuliwa ni spika wa zamani, thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amefanya uteuzi mwingine Jumatatu hii. Miongoni mwa walioteuliwa ni spika wa zamani,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mayweather athibitisha kuzichapa na staa wa UFC Conor McGregor

Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather anatarajia kuzivaa tena gloves zake na kuingia ulingoni kuzichapa licha ya kudai amestaafu. Mayweath... thumbnail 1 summary
Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather anatarajia kuzivaa tena gloves zake na kuingia ulingoni kuzichapa licha ya kudai amestaafu.
Mayweather amethibitisha kuwa atazichapa na staa wa UFC, Conor McGregor kwa kupost picha hiyo juu kwenye Instagram. Post hiyo hata hivyo haioneshi ni lini pambano hilo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba akanusha kumuimbia Jokate wimbo ‘Aje’

Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake. “Sijamuimbia mtu yeyote kwa... thumbnail 1 summary
Alikiba amesema Aje si wimbo aliomuimbia Jokate wala msichana yeyote bali aliimba kwaajili ya mashabiki wake.
“Sijamuimbia mtu yeyote kwa kweli, mi nimeimba kwa ajili ya mashabiki wangu, kwanza sijawahi kumuimbia mtu kabisa, sijawahi, so ni kwa ajili ya mashabiki wangu,”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wema Sepetu Akubali Ndoa na Idris, Asema haya Kuhusu Ndoa yao Itavyokua

Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka h... thumbnail 1 summary
Penzi la Wema na Idriss kwa sasa linazidi kupamba moto, mpaka kupelekea Wema Sepetu kuanza kuwaza kufunga ndoa na Idriss. Wema alifunguka hayo katika video

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video: Familia ya Obama kuhamia kwenye jumba hili la kifahari baada ya kutoka White House

Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu. Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifa... thumbnail 1 summary
Rais Barack Obama hatoenda mbali sana na ikulu ya white house pindi atakapostaafu.
Kwa mujibu wa CNN, Obama atahamia kwenye jumba la kifahari ambalo mwanzo lilikuwa likimilikiwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Download/Listen Audio | RayVanny (Raymond) - Freestyle

Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako ... thumbnail 1 summary
Kabla ya kumfahamu akiwa WCB, Raymond ni msanii wa rap aliyefahamika kitaa kwa uwezo wake mkubwa wa kufreestyle. Wengi hawaujui uwezo wako huo hivyo sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanaume Wa Kenya Washindwa Kuwapa Mimba Wake Zao, Wanawake Waandamana....

Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa ... thumbnail 1 summary
Wanawake katika jimbo la Ndeiya nchini Kenya walifahamisha kuwa waume zao wanashindwa kuwapa ujauzito kutokana na mwenendo wa unywaji wa pombe haramu ambazo zinaathiri nguvu za kiume. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Waziri Ndalichako katolea ufafanuzi kufukuzwa kwa wanafunzi wa UDOM

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma ... thumbnail 1 summary
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ilitangaza kuwafuza jumla ya wanafunzi 7802 kutoka Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia mgomo wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

#AUDIO: Dada wa Marehemu Aneth Msuya kasimulia mkasa mzima wa mauaji ya Kinyama ya mdogo wake

May 30 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea hii ya Dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya ambaye aliuawa kwa kuch... thumbnail 1 summary
May 30 2016 kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea hii ya Dada wa bilionea Erasto Msuya, Aneth Msuya ambaye aliuawa kwa kuchinjwa nyumbani kwake jijini Dar es salaam. Kama hukupata time ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Uteuzi mwingine alioufanya Rais John Magufuli leo May 30 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali ambapo amemteua Jaji Shaba... thumbnail 1 summary
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali ambapo amemteua Jaji Shabani Ally Lila kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo Jaji Shabani

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Msako wa mtoto aliyeachwa msituni na wazazi wake kama ‘Adhabu’ umefika siku ya tatu

Adhabu ni sehemu ya maisha katika malezi ya watoto lakini imekuwa tofauti kwa wazazi hawa kutoka Japan ambao waliamua kumuadhibu mtoto wa... thumbnail 1 summary
Adhabu ni sehemu ya maisha katika malezi ya watoto lakini imekuwa tofauti kwa wazazi hawa kutoka Japan ambao waliamua kumuadhibu mtoto wao mwenye umri wa miaka (7) Yamato Tanooka, kwa kumuacha katika msitu wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Usiku wa May 29 2016 Club Billcanas

Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na ... thumbnail 1 summary
Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid ya Hispania baada ya kutwaa ubingwa wa kombe lao la 11 la UEFA walivyo pokewa katika Jiji la Madrid

Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia ... thumbnail 1 summary
Klabu ya usiku wa May 28 2016 kwa kuwafunga wapinzani wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ulio pigwa katika jiji la Milan, Italia uwanja wa San Siro, ilikuwa ni fainali inayohusisha timu kutoka jiji moja la Madrid.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Harmonize alivyompandisha kwenye stage mama yake na kumtambulisha Jackline Wolper

Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize ambaye aliongozana na mp... thumbnail 1 summary
Usiku wa May 27 2016 wakazi wa Mtwara walipata burudani kutoka kwa w na Msanii kutoka Label ya Wasafi, Harmonize ambaye aliongozana na mpenzi wake Jackline Wolper, Kabla ya kumtambulisha Jackline Wolper kwa wakazi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo May 30, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

May30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili... thumbnail 1 summary
May30 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

May 29, 2016

Mtanzania Mbwana Samatta, msimu ujao 2016/2017 utamuona Europa League

Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samat... thumbnail 1 summary
Wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ikicheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Kenya bila ya nahodha wake Mbwana Samatta na kulazimishwa sare ya goli 1-1,Samatta allikuwa uwanjani nae akipambana kuhakikisha klabu yake ya KRC Genkinashiriki Europa League

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Good News kwa muziki wa Afrika Chris Brown kampa dili Wizkid

Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afr... thumbnail 1 summary
Najua jina la Chris Brown sio geni masikioni mwa watu wanaopenda muziki, basi leo May 29 2016 huenda ikawa ni good news kwa muziki wa Afrika, baada ya msanii kutoka Marekani Chris Brown kumpost msanii Wizkid kutoka Nigeria.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Young Killer aongea hiki kuhusu kolabo yake na Mr Blue

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema sio kitu rahisi kufanya kazi na Mr Blue ambaye alikuwa akisikiliza kazi zake waka... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amesema sio kitu rahisi kufanya kazi na Mr Blue ambaye alikuwa akisikiliza kazi zake wakati yupo shuleni.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Real Madrid Beat Atletico Madrid On Penalties to win the Champions League

Real Madrid have won the Champions League for the 11th time, beating Atlético Madrid 5-3 on penalties, with Cristiano Ronaldo hitting the... thumbnail 1 summary
Real Madrid have won the Champions League for the 11th time, beating Atlético Madrid 5-3 on penalties, with Cristiano Ronaldo hitting the winning spot-kick after a 1-1 draw.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mambo matatu yanayoipa nguvu lebo ya Wasafi kufika mbali

Hutakiwi kushangaa siku ukisikia lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kuwa ipo juu zaidi ya Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, hiyo ... thumbnail 1 summary
Hutakiwi kushangaa siku ukisikia lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond kuwa ipo juu zaidi ya Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, hiyo ni kutokada na mikakati pamoja na jitihada zinazozidi kuwekwa na uongozi wa lebo hiyo.
Mpaka sasa lebo ya WCB inawamiliki wasanii wanne akiwemo Diamond, Harmonize, Raymond na Q Boy Msafi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Rose apanga kumualika Wiz Khalifa kwenye kipindi chake cha TV

Mwanamitindo maarufu asiyeishiwa vituko, Amber Rose amepanga kumualika Wiz Khalifa kwenye show yake ya ‘Amber Talk Show’. Siku chache zil... thumbnail 1 summary
Mwanamitindo maarufu asiyeishiwa vituko, Amber Rose amepanga kumualika Wiz Khalifa kwenye show yake ya ‘Amber Talk Show’.
Siku chache zilizopita Amber Rose alidai kuwa atakuwa na furaha kubwa kumkaribisha mume wake wa zamani katika kipindi hicho kwa ajili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: