September 09, 2014

Maswali ya Jacqueline Ntuyabaliwe kwenye twitter

Ni kutoka kwenye stori za facebook, twitter na instagram ambapo hizi ni tweets alizoziandika Jackline Ntuyabaliwe ambayo ni maswali unay... thumbnail 1 summary

Screen Shot 2014-09-09 at 12.24.34 PMNi kutoka kwenye stori za facebook, twitter na instagram ambapo hizi ni tweets alizoziandika Jackline Ntuyabaliwe ambayo ni maswali unayoweza kujiuliza na kunipa majibu yako kwenye

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni Miss Universe Tanzania 2014 kwenye headlines!

Naambiwa yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yam... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-09 at 1.37.07 PMNaambiwa yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi kwa hiyo kama

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA, MDOGO WAKE KIM KARDASHIAN NAYE APIGA PICHA ZA UTUPU,ZITAKUWA KWENYE HILI JARIDA. CHEKI HAPA

Wiki moja iliyopita mke wa rapper Kanye West ‘Kim Kardashian’ alitajwa kuwa mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utu... thumbnail 1 summary

KendallWiki moja iliyopita mke wa rapper Kanye West ‘Kim Kardashian’ alitajwa kuwa mwanamke wa mwaka na jarida la GQ Na alipidi apige picha za utupa kwa ajili ya jarida hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND SASA KUFANYA SHOW YA BURE TAR 20 NCHINI UJERUMANI,BAADA YA SHOW YA KWANZA KUVUNJIKA KWA VURUGU

Mwishoni mwa mwezi uliopita msanii anayewakilisha vyema taifa lake la Tanzania  Diamond Platnumz  alikuwa anafanya show kubwa... thumbnail 1 summary

Mwishoni mwa mwezi uliopita msanii anayewakilisha vyema taifa lake la Tanzania Diamond Platnumz alikuwa anafanya show kubwa mjini Stuttgart,Ujerumani na show kushindikana kufuatia vurugu kubwa katika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI NYINGINE YA PILI LEO HII.....BASI LA DAR EXPRESS NA SIMBA MTOTO YAGONGANA LIVEEE....

Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.  Haijafahamik... thumbnail 1 summary
Pichani ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamepigana pasi  maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu. Haijafahamika mara moja madhara ya ajali hii wala chanzo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUTOKOMEZA VITENDO VYA WIZI

Napenda kuchukua nafasi hii kulishukuru sana jeshi la pilisi nchini Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanya, maana hatuwezi kuendelea kulea... thumbnail 1 summary
Napenda kuchukua nafasi hii kulishukuru sana jeshi la pilisi nchini Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanya, maana hatuwezi kuendelea kulea wezi wakati wahusika wapo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDIYO MAPENZI YA KWELI YA KUFA NA KUZIKANA.

SEHEMU YA TANO Baada ya kukumbatiana kwa muda wa dakika mbili hivi, waliachiana na kuangaliana kwa chati. Kila mmoja alikua haamin... thumbnail 1 summary


SEHEMU YA TANO
Baada ya kukumbatiana kwa muda wa dakika mbili hivi, waliachiana na kuangaliana kwa chati. Kila mmoja alikua haamini macho yake kwa kile alichokiona. “karibu ndani.” Aliongea Zakaria na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KABURI LA FUKULIWA KIJIJI CHA MANDAKA WILAYA YA MOSHI

  Mahakama imeamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mke mdogo katika kijiji cha Mandaka Wilaya ya Mosh... thumbnail 1 summary


 Mahakama imeamuru kaburi la mume kufukuliwa kwa pingamizi la mke mkubwa dhidi ya mke mdogo katika kijiji cha Mandaka Wilaya ya Moshi Vijijini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: