August 30, 2015

Harrison Mwakyembe Adai Mgombea Urais Edward Lowassa Alihusika Kwenye Ufisadi wa Richmond

Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzul... thumbnail 1 summary
Mhe Mwakyembe amkaanga Lowassa kuhusu kadhia ya Richmond na kusema kuwa asikwepe maana tume ya Bunge ilimkuta na hatia na ikabidi ajiuzulu Uwaziri Mkuu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tanzania imeshikilia nafasi ya 10 katika orodha ya Nchi za Afrika zenye Uchumi Mkubwa

The African continent has always been referred to as “The Sleeping Giant.” Such a terminology usually points at the great potential Afric... thumbnail 1 summary
The African continent has always been referred to as “The Sleeping Giant.” Such a terminology usually points at the great potential Africa has. It is well endowed with resources of all kinds. This applies to natural as well as human resources.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Edward Lowassa Avunja Rekodi ya Umati wa Watu Jangwani

Mkutano wa Ukawa wa Kuzindua Kampeni za Uchaguzi 2015 umemalizika huku wakiacha rekodi mpya ya thumbnail 1 summary
Mkutano wa Ukawa wa Kuzindua Kampeni za Uchaguzi 2015 umemalizika huku wakiacha rekodi mpya ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA Amesikia Vilio vya Watanzania Kuhusu Babu Seya na Mashehe wa Kiislam Walioko Jela...

Leo Jagwani Katika Uzinduzi wa Kampeni za Ukawa Lowassa Amewagusa Wengi baada ya Kuzungumzia Suala la Babu Seya ambaye yupo jela amefungw... thumbnail 1 summary
Leo Jagwani Katika Uzinduzi wa Kampeni za Ukawa Lowassa Amewagusa Wengi baada ya Kuzungumzia Suala la Babu Seya ambaye yupo jela amefungwa kifungo cha Maisha yeye na mtoto wake ..Lowassa Amesema kuwa amesikia kilio

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Madai Mtoto si wa Diamond, Zari Aitwa Kwao Uganda

KIMENUKA! Baada ya madai kwamba mtoto Latifah ‘Tiffah’ si damu ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku shemeji wa zamani wa Zarinah ... thumbnail 1 summary
KIMENUKA! Baada ya madai kwamba mtoto Latifah ‘Tiffah’ si damu ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku shemeji wa zamani wa Zarinah Hassan ‘Zari’ (mama Tiffah), King Lawrence naye kusema mtoto huyo ni wake, kuna taarifa mpya zinazodai kuwa, Zari ameitwa kwao, Uganda ili akamalize

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kilichoikuta Chelsea vs Crystal Palace hiki hapa

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo. thumbnail 1 summary
Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Full time ya Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa

Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe kat... thumbnail 1 summary
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nimekusogezea matokeo ya Arsenal vs Newcastle na Man City vs Watford

Ikiwa imeshinda mechi tatu mfululizo katika msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Manchester City leo imeendelea kuilinda rekodi ... thumbnail 1 summary
Ikiwa imeshinda mechi tatu mfululizo katika msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Manchester City leo imeendelea kuilinda rekodi yake ya kushinda kwa 100% katika mfululizo wa mechi BPL.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWAKYEMBE AMSHAMBULIA LOWASSA KUHUSU SAKATA LA RICHMOND .... MWIGULU NCHEMBA NAYE ADAI LOWASSA NI MPIGA DILI TANGU KIJANA

Mwakyembe Akihutibia Umati Aliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuo... thumbnail 1 summary


Mwakyembe Akihutibia Umati

Aliyekuwa mwenyekiti wakamati teule ya bunge ya kuchunguza kashfa ya mkataba tata wa Richmond iliyomuondoa madarakani aliyekuwa waziri mkuu Mh Edward Lowassa, Mh Harrsion Mwakyembe amewahakikishia watanzania kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TCRA YATOA ONYO KALI KWA TBC 1 KWA KUZIKWEPA HABARI ZA UKAWA NA KUPENDELEA CCM

MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imekipa onyo kali kituo TBC1 kwa kosa la kubagua kusoma taarifa zinazohusiana na UKAWA. thumbnail 1 summary
MAMLAKA ya mawasiliano nchini (TCRA) imekipa onyo kali kituo TBC1 kwa kosa la kubagua kusoma taarifa zinazohusiana na UKAWA.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: