March 12, 2016

Video: Kijana Mwenye Miaka 18 Anayewaniwa na Vilabu vya Arsenal na Barcelona.

Vilabu vikubwa barani Ulaya kwa sasa vinaonekana kutumia fedha nyingi kuweza kuwasajili wachezaji wenye umri mdogo. thumbnail 1 summary

Vilabu vikubwa barani Ulaya kwa sasa vinaonekana kutumia fedha nyingi kuweza kuwasajili wachezaji wenye umri mdogo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wimbo wa Nay wa Mitego Shika Adabu Yako Wavuka Mipaka...Mwanamuziki Amani wa Kenya Adai Anaupenda Sana..Asema Haya

Shika Adabu Yako ya Nay wa Mitego inaweza ikawa imefungiwa na BASATA, lakini imefanikiwa kuwafikia watu wengi ndani na nje, shukrani kwa mi... thumbnail 1 summary
Shika Adabu Yako ya Nay wa Mitego inaweza ikawa imefungiwa na BASATA, lakini imefanikiwa kuwafikia watu wengi ndani na nje, shukrani kwa mitandao ya kijamii.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tetesi: Kanye West Afukuzwa Kwenye Nyumba ya Mama Mkwe Wake...Yadaiwa Tabia Mbaya Imemponza

Mama yake na Kim Kardashian, Kris Jenner anadaiwa kuchoshwa na tabia mbaya ya Kanye West kiasi cha kumfukuza kwenye nyumba yake. thumbnail 1 summary
Mama yake na Kim Kardashian, Kris Jenner anadaiwa kuchoshwa na tabia mbaya ya Kanye West kiasi cha kumfukuza kwenye nyumba yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mahakamani Kwa Kusema Rais Mugabe ni 'Mzee'

Rais Mugabe Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye s... thumbnail 1 summary
Rais Mugabe
Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LADIES: Hizi ni Dalili 11 Mpenzi Wako Anataka Akufanye Uwe Mke Wake...Soma Hapa

Ukiotea story kwenye vikao vya wanawake, utasikia wakisema wanaume wanaooa siku hizi wamekuwa wachache. Kwamba wengi tunapenda kuwachezea... thumbnail 1 summary
Ukiotea story kwenye vikao vya wanawake, utasikia wakisema wanaume wanaooa siku hizi wamekuwa wachache. Kwamba wengi tunapenda kuwachezea tu. Lakini wapo wanaume ambao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Juma Jux: Nilimpenda Jackie Cliff ila Sitarudiana Nae Tena, Nina Maisha Mapya.

Msanii Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anay... thumbnail 1 summary
Msanii Jux ambaye kwa sasa yupo kimahusiano na Vanessa Mdee, amefunguka na kuweka wazi sakata ambalo lilimkuta mpenzi wake wa zamani anayefahamika kama Jackie Cliff na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Aguero Kuihama Manchester City 2019

Mshambuliaji wa kilabu ya Manchester City Sergio Aguero amesema kuwa atakihama kilabu hicho wakati kandarasi yake itakapokamilika.Rais hu... thumbnail 1 summary
Mshambuliaji wa kilabu ya Manchester City Sergio Aguero amesema kuwa atakihama kilabu hicho wakati kandarasi yake itakapokamilika.Rais huyo wa Argentina ana kandarasi ya miaka mitano na uwanja wa Etihad atakamilisha kandarasi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baba Yake Lulu " Nipo Tayari Kupokea Mahari "

Elizabeth Michael 'Lulu' na Baba Mzazi Wake. Nyota wa filamu hapa nchini Elizabeth Michael a.k.a Lulu baada ya kurudi Tanzania ... thumbnail 1 summary
Elizabeth Michael 'Lulu' na Baba Mzazi Wake.
Nyota wa filamu hapa nchini Elizabeth Michael a.k.a Lulu baada ya kurudi Tanzania kwa ushindi wa tuzo kutoka Nigeria,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO: Dogo Janja kafanyiwa suprise na kuzawadiwa gari aina ya Benz

Dogo Janja  ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ ... thumbnail 1 summary

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ kwa mara ya kwanza, sasa March 10 2016 wakati yupo katikati ya Interview akihojiwa na Diva usiku kupitia CloudsFM

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: