May 31, 2014

Crazy Videoz U MUST WATCH: Mastaa Wetu wa Kike Huko Instagram - Jokate, Penny na Lulu

Hizi ni SHOT  KLIP  za  video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao... thumbnail 1 summary

Hizi ni SHOT  KLIP  za  video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao....Jokate Mwegelo  aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake  nakuzugumza KIZUNGU-Mimi sijui  wewe msikilize tu)..Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BRAZUKA na Top Model wa Mweusi.. Anaitwa Helen Deneen Msomi wa HAVADI

#TUNAVUKA MIPAKA Huyu ni moja kati ya Model ambao ni HOT sasa hivi (Dunia Nzima)...Tofauti wa wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi LE... thumbnail 1 summary

#TUNAVUKA MIPAKA
Huyu ni moja kati ya Model ambao ni HOT sasa hivi (Dunia Nzima)...Tofauti wa wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi LEVO YA MASTAZI kutoka katika Chuo kikuu cha  Howard, Marekani. Kama ilivyo kwa ma model wengine huyu naye anajishughurisha maswala ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video ya UTUPU iliyo LEAK Yamtesa Msanii Nyota Ndogo

Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amere... thumbnail 1 summary

Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Exclusive Photo: Panapofuka Moshi? .......Penzi la KITALE na PENNY

Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ ONA HAPA ] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali ... thumbnail 1 summary

Juzi niliposti  picha ya KITALE (Kwasasa unaweza kumuita MKUDE SIMBA) [ONA HAPA] akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye hisia kali (Daah mtoto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOHARI AMTUPIA CHUCHU VIJEMBE MSIBANI.

STAA wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake, Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee’ ... thumbnail 1 summary
STAA wa Bongowood, Blandina Chagula ‘Johari’ anadaiwa kumtupia vijembe kiaina msanii mwenzake, Chuchu Hans ambaye ‘anabanjuka kimalovee’ na mkurugenzi mwenza wa Kampuni ya RJ, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROSE NDAUKA AJIBU TUHUMA ZA KUPORA WAUME ZA WATU!

Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Mal... thumbnail 1 summary


Wiki iliyopita katika Exclusive Interview tuliona sehemu ya kwanza ya Rose Ndauka alivyoeleza kuwa aliwamwaga wanaume na kutulia na Maliki. Wawili hao kwa sasa wanaogelea katika penzi zito na mikakati thabiti ya ndoa imeshaanza, wanatarajia kuoana baadaye mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Breaking!! GEORGE TYSON WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA.

 George Tyson enzi za uhai wake. thumbnail 1 summary


 George Tyson enzi za uhai wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: