March 17, 2016

Akina Dada, Sio Kila Ex Wako Anayeomba Mrudiane Anamaanisha...

Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na... thumbnail 1 summary

Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jokate Mwegelo Afunguka "Nangoja Edward Lowassa Kurudi chamani CCM Kama Mwenzake..."

Kupitia account yake ya twitter Jokate ameandika ujumbe mfupi na kusema anasubiri EL kurudi chamani "Waiting on EL kurudi chamani&qu... thumbnail 1 summary
Kupitia account yake ya twitter Jokate ameandika ujumbe mfupi na kusema anasubiri EL kurudi chamani "Waiting on EL kurudi chamani".

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Utafiti Mpya: Je ni nchi gani maskini zaidi Afrika?

Afrika ni bara ambalo tafiti kadhaa zinafanyika na zimeendelea kufanyika, Matokeo ya Utafiti wa Africa Wealth umeitaja Zimbabwe kuwa ndio... thumbnail 1 summary
Afrika ni bara ambalo tafiti kadhaa zinafanyika na zimeendelea kufanyika, Matokeo ya Utafiti wa Africa Wealth umeitaja Zimbabwe kuwa ndio nchi Maskini. Inatajwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Daraja la Kigamboni Kuanza Rasmi Aprili 16

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Profesa Makame Mbarawa Serikali imesema imesema daraja la Kigamboni lenye urefu wa mita ... thumbnail 1 summary
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mh. Profesa Makame Mbarawa
Serikali imesema imesema daraja la Kigamboni lenye urefu wa mita 640 litafunguliwa rasmi, Aprili 16, mwaka huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Alikiba Amtaja Msaniii wa Hip hop Anayemkubali Zaidi

Kabla ya kuanza kufanya muziki wa kuimba, Alikiba alikuwa rapper mzuri. thumbnail 1 summary
Kabla ya kuanza kufanya muziki wa kuimba, Alikiba alikuwa rapper mzuri.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mwasiti Ajitetea Kufulia Kimuziki.

STAA Mkongwe wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Kuibua Vipaji vya Kuimba (THT), Mwasiti Almasi amefungukia maisha yake kimuziki kwamba hajafuli... thumbnail 1 summary
STAA Mkongwe wa Bongo Fleva kutoka Jumba la Kuibua Vipaji vya Kuimba (THT), Mwasiti Almasi amefungukia maisha yake kimuziki kwamba hajafulia kwani kazi zake bado zinaendelea kuchezwa hasa mikoani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Audio: Rais Magufuli Apiga Simu Kwenye Kipindi Cha Clods 360, Sikiliza Hapa

Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runin... thumbnail 1 summary
Image result for magufuli
Rais John Magufuli na Mkewe, Mama Janeth leo amekuwa Rais wa kwanza Tanzania kupiga simu ya surprise moja kwa moja kwenye kituo cha runinga kama mtazamaji wa kawaida akichangia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Babu Tale: Kama Wewe ni Msichana na Unamzidi Ruby Kuimba Njoo WASAFI Records

Meneja wa lebel ya WCB Babu Tale ametoa fursa kwa wasanii wa kike wenye vipaji kuonyesha vipaji vyao, na hatimaye kuweza kupata fursa ya ... thumbnail 1 summary
Meneja wa lebel ya WCB Babu Tale ametoa fursa kwa wasanii wa kike wenye vipaji kuonyesha vipaji vyao, na hatimaye kuweza kupata fursa ya kuwa chini ya uongozi wao wa WCB.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Man U Wajipanga Kuivaa Livepool Leo, Jionee Hapa

Mechi za Marudiano za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za Uefa Europa Ligi zinatarajia kuendelea leo March 17 kwa mechi mbali mbali mechi amba... thumbnail 1 summary
Mechi za Marudiano za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 za Uefa Europa Ligi zinatarajia kuendelea leo March 17 kwa mechi mbali mbali mechi ambayo wengi wana subiria kuona kama United itaweza kuifunga Liverpool ili kusongo mbele.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mali za Lady Jaydee Zazua Kizaazaa !

Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka na aliyekuwa mumewe, Gardner G. Habash ‘Captain’, mali za mrembo wa nguvu, J... thumbnail 1 summary
Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kukabidhiwa talaka na aliyekuwa mumewe, Gardner G. Habash ‘Captain’, mali za mrembo wa nguvu, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shindano la Miss Tanzania limeletwa tena kwa watanzania, kazi inaanza March 19

Najua nina watu wangu wanaopenda headline za Ma Miss sasa good news ni kwamba shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania limerudi rasmi na ... thumbnail 1 summary
Najua nina watu wangu wanaopenda headline za Ma Miss sasa good news ni kwamba shindano la kumsaka mrembo Miss Tanzania limerudi rasmi na linatarajiwa kuzinduliwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutoka makao makuu ya Yanga, haya ni mambo matatu aliyoyaongea kocha wao leo

Klabu ya Dar Es Salaam Young Africans Jumamosi ya March 19 itarudiana na klabu yaAPR ya Rwanda katika mchezo wake wa pili wa raundi ya pi... thumbnail 1 summary
Klabu ya Dar Es Salaam Young Africans Jumamosi ya March 19 itarudiana na klabu yaAPR ya Rwanda katika mchezo wake wa pili wa raundi ya pili ya michuano ya Klabu Bingwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Raymond alivyokutana na Diamond Platnumz..(+Video)

Kipaji cha  Raymond  kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya kuchana yaani (FreeStyle)  mkoani Mbeya ... thumbnail 1 summary
Kipaji cha Raymond kilianza kuonekana mwaka 2011 baada ya kushiriki kwenye mashindano ya kuchana yaani (FreeStyle)  mkoani Mbeya na kuwa mshindi wa kwanza,alipokuja Dar kwenye fainali za mashindano hayo akaibuka pia kuwa mshindi ndipo Tip Top Connection ilipomchukua na kuwa chini yake.
Raymond ameshaoneka na kwenye majukwaa mengi hasa kwenye show zaMadee,Kutokana na ukaribu wa Label ya TipTop Connection na WCB,Menejimenti zimekaa chini na kukubaliana kumtoa kupitia label ya Wasafi (WCB) ambayo uongozi wa label hiyo upo chini ya Diamond Platnumz.
Najua nina watu wangu ambao mlikuwa na hamu ya kufahamu vitu vingi kutoka kwa msanii huyo mpya kutoka WCB, sasa basi tazama hii video hapa chini Raymond akielezea alivyokutana na Diamond mpaka kusainiwa katika label ya WCB (Wasafi).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

4 Reasons why phone sex is better than actual sex

It’s 2016 and internet and smartphones have made it so that you do not need your partner to be physically present for you to have an orga... thumbnail 1 summary
It’s 2016 and internet and smartphones have made it so that you do not need your partner to be physically present for you to have an orgasm. Some people get the hottest experience while sexting or dirty-talking on phone with their partners.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UGHAIBUNI: Jason Derulo’s girlfriend shows off hot bikini body at the beach -

Jason Derulo’s girlfriend Daphne Joy raised temperatures to boiling point as she flaunted her fabulous assets on the beach. The 29-year... thumbnail 1 summary
Jason Derulo’s girlfriend Daphne Joy raised temperatures to boiling point as she flaunted her fabulous assets on the beach.
The 29-year-old actress is currently sunning herself in Mexico

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magufuli "Mtaalam Atakayekodi Mitambo Kuzalisha Umeme Badala ya Kununua Mitambo Hatufai Tanzania"

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili, uliopo k... thumbnail 1 summary

Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi namba mbili, uliopo katika wilaya ya Ilala Mkoani Dar es salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JWTZ WATOA WARAKA MAALUMU KUKATAA KILE KILICHO ENEA MITANDAONI

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea katika mitandao ya kijamii kuwa, li... thumbnail 1 summary
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya uvumi ulioenea katika mitandao ya kijamii kuwa, limepeleka Wanajeshi wengi visiwani Zanzibar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STORI: ALICHOKIFANYA HUYU MWANAMKE BAADA YA KUZIDIWA NA MUMEWE...

Wakati fulani mwaka 2005 huko nchini New Zealand mama mmoja Ng Mee Kwan raia wa Malaysia aliyekuwa na umri wa miaka 41 wakati huo alijari... thumbnail 1 summary
Wakati fulani mwaka 2005 huko nchini New Zealand mama mmoja Ng Mee Kwan raia wa Malaysia aliyekuwa na umri wa miaka 41 wakati huo alijaribu suluhu isiyo na matunda kutaka

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PETIT AUNGANA NA MASHABIKI KUMTAKA WENGER AFUNGASHE VIRAGO

Aliyekua kiungo wa Arsenal, Emmanuel Petit ameungana na mashabiki waliochoshwa na utawala wa meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger, kwa kumt... thumbnail 1 summary
Aliyekua kiungo wa Arsenal, Emmanuel Petit ameungana na mashabiki waliochoshwa na utawala wa meneja wa klabu hiyo Arsene Wenger, kwa kumtaka akae pembeni

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MZEE MREMA KAMFUNGULIA KESI YA KUPINGA MATOKEO JAMES MBATIA, INAANZA KUSIKILIZWA TAREHE HII.

Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi, Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), ita... thumbnail 1 summary
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi, Mbunge wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), itaanza kusikilizwa mfululizo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 17 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnew... thumbnail 1 summary
March 17 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Movie ya Mama Kijacho Yambadili Sura Tunda Man

Tunda Man amebadilisha muonekano wake kwaajili ya Movie ya Mama kijacho, huku akiachia ndevu kama Rick Rose na leo siku ya Jumatano ndiyo w... thumbnail 1 summary
Tunda Man amebadilisha muonekano wake kwaajili ya Movie ya Mama kijacho, huku akiachia ndevu kama Rick Rose na leo siku ya Jumatano ndiyo wamemaliza kushoot na walikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Hiki Ndicho Kanye West Alivutiwa kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz Hadi Kuomba Kupiga Picha Nae

Muziki wa Bongo Fleva umeanza kulipa, tunaweza tukawa nchi ya tatu Afrika baada ya Nigeria, Afrika Kusini. thumbnail 1 summary
Muziki wa Bongo Fleva umeanza kulipa, tunaweza tukawa nchi ya tatu Afrika baada ya Nigeria, Afrika Kusini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Nisha ameweka wazi kitu gani kinamfanya aende China mara kwa mara

Mwigizaji Nisha ameingia kwenye headlines baada ya kusafiri mara kwa mara kuelekea china na kupelekea mashabiki kuhisi labda anasafirish... thumbnail 1 summary
Mwigizaji Nisha ameingia kwenye headlines baada ya kusafiri mara kwa mara kuelekea china na kupelekea mashabiki kuhisi labda anasafirisha au ni miongoni mwa wale warembo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: