November 08, 2014

ABOUT LOVE: HIZI NDIO FAIDA 5 ZA KUNUNIANA NA LOVE WAKO !

YAWEZEKANA kuwa ni mada ambayo imekuachahoi mpenzi msomaji wangu huku ukijiuliza kama ni kweli zipo faida kwa watu wanaopendana kwa dha... thumbnail 1 summary

image

YAWEZEKANA kuwa ni mada ambayo imekuachahoi mpenzi msomaji wangu huku ukijiuliza kama ni kweli zipo faida kwa watu wanaopendana kwa dhati kununiana. 
Faida ipi hiyo zaidi ya maumivu na mateso ya moyo? Jamani ni kweli kabisa k

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mabeto 'Suala la Kuolewa Kwangu Silifikirii Bado Nakula Ujana'

Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anak... thumbnail 1 summary



Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHUCHU AZUA TIMBWILI BARABARANI

NI  mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwa... thumbnail 1 summary

NI mkalia nyonga wa Vincent Kigosi ‘Ray’, Chuchu Hancy amezua timbwili la aina yake barabarani baada ya kukimbiza gari la msanii aitwaye Ester Kiama akijua ni gari la ‘bebi’ wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE MISS TANZANIA 2014 TULIYEKUWA TUNAMHITAJI....MZURI HALAFU HANA SKENDO YA UMRI WALA HANA MTOTO

Baada ya Sitti Mtemvu 2014 kujivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es  Salaam leo Mshindi namba 2, Lilian Kamazima thumbnail 1 summary

Baada ya Sitti Mtemvu 2014 kujivua taji rasmi ndani ya hoteli ya JB BELMONTE Posta - Dar es Salaam leo Mshindi namba 2, Lilian Kamazima

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EPL: Liverpool vs Chelsea: wafungaji na matokeo ya mchezo haya hapa

Mechi yao iliyopita ambayo ilikuwa takribani miezi sita iliyopita inatajwa kuwa ni moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool. thumbnail 1 summary

IMG_8675.JPG


Mechi yao iliyopita ambayo ilikuwa takribani miezi sita iliyopita inatajwa kuwa ni moja ya mechi zilizoinyima ubingwa Liverpool.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bilionea Dangote azidi kung’ara.

Mtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanya biashara... thumbnail 1 summary
AlikoMtandao wa Forbes umetoa list mpya ya matajiri hamsini kutoka Afrika list ambayo inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni Mfanya biashara maarufu na Rais wa kampuni ya Dangote Aliko Dangote, aliyekuwa akishikilia nafasi ya arobaini na tatu na kupanda nafasi ishirini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VPL: Matokeo ya Yanga vs Mgambo JKT

Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, klabu ya Yanga leo im... thumbnail 1 summary
IMG_8674.JPG

Baada ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar kwa kufungwa katika dimba la Kaitaba mjini Bukoba, klabu ya Yanga leo imejitupa uwanjani kucheza dhidi ya Mgambo JKT ya Tanga.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

list ya waimbaji watano wa kike walioongoza kwa kuingiza fedha nyingi mwaka 2014.

Kama hufahamu ni kwamba list ya mastaa wa kike watano wanaofanya muziki walioongoza kwa kuingiza mkwanja mkubwa kwa kipindi cha mwaka 201... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-11-07 at 5.58.04 PMKama hufahamu ni kwamba list ya mastaa wa kike watano wanaofanya muziki walioongoza kwa kuingiza mkwanja mkubwa kwa kipindi cha mwaka 2013-14 nchini Marekani kutokana na kazi zao mbalimbali kama shows na mauzo mengine imetoka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kutana na Mapacha wanaoshirikiana kila kitu hadi Uhusiano wa kimapenzi

Huwa si kitu cha ajabu kuona mapacha wakifanana kila kitu ndani ya familia hadi kusababisha watu kuwachanganya pindi wanapokutana nao kam... thumbnail 1 summary
twinoooHuwa si kitu cha ajabu kuona mapacha wakifanana kila kitu ndani ya familia hadi kusababisha watu kuwachanganya pindi wanapokutana nao kama hawajawazoea kuwaona kila siku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHILOLE AND NUH MZIWANDA HAVING SOME KISSES IN A CAR...CHECK OUT

In the name of Age is Just a Number....Mziwanda shared this photo with his Mama La Mama Shilole....Doing their THING in the Gar.... thumbnail 1 summary



In the name of Age is Just a Number....Mziwanda shared this photo with his Mama La Mama Shilole....Doing their THING in the Gar....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CHECK HAPA PHOTO ZA NICK MINAJ...UNAAMBIWA HIII NIJIBU KWA WANAOPONDA VIDEO YAKE YA ANAKONDA

Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye i... thumbnail 1 summary

Rapper wa Young Money amezungumzia video yake ya Anakonda kupondwa na watu na kusema waliyoikosoa hawana haki ya kufanya hivyo, Kwenye interview na jarida la V mina anasema....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BABA DIAMOND AMSAKA WEMA,ATAKA KUJUA KISA CHA KUACHANA NA MWANAYE ,AMTIMBIA NYUMBANI

Baada ya Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ kummwaga mwanaye, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baba mzazi wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘... thumbnail 1 summary

Baada ya Wema Isaac Sepetu ‘Beautful Onyinye’ kummwaga mwanaye, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, baba mzazi wa jamaa huyo, Abdul Jumaa ‘Baba Diamond’, amenaswa akimsaka mrembo huyo ili kujua mbichi na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA MASANJA AJUTA KUPIGA TUNGI....KILICHOMFANYA MUNGU TU NDIYE ANAJUA

Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja KAJALA  Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi k... thumbnail 1 summary


Msanii wa Muvi Bongo Kajala Masanja
KAJALA Masanja, amefunguka kuwa anajuta kunywa pombe baada ya kumsababishia maumivu makali hivi karibuni.Kajala ambaye anakimbiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI WASANII WA BONGO NI HAMNAZO KABISA...TAZAMA HAPA BABY MADAHA NA ISABELA WALIVYOFANYA UFUSKA

Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakijiachia. HAMNAZO?  Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ n... thumbnail 1 summary


Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha wakijiachia.

HAMNAZO? Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bella’ na Baby Madaha  wamenaswa wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata jijini Dar

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI INA MAANDA NDIYO TUMESHASAHAU KUHUSU MISS TANZANIA 2014 AU INAKUWAJE SASA?

Iliripotiwa kuwa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni ililikabidhi suala la utata wa Miss Tanzania 2014 kwa Baraza la Sanaa la Taif... thumbnail 1 summary

Iliripotiwa kuwa Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni ililikabidhi suala la utata wa Miss Tanzania 2014 kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kufanyiwa uchunguzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA KADRI MWANAMKE ANAVYOJIREMBA ZAIDI HAMU YA KUFANYA NAYE MAPENZI NAYO INAPUNGUA

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujiremba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, mido... thumbnail 1 summary

Siku hizi limezuka wimbi la akina dada na hata akina mama kujiremba kwa namna mbalimbali kuanzia rangi ya mwili, nywele, kucha, midomo na wengine wamefikia hatua ya kunywa au kupaka dawa za

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: