January 04, 2014

HAYA NDIO USIYOYAJUA KUHUSU MSANII NEY WA MITEGO...!!!SOMA HAPA KUJUA ZAIDI

Ney wa mitego ni mmoja wa wasani wanaokubalika sana hapa Tz kwa kutokea ku-change game zima la hihop,toka ... thumbnail 1 summary


muziki gani Ney wa mitego ni mmoja wa wasani wanaokubalika sana hapa Tz kwa kutokea ku-change game zima la hihop,toka ujio wake akiwa bado msanii mchanga,aliweza kukua kwa kasi sana na baadhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MWIMBA GOSPEL ANAYEPIGA PICHA ZA UCHI SASA AJIREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI..TAZAMABEHIND THE SCENE

YULE MWIMBA GOSPEL ALOBADILIKA NA KUANZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI, TAZAM... thumbnail 1 summary


YULE MWIMBA GOSPEL ALOBADILIKA NA KUANZA KUPIGA PICHA ZA UTUPU AREKODI VIDEO YA WIMBO WAKE AKIWA UCHI, TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE HAPA, VERY STUPID!!!! MDADA HUYO RAIA WA NIGERIA AMEKUWA MAARUFU SANA HAPA AFRICA KWA KAZI ZAKE ZA KUPIGA PICHA ZA UCHI UCHI.......HER NAME IS MAHEEDA

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY ASEMA ."NINGEZAA NA DIAMOND WATOTO WANGU WANGEKUWA NA SURA MBAYA NA MIDOMO MIBAYA"

Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  k... thumbnail 1 summary
Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  kumwagana    na  msanii  huyo  na  badala  yake  sasa  ameanza  kuzipa  uzito  hoja  za  kumpiga  chini  Diamond  ambaye  walidumu  naye  kimapenzi  kwa  takribani 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MADEMU WA KISHUA WANA HATARI,SOMA HAPA KISA HIKI KISHA TUPE MAONI YAKO

Nina mpenzi wangu anaitwa jasmini nipo nae chuo kimoja kasoro kozi zetu ndio tofauti.Mimi nimepanga nje ... thumbnail 1 summary


Nina mpenzi wangu anaitwa jasmini nipo nae chuo kimoja kasoro kozi zetu ndio tofauti.Mimi nimepanga nje kidogo ya chuo yani naishi gheto na nikawaida yake yeye kuja kunitembelea anavyotaka pia kiukweli nampenda sana na yeye analijua hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PENNY "SIZITAKI MBICHI HIZI" AMSEMA DIAMOND VIBAYA ... SOMA ZAIDI

Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  kumwagana    na  msa... thumbnail 1 summary

Penny  ambaye  ni mpenzi  wa  zamani  wa  Naseeb Abdul "Diamond"   haonekani  kujutia  kitendo  cha  kumwagana    na  msanii  huyo  na  badala  yake  sasa  ameanza  kuzipa  uzito  hoja  za  kumpiga  chini  Diamond  ambaye  walidumu  naye  kimapenzi 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAMA KANUMBA: SIJAONA STAA WA KUMFANANISHA NA MWANANGU

MAMA wa msanii aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa  amenyanyua kinywa chake na kutema cheche ... thumbnail 1 summary

MAMA wa msanii aliyekuwa nguli wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa  amenyanyua kinywa chake na kutema cheche kuwa katika mastaa wote wa filamu Bongo, hajaona

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EHE MUNGU OKOA MAISHA YANGU...!! KIJANA WA MIAKA 19 ALIA KWA UCHUNGU..

  Haruni Kayombo. KIJANA Haruni Kayombo (19), mkazi wa Mbalizi, Mbeya anaishi kwa mateso makubwa tangu mwaka 2006, baada kus... thumbnail 1 summary

 Haruni Kayombo.

KIJANA Haruni Kayombo (19), mkazi wa Mbalizi, Mbeya anaishi kwa mateso makubwa tangu mwaka 2006, baada kushikwa na ugonjwa wa ajabu uliomuanza ghafla.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPENZI WA JACKIE CLIFF AFUNGUKA TANGU MPENZI WAKE AKAMATWE NA DAWA ZA KULEVYA CHINA..SOMA HAPA ALICHOKISEMA..

Muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux amefunguka kwa mara ya kwanza tangu mpenzi wake Jackie Cliff akamatwe na madawa ya kulevya aina ... thumbnail 1 summary

Muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux amefunguka kwa mara ya kwanza tangu mpenzi wake Jackie Cliff akamatwe na madawa ya kulevya aina ya heroin huko Macau, China, December mwaka jana. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA AANGUSHA BONGE LA PATI NYUMBANI KWAKE

WAZIRI   Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ame... thumbnail 1 summary

WAZIRI  Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Ngoyai Lowassa ameangusha bonge la pati la kuukaribisha mwaka 2014.
Tukio hilo lililojaa furaha ya aina yake lilifanyika Januari 1, mwaka huu nyumbani kwake Ngarashi- Monduli, mkoani hapa ambapo mamia ya watu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ROHO YA KIFO BADO KWA MASTAA

Marehemu Ngwea. MTOTO wa  aliyekuwa mtabiri  maarufu nchini, Shehe Yahya H... thumbnail 1 summary


Marehemu Ngwea.
MTOTO wa  aliyekuwa mtabiri  maarufu nchini, Shehe Yahya Hussein, Maalim Hussein Yahya ametoa utabiri wake wa mwaka na kusema kwamba vifo zaidi vitaendelea kutokea kwa mastaa wa filamu, muziki, waandishi wa habari, viongozi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA..SCENE YA MAPENZI YA RAY ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI...!

Imekuwa kawaida kuwa scene za mapenzi kwenye uigizaji wa filamu za kibongo na duniani kwa ujumla kufanywa vizuri kuliko zote. Ila ... thumbnail 1 summary

Imekuwa kawaida kuwa scene za mapenzi kwenye uigizaji wa filamu za kibongo na duniani kwa ujumla kufanywa vizuri kuliko zote. Ila sidhani kama kuna mtu ambaye ni mpenzi wa bongo movie na hafahamu uigizaji wa Ray akiwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAKUBWAAAA..!!!! SHOGA ATISHIA KUVUNJA NDOA YANGU..NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE???

Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa ana tabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki. thumbnail 1 summary


Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa ana tabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SOMA HAPA KUMJUA JACK NA MAISHA YAKE KWA UJUMLA

Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliy... thumbnail 1 summary


Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliyeenda hewani na Mungu kampelea haswaa. Ukikutana naye huwezi kumwangalia mara moja ukaridhika, lazima ugeukE kumwangalia tena.
Nilipata bahati ya kumhoji mwezi September mwaka jana kwenye fashion

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WANACHAMA WA CHADEMA WAZICHAPA HADHARANI NA KUPASUANA BAADA YA MWANACHAMA MMOJA KUMPINGA ZITTO MAHAKAMANI...JIONEE MWENYEWE HAPA


 
Dar es Salaam,Tanzania
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa jana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe (Chadema), kuhusu ombi la kuitaka Mahakama hiyo kuizuia Kamati Kuu ya Chama hicho, kutomjadili katika kikao ambacho kilipangwa kufanyika leo jijini Dar es Salaam.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AGNES MASOGANGE AKUTWA AKIKATA MAUNO YA HATARI PAMOJA NA MTOTO MDOGO..JIONEE MWENYEWE HAPA

Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’akikata mauno. BAADA ya kujificha muda mrefu tangu atoke mahabusu nchini Afri... thumbnail 1 summary


Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’akikata mauno.
BAADA ya kujificha muda mrefu tangu atoke mahabusu nchini Afrika Kusini kwa msala wa madawa ya kulevya, Video Queen Agnes Jerald ‘Masogange’ amenaswa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND BIFU NA KIGOGO WA WEMA SEPETU,,,!!!HALI YA ATARI YATANGAZWA..SOMA ZAIDI HAPA

Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na Wema Isaac Sepetu katika pozi. Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya f... thumbnail 1 summary

Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’ na Wema Isaac Sepetu katika pozi.

Yule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa ‘Diamond Platnumz’.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA..!!!MOTO MKUBWA WATEKETEZA JENGO LA JANCO MOTEL HUKO MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO...!!!

Moto mkubwa umezuka katika Hoteli ya Janco iliyopo Forest Mpya jijini Mbeya usiku wa kuakia leo. Chanzo cha moto huo hakijajulik... thumbnail 1 summary


Moto mkubwa umezuka katika Hoteli ya Janco iliyopo Forest Mpya jijini Mbeya usiku wa kuakia leo. Chanzo cha moto huo hakijajulikana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JAMANI WADAU MSAIDIENI TOM KUMTAFUTA BI HARUSI WAKE ...... HATA JEROME HAJUI ALIPO.

Wadau tujulishe bi harusi yuko wapi kwa ku comment maoni yako....... Je ingekuwa wewe Jerome ungesema yuko wapi?? au ungekuwa Je... thumbnail 1 summary








Wadau tujulishe bi harusi yuko wapi kwa ku comment maoni yako....... Je ingekuwa wewe Jerome ungesema yuko wapi?? au ungekuwa Jerome

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GHANAIAN GIRLS DANCING AZONTO NAKED WITHOUT CLOTHES,SEE PICTURES HERE

Some girls in Ghana has taken the azonto craze to a new level, they now have the adult version and they dance it without wearing any... thumbnail 1 summary
Some girls in Ghana has taken the azonto craze to a new level, they now have the adult version and they dance it without wearing anything.Over the last few years, no single dance has dominated the Ghanaian landscape than the phenomenal Azonto dance. Not only has the dance dominated the night clubs, parties, beach

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HEBU CHEKI PICHA CHAFU ZA MSANII PENDO AKISAGANA NA MWENZAKE ZILIZO ACHIWA NA MTANDAO WA GHAFLA WA NCHINI KENYA

I limit my words becoz this photos by ghafla speakes. She is Pendo and she is a socialite...I'm am not shocked by this pho... thumbnail 1 summary

I limit my words becoz this photos by ghafla speakes. She is Pendo and she is a socialite...I'm am not shocked by this photos becoz thats all you have to do to maintain your title as asocialite. Now it time for photos....

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIONEL MESSI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KIMYA KIMYA AKIFANYA TANGAZO LA TURKISH AIRLINES...... SOMA ZAIDI

Mchezaji wa Club ya Barcelona, Lionel Andrés Messi mwishoni mwa mwaka 2013 alitua Tanzania kimya kimya kufanya tangazo la Turkish Airl... thumbnail 1 summary

6812765_orig
Mchezaji wa Club ya Barcelona, Lionel Andrés Messi mwishoni mwa mwaka 2013 alitua Tanzania kimya kimya kufanya tangazo la Turkish Airlines kwenye Mlima Kilimanjaro.Idea ya tangazo hilo ni kuwa Messi na mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Los Angeles Lakers, Kobe Bryant wanashindana kupiga picha bora zaidi aina ya selfie. Tangazo linaanza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BOMU LAKUTWA PEMBEZONI MWA BARABARA JIJINI DAR ..JIONEE MWENYEWE HAPA

Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara y... thumbnail 1 summary


Bomu la kutupwa kwa mkono likiwa limechimbiwa chini katika makutano ya barabara ya Morogoro na Shekilango jijini Dar es Salaam jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAJAMBAZI WAMPIGA RISASI USONI MFANYABIASHARA WA KIKE NA KUMWIBIA MABEGI 2 YA FEDHA JIONI YA LEO HUKO KARIAKOO JIJINI DAR


Damu ya Mfanyabiashara huyo ikiwa imetapakaa katika gari lake baada ya kupigwa risasi na majambazi waliompora kiasi kikubwa cha fedha na kutoweka.
Mfanyabiashara mmoja (Jina Halikufahamika) Mwenye asili ya Asia ameshambuliwa na majabazi (majira ya saa 12 Kasoro

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: