September 01, 2015

Lowassa: Miaka 50 ya Kuteswa na CCM Imetosha Watanzania Msiogope Kufanya Mabadiliko

Lowassa Akihojiwa na Waandishi wa Habari Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo... thumbnail 1 summary
Lowassa Akihojiwa na Waandishi wa Habari
Mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema mwaka huu ni wa mabadiliko ili

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond Platnumz Anakupa Ujumbe Huu Kuhusu Elimu Uliyonayo.....Adai Hata Kama Huna Isikunyime Amani...Soma Hapa

The things that have been Most Valuable to me, i didn't learn in School..... Don't let your Education's level make you give up thumbnail 1 summary
The things that have been Most Valuable to me, i didn't learn in School..... Don't let your Education's level make you give up

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Chelsea yaendeleza utamaduni wake wa kumtoa Moses kwa mkopo, sasa tutamuona katika klabu hii…

Baada ya Song kujiunga na klabu ya West Ham United kwa mkopo wa muda mrefu, ni msimu wake wa pili kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo akitoke... thumbnail 1 summary
Baada ya Song kujiunga na klabu ya West Ham United kwa mkopo wa muda mrefu, ni msimu wake wa pili kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo akitokea FC Barcelona yaHispania, imethibitika kuwa winga wa kimataifa wa Nigeria Victor Moses

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Polisi Yakamata Majambazi 38 Yakiwa na silaha Nzito pamoja na Milioni 170......Majambazi hayo yanadaiwa na mafunzo ya Kijeshi

Kamanda Kova Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ... thumbnail 1 summary
Kamanda Kova
Jeshi la Polisi limewakamata watu 38 wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi ambao pia wamepatiwa mafunzo ya kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sitta Awashangaa UKAWA...Awapa Jibu Hili Kuhusu Ahadi Wanazosema Watafanya Wakati Serekali Tayari inazifanya

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta amesema serikali italifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) ili liweze kununua ndege nne na kuanza biash... thumbnail 1 summary
Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta amesema serikali italifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) ili liweze kununua ndege nne na kuanza biashara.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wanawake Wengi Wasomi au Wenye Kipato Kizuri Hawadumu Kwenye Mahusiano

Wadau leo nimeona tujadili hili suala ambalo watu wengi sana mitaani wamekuwa wakiamini hivyo kuwa wanawake wenye kipato kizuri ama wale wa... thumbnail 1 summary
Wadau leo nimeona tujadili hili suala ambalo watu wengi sana mitaani wamekuwa wakiamini hivyo kuwa wanawake wenye kipato kizuri ama wale walio na elimu nzuri, hasa wenye digrii ama zaidi ni vigumu sana kudumu katika ndoa ama mahusiano. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mr. Nice Reveals His Next Step after His Career Crashed and Burned In Kenya

Mr. Nice was the biggest artiste in East Africa circa 2003, but things went south when he visited South Africa. At Msanzi, Mr. Nice exp... thumbnail 1 summary


Mr. Nice was the biggest artiste in East Africa circa 2003, but things went south when he visited South Africa. At Msanzi, Mr. Nice experienced an alarming downward spiral that was attributed to alcoholism and hedonism.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HATIMAYE DR Slaa Yupo Tayari Kuongea Kilichomsibu Chadema Mpaka Kuacha Siasa..

Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa, kesho tarehe 1 Septemba 2015, atavunja ukimya kwa kuo... thumbnail 1 summary
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Dkt. Wilibrod Slaa, kesho tarehe 1 Septemba 2015, atavunja ukimya kwa kuongea na wananchi wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LOWASSA na ELIMU YA BURE CHUO KIKUU inawezekana Kwa Kufanya Yafuatayo

1.Elimu ya BURE inawezekana kwa kuachana na mbio za MWENGE za kila mwaka zinazogharimu Trillion 1.5 na zaidi 2.Elimu ya bure Inawez... thumbnail 1 summary


1.Elimu ya BURE inawezekana kwa kuachana na mbio za MWENGE za kila mwaka zinazogharimu Trillion 1.5 na zaidi

2.Elimu ya bure Inawezekana kwa SERIKALI YA LOWASSA ambayo imepanga kufuta MSAMAHA mirahaba

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM Kwa Sasa inakuwa ni Aibu Kugombania na Ukawa Sera na Zilizowashinda Miaka 53 ya Uhuru.

Unapomuona waziri wa uchukuzi akijibu Sera za UKAWA mtu makini anajiuliza maswali mengi sana. Kama mnampango wa kuboresha reli ya kati ... thumbnail 1 summary


Unapomuona waziri wa uchukuzi akijibu Sera za UKAWA mtu makini anajiuliza maswali mengi sana. Kama mnampango wa kuboresha reli ya kati iweje isiboreshwe miaka 10 ya awamu ya 4?, Air Tanzania imepitia kipindi kigumu miaka 15

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shilole Akaidi Adhabu ya Basata..CCM Yamtumia Kwenye Kampeni Zake....

A Shilole Jukwaani kampeni CCM Msanii Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole amekaidi adhabu aliyopewa na Baraza la Sanaa Tanzania ... thumbnail 1 summary
A

Shilole Jukwaani kampeni CCM
Msanii Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole amekaidi adhabu aliyopewa na Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) iliyomtaka kutoshiriki masuala ya sanaa ndani na nje ya nchi kwa mwaka mzima.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ujenzi wa Uwanja mpya wa Chelsea utafanana kitu hiki na Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam (Pichaz)

Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka 2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umek... thumbnail 1 summary
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imeonyesha muonekano wa uwanja wao mpya ambao hadi mwaka 2020 inaripotiwa ujenzi wa uwanja huo utakuwa umekamilika. Bado mashauriano yanaendelea kuhusiana na wakazi wa eneo husika utakapo jengwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Pichaz za baadhi ya mastaa waliowasili katika timu zao za taifa, Ronaldo, Depay na Sanchez wapo pia..

Wiki hii ni wiki ya mechi za kimataifa kwa upande wa bara la Ulaya wao timu zao za taifa zitakuwa na mechi za kuwania kufuzu kucheza mich... thumbnail 1 summary
Wiki hii ni wiki ya mechi za kimataifa kwa upande wa bara la Ulaya wao timu zao za taifa zitakuwa na mechi za kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro2016, ila kwa upande wa Afrika timu za taifa zitacheza michezo ya kuwania kufuzu katika michuano ya AFCON 2017.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Mtoto wa mchezaji bora wa dunia kutokea Brazil amejiunga na klabu hii ya Ureno….

Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo kati... thumbnail 1 summary
Mtoto wa mchezaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Rivaldinho Rivaldo ambaye anafuata nyayo za baba yake Rivaldo katika soka, amesajiliwa na klabu ya Boavista ya Ureno akitokea klabu ya Mogi Mirim ya kwao Brazil.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

VIDEO - Tyga na Kylie Jenner mapenzi motomoto ndani ya ‘Stimulated’

Tyga  na  Kylie Jenner  wamekuwa wakiweka headlines nyingi sana toka siku waliopigwa picha wako pamoja… maneno mengi yalisemwa juu ... thumbnail 1 summary
Tyga na Kylie Jenner wamekuwa wakiweka headlines nyingi sana toka siku waliopigwa picha wako pamoja… maneno mengi yalisemwa juu ya Tyga kutembea na msichana huyo lakini hayo yote haijawazuia wawili hao kuwa kwenye mahusiano.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Sababu ya kushindwa kusajiliwa De Gea Real Madrid na maamuzi ya klabu hiyo kwa FIFA viko hapa…

Golikipa wa kimataifa wa Hispania ambaye anaichezea klabu ya Manchester UnitedDavid De Gea, alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Real... thumbnail 1 summary
Golikipa wa kimataifa wa Hispania ambaye anaichezea klabu ya Manchester UnitedDavid De Gea, alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Real Madrid yaHispania, hivyo kila kitu kilikuwa kimesha kuwa sawa ikiwemo maslahi binafsi ya mchezaji.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Video yenye maneno yote ya Zitto Kabwe siku ya kwanza ya kampeni za ACT Wazalendo

Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania  ACT WAZALENDO  Zitto Kabwe alikua miongoni mwa waliosimama kuzungumza kwenye siku ya ... thumbnail 1 summary
Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania ACT WAZALENDO Zitto Kabwealikua miongoni mwa waliosimama kuzungumza kwenye siku ya kwanza ya kampeni za chama hicho Mbagala Dar es salaam ambapo mgombea Urais wao

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ulimis video ya Sauti Sol ‘shake yo bam bam’ ??!! nimeirudisha tena hapa…

Sauti Sol  ni kundi la muziki kutokea Kenya ambalo limezichukua headlines nzito Tanzania na mara ya mwisho ilikua ni kupitia  hit  ... thumbnail 1 summary
Sauti Sol ni kundi la muziki kutokea Kenya ambalo limezichukua headlines nzito Tanzania na mara ya mwisho ilikua ni kupitia hit single ya sura yako lakini time hii wametuletea video ambayo bado ni mpyampya ilitoka Aug 19 2015 na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UKAWA wamtikisa SITTA, Sheria ya mitandao, NCHIMBI, Mauaji ya kutisha Arusha,Gari la Polisi..StoriKubwa

Baada ya kimya cha zaidi ya mwezi mmoja na kutoonekana hadharani, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa anatarajia kuzungumza na vyom... thumbnail 1 summary
Baada ya kimya cha zaidi ya mwezi mmoja na kutoonekana hadharani, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari leo nane mchana jijini hapa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA UNA ROHO YA KIBINADAMU USIPUUZIE NA UNA MOYO WA HURUMA, UTASOMA HAPA.

Huyu ni Binti wa miaka 19 ambaye aliacha shule baada ya baba na mama kufa katika ajali mbaya na ndugu kutompa msaada aliamua kuondoka nyu... thumbnail 1 summary
Huyu ni Binti wa miaka 19 ambaye aliacha shule baada ya baba na mama kufa katika ajali mbaya na ndugu kutompa msaada aliamua kuondoka nyumbani na kwenda kuishi na kijana mmoja. Miaka 10 sasa amekuwa anakaa na rafiki yake wa kiume avutaye bangi katika ghetto.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: