August 27, 2014

PASTOR MYAMBA WA BONGO MOVIE APATA AJALI

Taswira baada ya ajali hiyo. STAA wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepa... thumbnail 1 summary

Taswira baada ya ajali hiyo.
STAA wa filamu za Kibongo, anayepatia zaidi kuigiza kama Mchungaji, Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ amepata ajali baada ya gari

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND KATIKA TUZO NYINGINE MAREKANI SOMA HAPA

Neema imezidi kumwangukia Diamond msanii nyota kutoka nchini Tanzania baada ya wimbo wake Mdogo Mdogo kuwa nominated kwenye tuzo za kima... thumbnail 1 summary
Neema imezidi kumwangukia Diamond msanii nyota kutoka nchini Tanzania baada ya wimbo wake Mdogo Mdogo kuwa nominated kwenye tuzo za kimataifa za IRAWMA nchini Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SURA NA SAUTI YA WEMA NDIO INANIFANYA NIWESHABIKI YAKE NAMBA MOJA HADI TANO WENGINE WOTE WANAANZIA SITA!!!

Hi Admin, Kwakifupi mimi ni kijana (ME) napenda kuelezea hisia zangu za ushabiki wa kumpenda mwanadada Wema Wasepetu...Toka nipo O L... thumbnail 1 summary


Hi Admin, Kwakifupi mimi ni kijana (ME) napenda kuelezea hisia zangu za ushabiki wa kumpenda mwanadada Wema Wasepetu...Toka nipo O Level hadi sasa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SAKATA LA FLORA MBASHA KUWA MJAMZITO, GWAJIMA AHUSISHWA, MWENYEWE AFUNGUKA HIVI

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenz... thumbnail 1 summary

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

EBOLA BADO TISHIO AFRIKA MAGHARIBI

TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO), inaonyesha jinsi gonjwa hatari la Ebola linavyozidi kuangamiza wanan... thumbnail 1 summary

TAARIFA iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO), inaonyesha jinsi gonjwa hatari la Ebola linavyozidi kuangamiza wananchi katika eneo hilo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

INADAIWA BAADA YA KAJALA KUTEMANA NA PETIT MAN KAHAMIA KWA MSANII HUYU WA BONGOFLAVA SOMA HAPA

Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay….#Beautiful thumbnail 1 summary

Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay....#Beautiful

Hii ni post aliyoiweka Quick aliyoiweka kwenye instagram yake na kuandika >>> Ma gal kay kay….#Beautiful

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ALIYELAWITIWA NA MWANAUME MWENZIE BAADA YA KUFUMANIWA AJIUA, MWENYE MKE AKAMATWA NA POLISI SOMA ZAIDI

Yule baba aliyelawitiwa bila kinga na jamaa wawili mwenye mke na rafiki baada yakufumaniwa juzi Mwananyamala Jijini Dar akiwa na... thumbnail 1 summary

Yule baba aliyelawitiwa bila kinga na jamaa wawili mwenye mke na rafiki baada yakufumaniwa juzi Mwananyamala Jijini Dar akiwa na mke wa jamaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HAYA NDO MAMBO USIYOYAFAHAMU KUMHUSU HAMISA MOBETO, SOMA HAPA

Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling il... thumbnail 1 summary


Hamisa-Mobeto-slide--vibe-co-tzHamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la  Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH  Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BAADA YA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA, NAMELESS AFICHUA SIRI ITAKAYOKUACHA MDOMO WAZI.

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii maarufu tena mkongwe aliyewahi ku-make headlines na single yake ya sinzia, nameless ameamua kuvunja uk... thumbnail 1 summary

http://sphotos-f.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-snc7/487528_2443936913782_135194057_n.jpgBaada ya kimya cha muda mrefu msanii maarufu tena mkongwe aliyewahi ku-make headlines na single yake ya sinzia, nameless ameamua kuvunja ukimya kwa mara nyingine kwa kuachia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

"SYLVESTER STALLONE (RAMBO) AFARIKI BAADA YA AJALI MBAYA YA GARI" UVUMI WAENEA KWA HARAKA MIITANDAONI

Muigizaji wa the  "Expendables 3" Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao wamekuwa ni waathirika wa kuzus... thumbnail 1 summary
Muigizaji wa the  "Expendables 3" Sylvester Stallone amekuwa mmoja wa mastaa wa Hollywood ambao wamekuwa ni waathirika wa kuzushiwa kifo. Tetesi zilizosambaa kama moto unaounguza pori/ msitu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda thumbnail 1 summary
STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

YOUNG JEEZY AKUTWA NA AK-47

Rappa Jay Wayne Jenkins 'Young Jeezy'. MWANAMUZIKI wa Hip hop nchini Marekani, Jay Wayne Jenkins 'Young Jeezy' anashita... thumbnail 1 summary
Rappa Jay Wayne Jenkins 'Young Jeezy'.
MWANAMUZIKI wa Hip hop nchini Marekani, Jay Wayne Jenkins 'Young Jeezy' anashitakiwa kwa kukutwa na silaha ya kivita aina ya AK-47.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA ZA YULE MCHAWI ANAYEMEZA MAPANGA, ALIYEKATAZWA KUINGIA DUBAI

Rolf Buchholz, Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni akiwa amejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa k... thumbnail 1 summary




Rolf Buchholz, Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni akiwa amejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa kuingia Dubai kutokana na sababu za kiusalama.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AJALI YA LORI NA GARI DOGO YATOKEA JIJINI DAR, TAZAMA PICHA HAPA ZIPO

Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla. thumbnail 1 summary



Lori likiwa limepanda kwenye tuta la Barabara ya Sam Nujoma  baada ya kulikwepa gari dogo aina ya Toyota Corrolla.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAAMBIWA HIZI NDO NYIMBO 10 KALI ZAID NA ZENYE UJUMBE ZILIZOWAHI KUHIT TANGU BONGOFLAVA IANZE, INGIA HAPA

Muziki wa bongofleva umefanya mapinduzi sana kuanzia mwanzoni mwa miaka 2000 mpaka sasa, zifuatazo ndizo nyimbo bora za bongofleva zenye uj... thumbnail 1 summary

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2012/10/527577_279570612160791_1859187862_n.jpgMuziki wa bongofleva umefanya mapinduzi sana kuanzia mwanzoni mwa miaka 2000 mpaka sasa, zifuatazo ndizo nyimbo bora za bongofleva zenye ujumbe ambazo hupaswi kuacha kuzisikiliza...

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MSANII AKOMBA VITU KWA BWANA’KE

MSANII  wa filamu Bongo, Fatma Leonard wiki iliyopita alinaswa na paparazi wetu akihamisha vitu vya ndani nyumbani kwa mpenzi wake huko U... thumbnail 1 summary
MSANII wa filamu Bongo, Fatma Leonard wiki iliyopita alinaswa na paparazi wetu akihamisha vitu vya ndani nyumbani kwa mpenzi wake huko Ubungo Makuburi jijini Dar es Salaam akidai kuchoshwa na maisha bila ndoa. Hata hivyo,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE

MUIGIZAJI  Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz, amefunguka kuwa mume wake, Gadner Dibibi anapenda mwanamke mwenye mwili ... thumbnail 1 summary
MUIGIZAJI Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz, amefunguka kuwa mume wake, Gadner Dibibi anapenda mwanamke mwenye mwili mkubwa yaani bonge.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SIRI SI SIRI YAIBUKA MAMBO MENGINE VANESSA, JUX YADAIWA NI WAPENZI

MBONGO -Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vane... thumbnail 1 summary
MBONGO-Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanadaiwa kuwa ni wapenzi, Risasi Jumatano limeinyaka.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

GARI LA LULU LAIBUA MAZITO POLISI WAPELELEZA, LULU AOMBA APOTEZEWE

MAKUBWA!  Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia ... thumbnail 1 summary
MAKUBWA! Mambo yamekuwa mambo, kadi ya gari jipya la staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ imeibua mazito kufuatia Jeshi la Polisi Dar es Salaam kubaini kuwa namba ya Sanduku La Posta (SLP) iliyoandikwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Jinsi mkurugenzi wa Vodacom Tanzania alivyomwagiwa maji. #BongoIce

Kampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-08-27 at 7.36.01 AMKampuni ya Vodacom Tanzania imekuja na Fistula Ice Bucket Challenge ‘#BongoIce’ yenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya akina mama wajawazito wenye ugonjwa wa Fistula.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Official: Angel Di Maria ni mchezaji mpya wa Man United na kaivunja hii rekodi

Ishu ya usajili wa mchezaji wa kiargentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United kutokea Real Madrid imemalizika rasmi usiku w... thumbnail 1 summary
IMG_6749.JPGIshu ya usajili wa mchezaji wa kiargentina Angel Di Maria kwenda klabu ya Manchester United kutokea Real Madrid imemalizika rasmi usiku wa August 26 2014 baada ya Manchester United

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ni zamu ya Kajala na Quick Rocker kwenye headlines? #LoVe

Hii ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika >>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah K... thumbnail 1 summary
#LatePost...Paula's graduation. @new_kajala @lamataleah
Hii ni post ya Quick Rocka wiki nne zilizopita ambapo aliandika >>> #LatePost…Paula’s graduation. @new_kajala @lamataleah
Kama zitakua ni stori za kweli inaweza ikawa ni uhusiano mwingine unaowahusu Bongo Movie na Bongo Fleva na kujiunga kwenye list ya uhusiano wa kimapenzi kutoka kwenye viwanda

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Usher na Nicki Minaj walivyofanya kazi pamoja hiki ndicho kilichotokea

New video kutoka kwa Usher akiwa na Nicki Minaj na wimbo unaitwa She Came To Give It thumbnail 1 summary

usher
New video kutoka kwa Usher akiwa na Nicki Minaj na wimbo unaitwa She Came To Give It

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Official: Everton yamsaini Samuel Eto’o lakini kuna kulichomsononesha.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na Chelsea Samuel Eto’o amekamilisha usajili wa kujiunga na Klabu ya Everton pamoja na kw... thumbnail 1 summary
IMG_6758.JPGMshambuliaji wa zamani wa klabu ya FC Barcelona na Chelsea Samuel Eto’o amekamilisha usajili wa kujiunga na Klabu ya Everton pamoja na kwamba alikuwa akikaribia kujiunga na Liverpool.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

BUNGE LAJIGEUZA TUME YA WARIOBA.....LAPOKEA MAONI YA MAKUNDI MBALIMBALI, KATIBU ATETEA.....WARIOBA APONDA

Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wa... thumbnail 1 summary

Kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kukusanya maoni ya makundi na wananchi mbalimbali, kimepokewa kwa hisia tofauti, baadhi ya wasomi wakisema ni kinyume cha sheria na kuonyesha kutapatapa huku Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: