August 27, 2014

JACK PENTZEL: MUME WANGU ANAPENDA UBONGE

MUIGIZAJI  Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz, amefunguka kuwa mume wake, Gadner Dibibi anapenda mwanamke mwenye mwili ... thumbnail 1 summary
MUIGIZAJI Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz, amefunguka kuwa mume wake, Gadner Dibibi anapenda mwanamke mwenye mwili mkubwa yaani bonge.

Muigizaji Jacqueline Pentezel maarufu kwa jina la Jack wa Chuz
Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Jack alisema isingekuwa kuilinda ndoa, asingekubali auachie mwili wake aonekane bonge nyanya kiasi hicho alichonacho hivi sasa.
Jacqueline Pentezel akiwa na mume wake, Gadner Dibibi 

“Napenda sana kumsikiliza mume wangu, chochote anachokihitaji nitakifanya hata kama kipo nje ya uwezo wangu, nitajitahidi tu. Sasa alivyoniambia kuwa anapenda mwili wangu uonekane wenye supu supu na minofu mingi nikakubali ndiyo maana nimejiachia” alisema Jack.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: