August 10, 2016

Majanga tena kwenye show ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa, 11 walazwa

Ziara ya ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa imeendelea kukumbwa na majanga. Jumanne hii, watu 50 wengi wao wakiwa vijana wenye umri mdogo, wa... thumbnail 1 summary
Ziara ya ya Snoop Dogg na Wiz Khalifa imeendelea kukumbwa na majanga.
Jumanne hii, watu 50 wengi wao wakiwa vijana wenye umri mdogo, walilewa chakali kiasi cha kuhatarisha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Bifu lazuka kati ya The Rock na Vin Diesel kwenye utengenezaji wa Fast 8

Wiki hii The Rock aliwashtua mashabiki wake kwa kuandika kwenye Instagram kuwa baadhi ya waigizaji wenzake wa kiume kwenye filamu ya Fast 8... thumbnail 1 summary
Wiki hii The Rock aliwashtua mashabiki wake kwa kuandika kwenye Instagram kuwa baadhi ya waigizaji wenzake wa kiume kwenye filamu ya Fast 8 wana mambo ya kipuuzi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Davido arekodi na producer wa Justin Bieber

Davido amethibitisha kufanya kazi na mtayarishaji mkubwa wa muziki kutoka nchini Ufaransa, Dj Snake. Dj Snake ni mmoja kati ya watayari... thumbnail 1 summary
Davido amethibitisha kufanya kazi na mtayarishaji mkubwa wa muziki kutoka nchini Ufaransa, Dj Snake.
Dj Snake ni mmoja kati ya watayarishaji wa muziki maarufu duniani na tayari ameshafanya kazi na mastaa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond atoa Tsh 20M kwa ‘GSM’ kusaidia jitihada za upasuaji wa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’ kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa msaada wa tsh 20 Milioni kwa ‘GSM Foundation’ kwa ajili ya kusaidia jitihada za taasisi hiyo ya kutoa huduma ya upasuaji wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Mastaa wapya 6 watakaoigiza kwenye Empire

Series ya Empire ambayo imekuwa na mashabiki wengi na miongoni mwa show za runinga zinazotazamwa zaidi kwa sasa ulimwenguni, imetangaza uji... thumbnail 1 summary
Series ya Empire ambayo imekuwa na mashabiki wengi na miongoni mwa show za runinga zinazotazamwa zaidi kwa sasa ulimwenguni, imetangaza ujio wa msimu wa tatu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ninakuja na mradi mkubwa wa fashion – Wolper

Jacqueline Wolper amesema anakuja na mradi mkubwa wa fashion huku akidai kuwa ndio kitu anachokipenda zaidi katika maisha yake. thumbnail 1 summary
Jacqueline Wolper amesema anakuja na mradi mkubwa wa fashion huku akidai kuwa ndio kitu anachokipenda zaidi katika maisha yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Tyga matatani,jaji aamrisha akamatwe kwa kukacha mahakamani

​Tyga yupo matatani. Kwa mujibu wa TMZ, Rapper huyo alishindwa kutokea mahakamani Jumanne hii ambako alikuwa thumbnail 1 summary
​Tyga yupo matatani.
Kwa mujibu wa TMZ, Rapper huyo alishindwa kutokea mahakamani Jumanne hii ambako alikuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Waziri wa Magufuli ataka alipwe bilioni moja na gazeti la Mseto

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilin... thumbnail 1 summary
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani amelitaka gazeti la Mseto kumuomba radhi na kumlipa fidia ya shilingi bilioni moja kwa kosa la

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Linex aeleza kinachokwamisha kufanyika kwa video ya wimbo ‘Hewala’ alioshirikiana na Bella

Msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda amefunguka kwa kusema kuwa wimbo ‘Hewala’ haujafanya vizuri zaidi kutokana na kuchelewa kwa video ya ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki Linex Sunday Mjeda amefunguka kwa kusema kuwa wimbo ‘Hewala’ haujafanya vizuri zaidi kutokana na kuchelewa kwa video ya wimbo huo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Real Madrid watwaa Ubingwa wa Super Cup dhidi ya Sevilla

Timu ya Real Madrid wametwaa taji la Super Cup ya UEAFA usiku wa August 9 2016 katika Uwanja wa Lerkendal mjini Rosenborg, Norway baada ya ... thumbnail 1 summary
Timu ya Real Madrid wametwaa taji la Super Cup ya UEAFA usiku wa August 9 2016 katika Uwanja wa Lerkendal mjini Rosenborg, Norway baada ya kuwafunga kwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Kidogo nachopata kinatosha kumhudumia Wolper wangu – Harmonize

Msanii wa muziki wa label ya WCB, Harmonize amefunguka kwa kusema kuwa kidogo anachokipata katika muziki wake lazima ahakikishe anakula na ... thumbnail 1 summary
Msanii wa muziki wa label ya WCB, Harmonize amefunguka kwa kusema kuwa kidogo anachokipata katika muziki wake lazima ahakikishe anakula na baby wake ili kulinda status yake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Q Chief afanya video na Justin Campos, wimbo unaitwa ‘Sungura’

Baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa, Q Chief amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula karibu na TV zao kungojea video yake mpya. thumbnail 1 summary
Baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa, Q Chief amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula karibu na TV zao kungojea video yake mpya.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wahu and Nameless warm message as their child turns 3

Seems like Princess Tiffah is not he only celeb baby having her birthday this month. Nyakio who is Wahu’s and Nameless last born daughter s... thumbnail 1 summary
Seems like Princess Tiffah is not he only celeb baby having her birthday this month. Nyakio who is Wahu’s and Nameless last born daughter share a post wishing her bubbly child a happy birthday.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Drama baada ya uume wa 50 Cent kuonekana ‘live’ kwenye episode ya tamthilia ya Power

50 Cent amevuliwa nguo kwenye tamthilia ya Power baada ya uume wake kuonekana kwenye episode mpya na amechukia. thumbnail 1 summary
50 Cent amevuliwa nguo kwenye tamthilia ya Power baada ya uume wake kuonekana kwenye episode mpya na amechukia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Picha: Paul Pogba akabidhiwa jezi namba 6

Baada ya kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba, am... thumbnail 1 summary
Baada ya kusajiliwa na Manchester United kutoka Juventus ya Italia kwa ada ya paundi milioni 89 kwa mkataba wa miaka mitano, Paul Pogba, amekabidhiwa jezi namba 6 ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Muigizaji chipukizi wa Bongo aeleza maisha ya boarding yalivyomfanya awe msagaji

Kuna wimbi kubwa la wasichana wanaojihusisha na vitendo vya usagaji. Malkiz aka Kizz Kiduku ni msanii chipukizi wa filamu Tanzania anayef... thumbnail 1 summary
Kuna wimbi kubwa la wasichana wanaojihusisha na vitendo vya usagaji.
Malkiz aka Kizz Kiduku ni msanii chipukizi wa filamu Tanzania anayefahamika wazi kujihusisha na vitendo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Diamond: Muziki si kitu cha lazima kwangu

Diamond amesema kuwa hategemei muziki kuendesha maisha yake. Hit maker huyo wa wimbo wa ‘Kidogo’ hivi karibuni kupitia kipindi maalum cha... thumbnail 1 summary
Diamond amesema kuwa hategemei muziki kuendesha maisha yake.
Hit maker huyo wa wimbo wa ‘Kidogo’ hivi karibuni kupitia kipindi maalum cha kituo cha runinga cha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Drake afunguka kumtamani Rihanna

Penzi ni kidonda ukiwaza utakonda. Rapper wa Canada, Drake ameonyesha kutamani kuwa na mahusiano na Rihanna. thumbnail 1 summary
Penzi ni kidonda ukiwaza utakonda. Rapper wa Canada, Drake ameonyesha kutamani kuwa na mahusiano na Rihanna.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

The Rock awachana waigizaji wenzake wa kiume wa Fast and Furious

Muigizaji wa Hollywood anayelipwa fedha nyingi zaidi kuliko wote kwa sasa, Dwayne ‘The Rock’ Johnson hajafurahishwa na baadhi ya waigizaji ... thumbnail 1 summary
Muigizaji wa Hollywood anayelipwa fedha nyingi zaidi kuliko wote kwa sasa, Dwayne ‘The Rock’ Johnson hajafurahishwa na baadhi ya waigizaji wa kiume wa filamu ya Fast and Furious 8.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: