July 22, 2014

WALIMU WENYE DIGRII NCHINI MBIONI KUFUNDISHA SHULE ZA MSINGI.

RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi hu... thumbnail 1 summary

kikwete
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza nia ya Serikali kutumia wahitimu wake wa vyuo vikuu, kufundisha shule za msingi huku akiwaweka sawa kwa kuwaambia kufanya hivyo si kuwashushia hadhi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PICHA TATU KALI ZA MJI MKUU, HII LEO TUKO RWANDA, TAZZAMA 3 KALI ZA RWANDA

leo katika picha tatu kali za mji, tupo mji mkuu wa rwanda ambao ni kigali na hizi ndizo sehemu ambazo kama umefika ... thumbnail 1 summary

leo katika picha tatu kali za mji, tupo mji mkuu wa rwanda ambao ni kigali na hizi ndizo sehemu ambazo kama umefika rwanda na hujaziona basi bado tunahesabu

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JOHARI AFIWA NA BABA YAKE MDOGO

Msanii Blandina Chagula 'Johari' baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake mdogo Mzee Clement Chagula. thumbnail 1 summary

Msanii Blandina Chagula 'Johari' baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake mdogo Mzee Clement Chagula.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 WASANI NYIMBO ZA INJILI KUSHUSHA UPAKO

Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza Injili kupitia karama ya uimbaji, Upendo Nkone, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, M... thumbnail 1 summary
Watumishi wa Mungu wanaofanya kazi ya kusambaza Injili kupitia karama ya uimbaji, Upendo Nkone, Ambwene Mwasongwe, Angela, Paul Clement, Martha Mwaipaja na wengine wengi wanatarajiwa kushusha upako wa nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa, Agosti 8, 2014 katika Tamasha la Matumaini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

STAR MWINGINE KUTOKA TANZANIA AMBAYE PAGE YA FACEBOOK IMEKUWA VERIFIED

ivi sasa mtu maarufu ambaye page yake ya facebook imekuwa verified ni mchezaji wa kikapu kwenye timu ya Oklahoma City Thunder... thumbnail 1 summary
hasheeeeeemivi sasa mtu maarufu ambaye page yake ya facebook imekuwa verified ni mchezaji wa kikapu kwenye timu ya Oklahoma City Thunders “Hasheem Thabeet”.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUMEKUCHA ZIARA YA REAL MADRID NCHINI YAIVA!!

  KUMEKUCHA. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuhusu ziara ya kikosi cha wachezaji nyota waliowahi kutamba Rea... thumbnail 1 summary


 
KUMEKUCHA. Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kuhusu ziara ya kikosi cha wachezaji nyota waliowahi kutamba Real Madrid ya Hispania, maarufu kama Real Madird Legends ambao watazuru nchini mwezi ujao.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UGOMVI WA DIAMOND NA ALIKIBA OMMMY DIMPOZI UNA KUHUSU NINI, AU UNATAFUTA KIKI

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aon... thumbnail 1 summary

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AIBU HII, JINI KABULA ALANA DENDA NA DEMU MWENZAKE MCHANA KWEUPEEEE

  MASTAA ‘tega nikutege’ katika Kiwanda cha Filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na shostito wake, Jacqueline Pentzel ‘Jack wa ... thumbnail 1 summary

MASTAA ‘tega nikutege’ katika Kiwanda cha Filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na shostito wake, Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’ wamebambwa wakinyonyana ndimi, Amani lina ushahidi mkononi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA ORODHA YA WATU MAARUFU AMBAO WAPENZI WAO MPAKA SASA HAWAJULIKANI

  1. Martin Kadinda  Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Hu... thumbnail 1 summary

1. Martin Kadinda 
Ni mwanamitindo maarufu apa bongo, na anayefanya vizuri kwenye tasnia hiyo, pia ni manager wa wema sepetu. Huyu amekuwa akipiga

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

CCM, CHADEMA Wamgombea Dude

Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa Kikumba 'Dude' amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyam... thumbnail 1 summary

Baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge, staa wa sinema Bongo, Kulwa
Kikumba 'Dude' amesema anapata wakati mgumu kwa kuwa vyama vikubwa vya
siasa vinamgombea..Akizungumza na mwanahabari wetu, Dude alisema kuwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Shinda milioni moja cash kutoka kwa Diamond kwa kufanya hivi

Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo... thumbnail 1 summary

dddds
Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAHABA NIUE UKINICHEZEA NAKUUA WEWE: MKE AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwag... thumbnail 1 summary
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwagia maji ya moto mumewe sehemu za siri na tumboni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, tukio lililotokea Julai 16 mwaka huu, huko Kitunda.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KISA KIZIMA CHA MAUAJI YA YULE MTOTO NA HOUSI BOI KULA UBONGO WA MTOTO NI HATAREEEE

YALE mauaji ya kutisha ya mtoto Francis Fortunatus Urassa (9) aliyeuawa kwa kucharangwa mapanga  kichwani hadi ubongo kutawanyika na kuli... thumbnail 1 summary
YALE mauaji ya kutisha ya mtoto Francis Fortunatus Urassa (9) aliyeuawa kwa kucharangwa mapanga  kichwani hadi ubongo kutawanyika na kuliwa na mfanyakazi wa ndani ‘hausiboi’, Lawrence Flavian (22) ambaye naye alijikata uume pia akaula, akafa, bado yanatikisa nchi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASAWE AKIMBILIA DUBAI BAADA YA KUWATOROKA MAPOLISI BONGO STORI KAMILI SOMA HAPA

UONGOZZI mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Ernest Mangu umesema unafuatilia kwa karibu nyendo za mfanyabiashara, Alex Massawe... thumbnail 1 summary
UONGOZZI mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Ernest Mangu umesema unafuatilia kwa karibu nyendo za mfanyabiashara, Alex Massawe ili akamatwe na kumrejesha Bongo kukabiliana na kesi ya mauaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

JACK WOLPER NAE AAMUA KUTOKA NA DOGODOGO KAMA MWENZIE SHILOLE

Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba kat... thumbnail 1 summary


Modo wa Tanzania anayejulikana kwa jina la Calisah ambaye amewahi kushiriki Mr.Tanzania 2013-2014 ameandika picha za kimahaba katika picha

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya filamu kumalizika,sikiliza alichokifanya Hemed PHD...SOMA ZAIDI

Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa juu ya kitu alichosema si kizuri alich... thumbnail 1 summary

hmd

Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa juu ya kitu alichosema si kizuri alichofanyiwa na Hemed

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: