July 22, 2014

UGOMVI WA DIAMOND NA ALIKIBA OMMMY DIMPOZI UNA KUHUSU NINI, AU UNATAFUTA KIKI

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aon... thumbnail 1 summary

Kwa Kile Kinachoonekana kuwa kuna Beef kati ya Diamond na Ali Kiba ya Kimuziki , Baada ya Ali Kiba Kuojiwa na Kusema Kuwa hata Kaa Aongee na Diamond..Diamond Ameandika Kwenye Insta Maneno Ambayo yanaonekana ni Jibu lake kwa Ali Kiba, Mchana huu tena Ommy dimpoz amepost Picha hizo apo chini akiashiria kuingila Ugomvi ama Bifu linaloendelea kati ya mahasimu hawa wawili,. Sasa swali ni je Ugomvi huu Ommy unamhusu vipi au ndio kuchochea ugomvi badala ya Kuhusuluisha... Wacha Movie Iendeleeeee

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: