April 01, 2014

INAKUHUSU...NJIA ZAIDI YA 60 ZA DALADALA DAR KUSITISHWA...SOMA ZAIDI HAPA...

Njia 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Sal... thumbnail 1 summary

Njia 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART). 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HEMEDY PHD AMTANGAZA MKE WAKE MTARAJIWA

“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake a... thumbnail 1 summary


“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HII NDIYO GARI AINA YA HUMMER ANAYOMILIKI WASTARA.

Kumekuwa na kamtindo ka wasanii wetu hapa TZ thumbnail 1 summary




Kumekuwa na kamtindo ka wasanii wetu hapa TZ

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HILI NDO JUMBA LA KIFAHARI WANALOISH JAY-Z, BEYONCE NA MTOTO WAO.

  HOUSE OF THE DAY: Jay-Z And Beyoncé Reportedly Checked Out This $25 Million East Hampton MansionMegan WillettJan. 30, 2014, 5:45 PM 151 thumbnail 1 summary

 

HOUSE OF THE DAY: Jay-Z And Beyoncé Reportedly Checked Out This $25 Million East Hampton MansionMegan WillettJan. 30, 2014, 5:45 PM 151

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

SHOCKED...!!WATU 6 WAUAWA KWA MILIPUKO NAIROBI...

Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kut... thumbnail 1 summary

Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza.
WATU sita wanadaiwa kupoteza maisha wakati 10 wakijeruhiwa baada ya milipuko miwili kutokea eneo la  Eastleigh jijini Nairobi, Kenya jana usiku.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MCHUNGAJI MWINGIRA NA MWANAMKE ALIYEZAA NAYE WABURUZWA MAHAKAMANI NA MZUNGU...!SOMA ZAIDI HAPA..

NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi thumbnail 1 summary


NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HALI NI TETE DODOMA...BUNGE MAALUMU LA KATIBA LAVUNJWA... SOMA ZAIDI HAPA

Lango Kuu la kuingilia katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Ukimya mkubwa umetanda kwenye viwanja vya Bunge kwa wajumbe thumbnail 1 summary

Lango Kuu la kuingilia katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Ukimya mkubwa umetanda kwenye viwanja vya Bunge kwa wajumbe

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU KATIKA SKENDO YA KUPORA BWANA WA MTU

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, thumbnail 1 summary

E LIZABETH Michael ‘Lulu’ anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KUHUSU TUKIO LA WANA NDUGU 12 KUPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI YA BARABARANI WAKIENDA MSIBANI HUKO KILIMANJARO

Lori la mizigo aina ya Fusso likiwa limegongana na  gari ndogo aina ya Toyota Hilux Pick Up katika eneo la Hedaru, thumbnail 1 summary


Lori la mizigo aina ya Fusso likiwa limegongana na  gari ndogo aina ya Toyota Hilux Pick Up katika eneo la Hedaru,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAJALA APANGUA SKENDO YA KUJIUZA

Stori: Imelda Mtema UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja thumbnail 1 summary



Stori: Imelda Mtema

UZUSHI! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND AKIWA NDANI YA RADIO KUBWA NIGERIA BEAT 99.9 FM KWA MAHAOJIANO...

Baada ya Wimbo wa number One kumpa chat kubwa Nigeria na Africa kwa ujumla ..leo Radio kubwa kuliko zote Nigeria Beat thumbnail 1 summary

Baada ya Wimbo wa number One kumpa chat kubwa Nigeria na Africa kwa ujumla ..leo Radio kubwa kuliko zote Nigeria Beat

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TREY SONGZ AIKANA TWEET ALIYOANDIKA NA KUSEMA YEYE NI SHOGA

March 25, ilisambaa picha ya tweet inayoonesha kuwa... thumbnail 1 summary











































March 25, ilisambaa picha ya tweet inayoonesha kuwa wamei-screenshot kutoka kwenye akaunti ya mwimbaji wa R&B, Trey Songz na kuonesha amejitangaza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TREY SONGZ AIKANA TWEET ALIYOANDIKA NA KUSEMA YEYE NI SHOGA

March 25, ilisambaa picha ya tweet inayoonesha kuwa... thumbnail 1 summary











































March 25, ilisambaa picha ya tweet inayoonesha kuwa wamei-screenshot kutoka kwenye akaunti ya mwimbaji wa R&B, Trey Songz na kuonesha amejitangaza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ANGALIA VIDEO JINSI REMIX YA WIMBO WA NUMBER 1 ULIVYOKUWA UNATENGENEZWA NA TUDDY

Angalia 'My number One Remix' 'Diamond' akiwa na msanii wa Nigeria 'Davido' jinsi wanavyoitengeneza kwenye stud... thumbnail 1 summary


Angalia 'My number One Remix' 'Diamond' akiwa na msanii wa Nigeria 'Davido' jinsi wanavyoitengeneza kwenye studio za Ngoma Records chini ya producer Tuddy Thomas.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MVUA YAVUNJA NYUMBA NA GARI LA BABU AYUBU

Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa 28 March 2014 imeleta maafa maeneo Kimara na Kuvunja Nyumba ya msanii wa Sauti na Muzi... thumbnail 1 summary

Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia siku ya Ijumaa 28 March 2014 imeleta maafa maeneo Kimara na Kuvunja Nyumba ya msanii wa Sauti na Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Babu Ayubu, yeye mwenyewe anasema siku hiyo alirudi saa saba usiku na kujifungia ndani kwake

lakini ilipofika mida ya saa kumi usiku akaskia kishindo Puup kushusha mguu wake kutoka kitandani akaona maji yapo kimo cha ugoko wake akajaribu kufungua mlango ukawa haufunguki kumbe ukuta ulikua umeangukia mlangoni na kuzuia usifunguke ndipo alipopiga makelele kwa majirani, wakafika na kumpa msaada lakini alipotoka nje akakuta gari lake limepondwa na matofali 1200, Babu anasema Gari hilo haliwezi tena kukaa barabarani so itabidi auze kwenye vyuma chakavu na kuhusu kulala amesema atalala katika nyumba yake nyingine kwasababu alikua amejenga nyumba tatu katika eneo moja na iliyoathirika ni moja tu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PROF ISSA SHIVJI NA UBAKAJI WA MATAKWA YA UMMA KWENYE MUUNDO WA MUUNGANO

Sijawahi kufundishwa na Profesa huyu anaeishi Amerika akighani sheria zake katika uga wa Pwani ya Azania, nimjenzi mzuri thumbnail 1 summary

Sijawahi kufundishwa na Profesa huyu anaeishi Amerika akighani sheria zake katika uga wa Pwani ya Azania, nimjenzi mzuri

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: