December 29, 2014

DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA

Peter Msechu akiwa amebeba tuzo ya Diamond Platnumz. thumbnail 1 summary
Peter Msechu akiwa amebeba tuzo ya Diamond Platnumz.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

FULL TIME: TOTTENHAM HOTSPUR 0-0 MANCHESTER UNITED

Robin van Persie wa Manchester United akijaribu kufunga bao lililookolewa na kipa Hugo Lloris wa Spurs. thumbnail 1 summary
Robin van Persie wa Manchester United akijaribu kufunga bao lililookolewa na kipa Hugo Lloris wa Spurs.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Torres hatua moja zaidi Madrid.

Siku za Fernando Torres kutambulishwa kama mshambuliaji wa Ac Milan na Chelsea zinazidi kukaribia kufikia mwisho baada ya usajili wa mc... thumbnail 1 summary

torres

Siku za Fernando Torres kutambulishwa kama mshambuliaji wa Ac Milan na Chelsea zinazidi kukaribia kufikia mwisho baada ya usajili wa mchezaji huyo ndani ya timu yake ya zamani ya Atletico Madrid kukamilika .

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 28, 2014

Movie inaendelea… Chris Brown na Karrueche Christmas kwao ilikuwa hivi…

Movie bado inaendelea baada ya  ile couple isiyoishiwa visa na vituko kati ya mwimbaji Chris Brown  na mpenzi wake  Karrueche Tran , kuib... thumbnail 1 summary
Chris & CheMovie bado inaendelea baada ya  ile couple isiyoishiwa visa na vituko kati ya mwimbajiChris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran, kuibuka na headline nyingine mpya siku ya Christmas.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Ndoa yavunjika, kisa mwanamke amegoma kujibadilisha ili afanane na Kim Kadarshian…

Dunia na vioja vingine 2014, eti unaweza kumuacha mpenzi wako kwa kuwa hafani na staa fulani ambaye wewe unampenda? thumbnail 1 summary
Kim-Kardashian-Looking-Back-Side-Face-CloseupsDunia na vioja vingine 2014, eti unaweza kumuacha mpenzi wako kwa kuwa hafani na staa fulani ambaye wewe unampenda?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MAPYA YAIBUKA....! KUMBE DIAMOND NI MGUMBA HANA UWEZO WA KUMPA MWANAMKE UJAUZITO!

BAADA  ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, ... thumbnail 1 summary

BAADA ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa Radio E-FM, Penniel

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 26, 2014

Unamfahamu mchezaji anayeichukia Krismasi?

Wachezaji wengi wa soka barani ulaya wamekuwa mstari wa mbele kuwatakia mashabiki wao heri ya sikukuu ya krismasi katika kipindi hiki a... thumbnail 1 summary

ronnie tweet

Wachezaji wengi wa soka barani ulaya wamekuwa mstari wa mbele kuwatakia mashabiki wao heri ya sikukuu ya krismasi katika kipindi hiki ambacho kila mmoja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Torres kurudi nyumbani.

Klabu za Atletico Madrid na Ac Milan zimeanza mazungumzo juu ya usajili wa mshambuliaji Fernando Torres ambaye kama mambo yatakwenda sa... thumbnail 1 summary

torres

Klabu za Atletico Madrid na Ac Milan zimeanza mazungumzo juu ya usajili wa mshambuliaji Fernando Torres ambaye kama mambo yatakwenda sawa anaweza kusajiliwa na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 21, 2014

Wema Na Diamond Wafurahia Usiku Mmoja Jijini Kampala,Uganda

Usiku wa  tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya... thumbnail 1 summary
Usiku wa  tarehe 18, jiji la Kampala nchini Uganda lilipambwa na “EVENTS” mbili mkubwa kwenye upande wa buruani ambazo ni Show kubwa ya mwnamziki Jose

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ivi ndivyo Shilole alivyovishwa pete ya uchumba kwenye Birthday yake

. Kwenye list ya mastaa wa Bongo Flevs walio katika uhusiana ya kimapenzi basi lazima couple hii uhusishe ambayo Dec 20 imeingia kati... thumbnail 1 summary
.
.
Kwenye list ya mastaa wa Bongo Flevs walio katika uhusiana ya kimapenzi basi lazima couple hii uhusishe ambayo Dec 20 imeingia katika hatua ya juu baada ya Nuh

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

La Liga: FC Barcelona walivyoifanya Cordoba jioni hii – Suarez ahusika

Wakati wapinzani wao wa jadi Real Madrid wakiwa wapi nchini Morocco kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa vilabu, FC Barcelona leo i... thumbnail 1 summary

IMG_0114.JPG

Wakati wapinzani wao wa jadi Real Madrid wakiwa wapi nchini Morocco kushiriki michuano ya kombe la dunia kwa vilabu, FC Barcelona leo imefanikiwa kuisogelea

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

REAL MADRID MABINGWA WAYA WA KOMBE LA DUNIA LA KLABU

Real Madrid captain Iker Casillas (centre) lifts the FIFA Club World Cup trophy after they beat San Lorenzo 2-0 thumbnail 1 summary
Real Madrid captain Iker Casillas (centre) lifts the FIFA Club World Cup trophy after they beat San Lorenzo 2-0

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LIGI KUU ENGLAND : MAN UTD YATOKA SARE NA ASTON VILLA

Radamel Falcao (second left) scored United's equaliser heading home from an Ashley Young cross on 53 minutes thumbnail 1 summary
Radamel Falcao (second left) scored United's equaliser heading home from an Ashley Young cross on 53 minutes

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MISS TANZANIA NAMBA 3 AFUNGUKA JINSI UMISS UNAVYOMPA STRESS

Miss   Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel. MISS  Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’... thumbnail 1 summary

Miss Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel.
MISS Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kujidhatiti

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

KAMA ULIKUWA HUJUI UNAAMBIWA HICHI NDICHO KINASABABISHA ELIZABERTH MICHAEL (LULU) KUZEEKA

Staa   wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. STAA  wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanay... thumbnail 1 summary

Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanayovaa mastaa mbalimbali akiwemo yeye, yanawazeesha sura

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MKE WA MBUNGE AGEUKA KUWA KITUKA BAADA YA KUNASWA AKIWA KAVAA PEMPASI UKUMBINI

Faiza akiwa na pempasi ukumbini. Kituko! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mj... thumbnail 1 summary



Faiza akiwa na pempasi ukumbini.
Kituko! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, aligeuka kituko

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 20, 2014

Ifahamu timu yenye mashabiki wenye kelele kuliko wote nchini England.

Utafiti uliofanyika kwenye timu za soka nchini  England  ukiwaangalia mashabiki wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo umeonyesha k... thumbnail 1 summary
TOPSHOTS-UTO-MOTO-RALLY-DAKAR-PEDERZOLI
Utafiti uliofanyika kwenye timu za soka nchini England ukiwaangalia mashabiki wa timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo umeonyesha klabu ambazo zina mashabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo? ratiba iko hapa

Mtu wangu wa nguvu hizi hapa ndio movies  zitakazooneshwa kwenye theater mbalimbali  pia unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi pa... thumbnail 1 summary
MOVIEMtu wangu wa nguvu hizi hapa ndio movies  zitakazooneshwa kwenye theater mbalimbali  pia unaweza kuchagua muda wako,movie yako na wapi pa kwenda kuangalia

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Amber Rose, J Lo ,Nick Cannon na mastaa wengine kwenye Red Carpet ya People Magazine Awards 2014

Usiku wa jana mastaa mbalimbali walihudhuria tuzo za  People Magazine Awards   2014 zilizofanyika katika ukumbi wa Beverly Hilton Hotel C... thumbnail 1 summary
logoUsiku wa jana mastaa mbalimbali walihudhuria tuzo za People Magazine Awards  2014 zilizofanyika katika ukumbi wa Beverly Hilton Hotel California, Marekani.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Baada ya ule mvutano wa muda mrefu ndoa ya Mama wa Kim Kardashian imefikia hapa…

Sasa imethibitika rasmi kuwa Kris Jenner na mumewe Bruce Jenner wametalikiana baada ya kukaa kwa muda mrefu wakiwa wametengana. thumbnail 1 summary
jenner
Sasa imethibitika rasmi kuwa Kris Jenner na mumewe Bruce Jenner wametalikiana baada ya kukaa kwa muda mrefu wakiwa wametengana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MISS: U-MISS NI STRESS TUPU!

MISS  Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kuj... thumbnail 1 summary
MISS Tanzania namba 3 (2014), Dorice Mollel, amesema mashindano ya u-miss ni ‘stress’ tupu hivyo kama mrembo anataka kuingia ni lazima kujidhatiti na kukubali changamoto nyingi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

VIDEO  Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wana... thumbnail 1 summary
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

LULU MAWIGI YANATUZEESHA JAMANI

STAA  wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanayovaa mastaa mbalimbali akiwemo yeye, yanawazeesha sura ... thumbnail 1 summary
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanayovaa mastaa mbalimbali akiwemo yeye, yanawazeesha sura na kuonekana  wakubwa kupita kiasi kumbe sivyo ilivyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

MPAMBE WA MGOMBEA URAIS AVISHWA SHANGA

JAMAA  anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makany... thumbnail 1 summary
JAMAA anayedaiwa kwamba ni mpambe mkubwa wa mmoja wa wagombea urais mwakani ambaye ni fundi wa kufunga madishi, mkazi wa Magomeni-Makanya jijini Dar es Salaam, almaarufu Mgosingwa, amejikuta akivishwa

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

ZARI, DIAMOND MAHABA KWEUPE UGANDA

STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wa... thumbnail 1 summary
STAA anayetamba na ngoma mpya ya Nitampata Wapi, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na mtoto mzuri kutoka Uganda, Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wameoneshana malovee hadharani na kuwaacha watu midomo wazi.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 19, 2014

SAHAU KUHUSU WAREMBO WOTE UNAOWAFAHAMU HAPA BONGO>>>KUTANA NA HUYU DOROTHY AMBAYE NI PRESHA HUKO INSTAGRAM>>>>PICHA>

Introducing the lady with the real "money-maker", her name is Dorothy ......forget  about Masogange and Vera Sidika thumbnail 1 summary


Introducing the lady with the real "money-maker", her name is Dorothy ......forget  about Masogange and Vera Sidika

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

X WA DIAMOND PLATNUMZ,VJ PENNY ATAFUTA MWANAUME WA KUZAA NAYE

Penniel Mwingilwa. Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tat... thumbnail 1 summary


Penniel Mwingilwa.
Aliyekuwa mpenzi wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ Penniel Mwingilwa amesema sasa anatamani kuzaa lakini tatizo lipo kwa mwanaume

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIZI HAPA PICHA NYINGINE ZA DIAMOND NA ZARI ZA KILICHOJIRI HUKO KAMPALA UGANDA JANA

Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady'  akiwekwa sawa kabla ya shoo yak... thumbnail 1 summary


Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari'  au 'The Boss Lady' akiwekwa sawa kabla ya shoo yake ya All White Ciroc party

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Angel Di Maria amemuacha Lionel Messi kwenye hii…

Ángel Fabián Di María Hernández ni staa wa soka aliezaliwa miaka 26 iliyopita huko Argentina ambae kuanzia mwaka 2005 mpaka sasa ameshach... thumbnail 1 summary
Di Maria 2Ángel Fabián Di María Hernández ni staa wa soka aliezaliwa miaka 26 iliyopita huko Argentina ambae kuanzia mwaka 2005 mpaka sasa ameshachezea club 4

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

Wiz Khalifa kaungana na Davido na Huddah kwenye list ya Xmas hii.

Ni gari aina ya  Bugatti Veyron Rembrandt edition  alilolinunua ambalo amelipa jina lake badala ya kuweka namba kama raia wengine  huku p... thumbnail 1 summary
Wiz 4Ni gari aina ya Bugatti Veyron Rembrandt edition alilolinunua ambalo amelipa jina lake badala ya kuweka namba kama raia wengine huku pesa ya kulinunua ikitajwa kuwa ni 2.5 million ambayo kwa Tanzania ni zaidi ya 4246750000.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 18, 2014

WEMA SEPETU ATOA YA MOYONI KUHUSU ZAMARADI

Mara baada ya mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi cha maswala filamu nichini cha TAKE ONE, Zamaradi Mtetema kuweka bandiko mtandaoni, ... thumbnail 1 summary
Mara baada ya mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi cha maswala filamu nichini cha TAKE ONE, Zamaradi Mtetema kuweka bandiko mtandaoni, akiwatata mashabiki

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

PROFESA ANNA TIBAIJUKA ASEMA KAMWE HAWEZI KUJIUZULU KWA KASHFA YA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Hyyat Kil... thumbnail 1 summary

1q
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam leo kuelezea mambo mbalimbali kuhusu Akaunti ya Escrow.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

TAZAMA PICHA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA SAFARINI KUELEKEA UGANDA KWA AJILI YA PARTY YA ZARI

Hit maker wa single ya Ntapata wap Diamond Platnumz leo Decemba 17 ameelekea Uganda kwaajili ya party ya Zari ya All White CirocParty amb... thumbnail 1 summary

Diamond platnumz pamoja na mama yake mzazi

Hit maker wa single ya Ntapata wap Diamond Platnumz leo Decemba 17 ameelekea Uganda kwaajili ya party ya Zari ya All White CirocParty ambayo itafanyika kesho 18 December jijini Kampala,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

DIAMOND PLATNUMZ ATUA KAMPALA KWA MBWEMBWE ZOTE NA DEMU WAKE MPYA ZARI.!!

  Zari baada ya kumpokea Diamond   Diamond Platnumz ametua Kampala jijini Uganda tayari kwaajili ya kutumbuiza Alhamis hii kwenye show y... thumbnail 1 summary

  Zari baada ya kumpokea Diamond 



Diamond Platnumz ametua Kampala jijini Uganda tayari kwaajili ya kutumbuiza Alhamis hii kwenye show ya Zari All White Ciroc Party‬ jijini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

AMA KWELI NJAA ZIMEZIDI MSANII WA BONGO MOVIE AIBA SAMBUSA UKUMBINI NA KUPELEKEA WATOTO WAKE NYUMBANI

MSANII  wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’  hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kufunga sambusa ukumbini na kuondoka nazo kw... thumbnail 1 summary


MSANII wa filamu Bongo, Salim Omary  ‘Slim’  hivi karibuni alitoa kali ya mwaka baada ya kufunga sambusa ukumbini na kuondoka nazo kwa kile alichodai hana wa kumpikia.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

December 17, 2014

DAVIDO, WIZKID WAMALIZA BIFU LAO

Mastaa wa nchini Nigeria,Davido na Wizkid wanaida kumaliza bifu lao lililodumu kwa miezi kadhaa la kutupiana vijembe kwenye mitandao na thumbnail 1 summary

Mastaa wa nchini Nigeria,Davido na Wizkid wanaida kumaliza bifu lao lililodumu kwa miezi kadhaa la kutupiana vijembe kwenye mitandao na

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

WASANII WACHANGISHANA PESA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA..MTOTO WA MAREHEMU ATIA HURUMA !

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Unity,  Steven Mengere 'Steve Nyerere'  (kulia) na Lwiza thumbnail 1 summary


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere' (kulia) na Lwiza

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HUYU NDIYE MSANII WA KIKE WA BONGO ALIYETEMBEA NA MASTAA 15 KASORO DIAMOND

Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’. Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameib... thumbnail 1 summary



Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

HIVI NDIVYO WABONGO WALIVYOMFUTA MACHOZI MISS TZ, HAPPINESS WATIMANYWA

Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini. SIKU  chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano... thumbnail 1 summary


Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini.

SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao,

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

UNAJUA KWANINI WADADA WENGI WANAPENDA MABWANA W A KISUKUMA ???

? Sifa za mabwana wa Kisukuma. Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja. Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili w... thumbnail 1 summary

?

Sifa za mabwana wa Kisukuma.
Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

THIERRY DANIEL HENRY ATANGAZA KUSTAAFU SOKA

Thierry Daniel Henry alizaliwa August 17, mwaka 1977 ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye leo hii ametangaza rasmi kustaaf... thumbnail 1 summary

henryThierry Daniel Henry alizaliwa August 17, mwaka 1977 ni mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Ufaransa ambaye leo hii ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka akiwa na klabu ya New York Red Bulls inayoshiriki ligi kuu ya Marekani maarufu kama Major League Soccer.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: